Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Mda tukubali mwafrika ni mtu mbinafsi na mwenye upeo mdogo sanaWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Angellah Kairuki, amesema katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24, TAMISEMI imetengewa kiasi hicho kwa ajili ya ununuzi wa Magari 81.
Kairuki ameeleza mgawanyo wa Magari hayo utawahusu Wakuu wa Mikoa Magari 5, Makatibu Tawala wa Mikoa Magari 2 na Magari 74 ni ya Wakuu wa Wilaya.
Wameiroga iboronge na wnatuumiza sisi, kilichobaki ni kumtafuta mganga aigangueHivi serikali hailogwi? Usikute kuna watu wameshailoga tyr
Mkuu unadhan Kuna haja ya gari ya serikal kukaa miez 3 bila matengenezo wakat gari moja ni zaid ya mil 200?Uthibitisho wa hio gari kutupwa ni upi hapo sasa huyo jamaa anayechukua vid sidhan kama anatosha kudhibitisha hilo
Ukiangalia anasema imekaa miezi 3 sawa lkn haina hata vumbi ina maana kuna mtu anaingalia
Una aamini kabsa gari kama hio imetupwa 😄Mkuu unadhan Kuna haja ya gari ya serikal kukaa miez 3 bila matengenezo wakat gari moja ni zaid ya mil 200?
Hata gar lako mwenyewe garage kwa miez mi3 sio kulitupa?
Shule si zmefunguliwaUthibitisho wa hio gari kutupwa ni upi hapo sasa huyo jamaa anayechukua vid sidhan kama anatosha kudhibitisha hilo
Ukiangalia anasema imekaa miezi 3 sawa lkn haina hata vumbi ina maana kuna mtu anaingalia
Bunge butuMda tukubali mwafrika ni mtu mbinafsi na mwenye upeo mdogo sana
Wanazibutua hasa SI wanashindana kuwasomesha watoto wao shule za Hela nyingi na kujenga hoteli na maekalu ya kuishi!10% nyingine hii,hizi ndio deal sasa
hizi line ukizipata we kula tuWanazibutua hasa SI wanashindana kuwasomesha watoto wao shule za Hela nyingi na kujenga hoteli na maekalu ya kuishi!
Ujinga mtupu huu. Tunapo sema hakuna batabara itajengwa mnabishaWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Angellah Kairuki, amesema katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24, TAMISEMI imetengewa kiasi hicho kwa ajili ya ununuzi wa Magari 81.
Kairuki ameeleza mgawanyo wa Magari hayo utawahusu Wakuu wa Mikoa Magari 5, Makatibu Tawala wa Mikoa Magari 2 na Magari 74 ni ya Wakuu wa Wilaya.
Na ndiyo mawazo ya Kila mmoja akipata upenyo, ndiyo mana wengi wao wanachukiana balaahizi line ukizipata we kula tu
Mkuu kama upo nao karibu, Washitue, huenda wamesahau kabisa maana hali za wazee huko vijini ni mbaya sana. TASAF utendaji wake haueleweki.Mkuu kwa hilo sahau,