Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

Hata huko South Africa Wahamiaji kutoka Mataifa ya Kiafrika wameanza kukamatwa na kurejeshwa makwao.
 
Inaanguka na nini? Kwa hiyo diaspora ni ku import workforce?
Lets say Mtanzania anaenda China, kafika pale kaona fursa ya kuleta mizigo Watanzania wenzake, kafungua ofisi ya kuleta mizigo anacharge analeta, huyu ni Diaspora, anaisaidia nchi yake bila kuiathiri.

Ila una daktari yupo Hospitali XXX anatoka anaenda Kutibu Ujerumani, hata kama ataleta kiasi fulani cha hela sisi ndio losers.

Mtu kaenda mwenyewe that's one thing, Serikali kufacilitate raia wake iliowagharamia waende huo ni ujinga kiwango cha lami.
 
Endelea kufuatilia kina magoma na kagoma, Wakenya wanaenda kupiga pesa huko nje na kuna fursa zaidi za kujiendeleza kimasomo kupata kazi zenye mishahara mirefu zaidi, connections za kuja kununua maparachichi Tanzania kuyauza Ujerumani, n.k.
Wajerumqni walikuwa Tanzania Miaka mingi huko,wameacha alama nyingi hapa Tz,hebu nambie walileta nini kama sio uchuro,Kenya tayari ni koloni la Ujerumani,wamekubali kwa mchina na sasa kwa mjerumani,kwisha habari
 
Mkuu nadhani wewe ni exposure huna. Duniani kote nchi hutaftia wananchi wake nafasi mahala pengine wakafanye kazi. Wachina wote unaoona Tanzania ni diasporas, nchi yao imewataftia nafasi Tanzania waje kufanya kazi warudishe fedha nyumbani kwa sababu hakuna nchi inaweza kuajiri wanachi wake wote. Kwa akili yako hapo ni workforce exportation, hairuhusiwi.

Diaspora ni mtu ambae yuko sehemu nyingine tofauti na kwao akitafta pesa, wewe kama kwenu ni Mbeya, uko Arusha unatafta na kupata fedha unatuma mbeya wewe ni diaspora, ama basi ulitakiwa ukae tu kwenu mbeya utafte maisha maana kuondoka mbeya ni kupoteza nguvu kazi ya mbeya, na hapo sio mbeya tu, tutaanzia level ya familia, kitongoji, kijiji, kata, tarafa, wilaya na mkoa.

Vitu vingine mtu usiandike tu ili kuonekana unaandika.
 
Watanzania wataendelea kupigwa gap na wakenya milele na milele.Sasa mtanzania aende ujerumani atazungumiza lugha gani?lugha za kimataifa watanzania ni sifuri na baadhi ambao wamesoma wanakuwa hawako mahiri wa lugha hizo za kimataifa.
Naukizingatia sababu za kihistoria tulitakiwa hili deal au fursa kama hizi Watanganyika tuzifaidi
 
habari ya muda tu.

Tanzania ukweli wanaoukataa wengi ni kwamba lugha inawakosesha sana watz fursa. nasema hayo kama mtu ambaye nafanya kazi nje ya tz. maana hata kazi za unskilled unatakiwa walau ujue kubonga.
habari ya muda tu.

Tanzania ukweli wanaoukataa wengi ni kwamba lugha inawakosesha sana watz fursa. nasema hayo kama mtu ambaye nafanya kazi nje ya tz. maana hata kazi za unskilled unatakiwa walau ujue kubonga.
Hao wanaojua kukibonga mbona wapo wengi sana, wamesaidia vipi? Angalia interview za KADA ya madaktari, walimu manesi, Sheria nk wote hawa wanajua kubonga kiengereza, je wametafutiwa Fursa nje wakaprove incompetence? Sema serikali yetu Bado imelala ktk kutafuta fursa za ajira nje. Viongozi Wakenya wanapopata fursa za nje wanawakumbuka vijana wao wasio na ajira, na sisi viongozi wajifunze hilo wanapopata fursa za ziara za nje watengeneze deal za ajira wasomi ni wengi wanaishia kujiajiri boda boda na mama ntilie wengi ni graduate
 
Ni Ruto aliwaombea kazi wakenya 250000 au ni ujerumani ndio imeomba msaada wa kupatiwa wafanyakazi 250000 kutoka Kenya ?
Kuna kazi zenye taaluma kubwa Kama sayansi, tehama, uhandisi nk na kazi zenye taaluma ndogo Kama udereva malori na mabasi nk
 
Nimesoma magazeti ya Kenya,habari haiko kama ulivyoiweka.

Kwanza kwenye makubaliano hayo hakuna idadi yoyote ya wanufaika iliyotajwa.
Pili,ni Mpango wa mabadilishano (Exchange program) kati ya Kenya na Ujerumani.Ni Mpango wa nipe nikupe.
Waafrica wengi bado tuna mawazo ya kitumwa.
 
Wamepigwa Mnada Kwa bei gani?

By the way unajua kwamba hiyo Nchi imefikisika kiasi Cha Serikali Yao kusitisha ajira? Njia pekee ni kuwauza huko Nje.

Mwisho hiyo ni fix ya Kisiasa ya Ruto kuhadaa watu

View: https://x.com/Kenyans/status/1835201039961673923?t=ZPEQbIyhIGolNfOERGmi7g&s=19
 
Mpira una nafasi ndogo sana kwenye maisha ya watu wa nchi hizo ndio maana si ajabu kukuta mapinduzi, maandamano taifa zima mambo yanapoenda mrama, n.k. Mpira ni mambo ya ziada tu
 
Achana nayo waende kwanza nchi za magharib sio za kuziamin sana ,,utashangaa wanarud wanaanza kuhamasisha ushoga na usagaji
 
Achana nayo waende kwanza nchi za magharib sio za kuziamin sana ,,utashangaa wanarud wanaanza kuhamasisha ushoga na
 
Na zaidi ya hapo wengi walioishi ukimbizini Uganda na Bongo walikuwa kwenye English speaking countries na kifaransa hawakuwa wanakijua Kwani wengine walizaliwa Uganda au Bongo.
Lakini walio wengi walikuwa bado wanaishi ndani ya mipaka ya nchi ya Rwanda kwa hiyo walikuwa wanajua Kifaransa.
 
Lakini walio wengi walikuwa bado wanaishi ndani ya mipaka ya nchi ya Rwanda kwa hiyo walikuwa wanajua Kifaransa.
Sasa yeye na supporting staff aliokuja nao, inakuwaje hapo. Nao walikuwa English speaking places
 
Tuache Watanzania tuishi maisha yetu; usitulazimishe kuipenda CHADEMA
 
Fake news

Habari ya kisiasa.

Ruto anacheza na akili za Gen Z wa Kenya.

Na wewe kabisa una amini Ujerumani inaweza kuchukua watu laki 2 na nusu kutoka nchi moja kuwapeleka nchini kwao kufanya kazi?

Tell me you are joking please
 
Watu laki 2 na nusu? Serikali ya Ujerumani imekanusha hiyo taarifa. And the proof is here πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20240915-173420.png
    263.5 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…