Wakati magari mengine yakitupwa na kutelekezwa, Tamisemi waomba magari ya Bil 16, kununua magari 81

Wakati magari mengine yakitupwa na kutelekezwa, Tamisemi waomba magari ya Bil 16, kununua magari 81

Kwa akili hizi bora kutawaliwa na wazungu!!inawezekana kabisa wazungu wanapo tutukana wapo sahihi.
Magari 81 kwa billion 16 na ushee hii ni dharau kwetu watanzania!!hivi hawa Ma RC, Ma DC, Ma RAS nk wanatumia Nini Kwa sasa!?Ina maana hawawezi kuendelea kutumia magari hayo mpaka maskani?

Kiukweli muafrica Hana vision Wala mission!! Ni mbinafsi,mchoyo,mlafi,nk inshort ni primitive!

View attachment 2587612
Hivi ni kweli kuwa hawa RC,DC, RAS, wabunge na wengineo ...ni lazima sana kila mmoja apate gari? ....gari hizi za gharama kubwa ni kwa matumizi gani? Kama shida ni usafiri kwa nini wasiombe mikopo binafsi benki ? Serikalini huko kumejaa wezi ambao hata mkaguzi mkuu wa Serikali haoni kama ni ubadhirifu.
Haya magari yanayonunuliwa haijulikani yapotelea wapi baada ya miaka.... Ni haya yaliyoegeshwa Mitaa ya Kitumbini?....
 
Niliwahi kutaka kununua Nissan patrol mayai kwa milion 7 nikazidiwa ujanja wa watoto wa mjini
Ile gari ilikuwa na shida kwenye mfumo wa mafuta na ilipopelekwa D.T. Dobie makisio yakawa over 20 million kuitengeneza
Kwa kawaida serikali ikishapokea makisio ya namna hiyo huwa hawahangaiki tena kutengeneza kwakuwa ikishaandikwa over 20 maana yake inaweza kufika hata 50M

Basi bwana fundi wa karakana akanimegea siri kwamba ile gari ni nzima kabisa isipokuwa mpira wa mafuta toka kwenye tank kwenda kwenye engine ulikuwa umefinywa kwenye body na chasis, kuna siku walinyanyua body wakati wa kurudisha wakafanya uzembe pipe ikafinywa kidogo
Kwahiyo mfumo wa mafuta ukawa haufanyi kazi vizuri.. Akaniambia matengenezo yake hayazidi elfu 20.. Sikuamini.. Na yeye alikuwa anataka 1m tuu
Chelewachelewa utamkuta mtoto si wako, kusita na kujivutavuta kwangu, nafika eneo la tukio nakuta gari inavutwa, biashara ilishawahiwa . Yule fundi alinichukua mpaka garage moja pale Ilala kushuhudia alichosema...
Huwezi kuamini ndani ya lisaa gari ilikuwa sawa tunapiga nalo misele

Asilimia 90 ya magari ya serikali yanayoitwa mabovu matengenezo yake hayazidi milion 5

Kikubwa uhuru wa kutoa maoni na nchi imefunguliwa.
Hayomengine sio muhimu sana.
 
Magari mazima kabisa yameegeshwa ili wauziane land cruiser bei ya bajaji. Nchi hii bila CCM kutoka madarakani tutaendelea kuumizwa sana.

Tuliza kalio weww,adui yako si alikuwa JPM??ccm wameingiaje hapa!!

Umesharuhusiwa kufanha siasa na kutoa maoni,jipe shughuli acha watu wafanye yao.
 
Tuliza kalio weww,adui yako si alikuwa JPM??ccm wameingiaje hapa!!

Umesharuhusiwa kufanha siasa na kutoa maoni,jipe shughuli acha watu wafanye yao.
Wewe matako CCM ndiyo yenye Serikali inayofisadi nchi.
 
Wewe matako CCM ndiyo yenye Serikali inayofisadi nchi.

Jifunze kuwa na lengo vitani,vinginevyo utakuwa kama bendera.

Jpm kafariki bado unafilika,toka mwanzo ilipaswa ujue adui yako hakuwa jpm bali ccm.
 
Si mnasema hamkumchagua!!
Tunachofurahi yuko
JamiiForums-440561486.jpg
 
Wakuu Salam,

Hata kama nchi haina vipaumbele, hata umasikini wa watu wetu hatuuoni?

Katikati ya kutupa magari tunanunua megine...?

Kairuki kaomba mengine ya bil 16, magar 81.

Tizama video ya magari yaliyotupwa[emoji116]
View attachment 2587446

======
Waziri wa TAMISEMi, Angellah Jasmine Kairuki amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 leo April 14,2023 ambapo amesema katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24, TAMISEMI imetengewa Tsh. Bilioni 16.58 kwa ajili ya ununuzi wa magari 81 katika Ofisi za Wakuu wa Mikoa “Kati ya magari hayo, magari 5 ni ya Wakuu wa Mikoa, magari 2 ni ya Makatibu Tawala wa Mikoa na magari 74 ni ya Wakuu wa Wilaya”

Waziri Kairuki pia amesema katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24, Ofisi ya Rais - TAMISEMI imetengewa Shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya ununuzi wa boti 4 katika Halmashauri za Wilaya za Ludewa, Buchosa, Nyasa na Sumbawanga ili kuimarisha doria, ulinzi na ukusanyaji wa mapato ya ndani katika Halmashauri hizo.

“Hadi Februari, 2023, Tume imepokea Shilingi Bilioni 7.83. Majukumu yaliyotekelezwa ni pamoja na kusajili walimu 9,800, kupandishwa vyeo walimu 1,003, Walimu 3,347 wamethibitishwa kazini na Walimu 3,388 wamebadilishiwa vyeo”

“Kuhuisha TANGE za walimu kwenye Wilaya zote 139, vikao 300 vya mashauri ya nidhamu kwa walimu vya kisheria vimefanyika, Mashauri 273 ya nidhamu ya walimu yamefanyiwa uchunguzi na kuwasilishwa kwenye Kamati za Wilaya kwa ajili ya kutolewa uamuzi”
Huko ndiko wanakopatiamo ziel 20%
 
Unadhani mbinguni ni ufipa??kwamba taarifa zinavuja kwa michepuko wa mwenyekiti mpaka machawa wanazipata[emoji1787][emoji1787]
Tuliza kijambio hicho wewe fala usinikasirikie mimi siyo niliyekutatua marinda tamaa zako ndiyo zimeyaponza marinda yako
 
Tuliza kijambio hicho wewe fala usinikasirikie mimi siyo niliyekutatua marinda tamaa zako ndiyo zimeyaponza marinda yako

Nani akukasiriki mtu uliyejikatia tamaa kama weww[emoji28][emoji28]

Wakati wa jpm ulikuwa unanyanduliwa,na sasa bado unanayanduliwa,lini utakuwa na bahati??
 
Nani akukasiriki mtu uliyejikatia tamaa kama weww[emoji28][emoji28]

Wakati wa jpm ulikuwa unanyanduliwa,na sasa bado unanayanduliwa,lini utakuwa na bahati??
Wacha makasiriko wewe mchicha mwiba. Mkasirikie aliyekata hiyo seal, bwege wewe. Eti sina bahati,wewe unaishi kwa kubahatisha ndiyo maana wanakubokoa
 
Uthibitisho wa hio gari kutupwa ni upi hapo sasa huyo jamaa anayechukua vid sidhan kama anatosha kudhibitisha hilo
Ukiangalia anasema imekaa miezi 3 sawa lkn haina hata vumbi ina maana kuna mtu anaingalia
Je hiyo ndo garage ya magari ya serikali?
 
Wacha makasiriko wewe mchicha mwiba. Mkasirikie aliyekata hiyo seal, bwege wewe. Eti sina bahati,wewe unaishi kwa kubahatisha ndiyo maana wanakubokoa

Kama alikubokoa mwendazake mpaka leo unalalamika unadhani kila mtu ni hivyo??

Wape hata wengine upate kuishi,sio unabaki kulialia.
 
Back
Top Bottom