Wakati magari mengine yakitupwa na kutelekezwa, Tamisemi waomba magari ya Bil 16, kununua magari 81

Connection ya kuyanunua sasa ndo shuhuli
 
Huu udokta wa mchongo ni balaa, kwanini asiige kwa HICHILEMA?, "Unataka V8 kanunue na hela yako full stop, Hela ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo kwa wananchi"
 
Kwa akili hizi bora kutawaliwa na wazungu!!inawezekana kabisa wazungu wanapo tutukana wapo sahihi.
Magari 81 kwa billion 16 na ushee hii ni dharau kwetu watanzania!!hivi hawa Ma RC, Ma DC, Ma RAS nk wanatumia Nini Kwa sasa!?Ina maana hawawezi kuendelea kutumia magari hayo mpaka maskani?

Kiukweli muafrica Hana vision Wala mission!! Ni mbinafsi,mchoyo,mlafi,nk inshort ni primitive!

 
Wewe mleta mada ni Gaidi. Wazungu ni Magaidi ambao hawawezi kupewa nafasi tena kuja kututawala. Wasithubutu hata kufikiria kuwa kuna kauwezekano wakuja kufanya hivyo.

Ulegee
 
wanafikiri kwa kutumia yale maeneo ya kukalia kwenye viti yaani matacle
 
Magari mazima kabisa yameegeshwa ili wauziane land cruiser bei ya bajaji. Nchi hii bila CCM kutoka madarakani tutaendelea kuumizwa sana.
nchi inahitaji chama kipya kabisa kianzishwe sambamba na katiba mpya maana hata vyama vya upinzani vya sasa ni CCM B
 
nchi inahitaji chama kipya kabisa kianzishwe sambamba na katiba mpya maana hata vyama vya upinzani vya sasa ni CCM B
Tatizo hao wenye kutoa usajili ndiyo hao mafisadi wenyewe chama chenye mwelekeo wa kuwatoa madarakani hakiwezi kupata usajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…