GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
Hivi ni kweli kuwa hawa RC,DC, RAS, wabunge na wengineo ...ni lazima sana kila mmoja apate gari? ....gari hizi za gharama kubwa ni kwa matumizi gani? Kama shida ni usafiri kwa nini wasiombe mikopo binafsi benki ? Serikalini huko kumejaa wezi ambao hata mkaguzi mkuu wa Serikali haoni kama ni ubadhirifu.Kwa akili hizi bora kutawaliwa na wazungu!!inawezekana kabisa wazungu wanapo tutukana wapo sahihi.
Magari 81 kwa billion 16 na ushee hii ni dharau kwetu watanzania!!hivi hawa Ma RC, Ma DC, Ma RAS nk wanatumia Nini Kwa sasa!?Ina maana hawawezi kuendelea kutumia magari hayo mpaka maskani?
Kiukweli muafrica Hana vision Wala mission!! Ni mbinafsi,mchoyo,mlafi,nk inshort ni primitive!
View attachment 2587612
Haya magari yanayonunuliwa haijulikani yapotelea wapi baada ya miaka.... Ni haya yaliyoegeshwa Mitaa ya Kitumbini?....