abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
Achana na takwimu zako kutoka unknown sources na wikipedia,Kwa sababu 56% ya wajerumani wanaongea inglishi.
Sio diaspora wanaopaswa kuiuliza Serikali, bali sisi sote wapiga Kura. Viongozi wakija kwetu kutuomba Kura hatuulizi wana mikakati gani ya kupunguza tatizo la Ukosefu wa Ajira nchini. Hili mataofa yote yaliyoendelea huwa ni agenda muhimu katika kunadi sera zao. Trump amewabana Democrat kwa sasa kwa kuwa kipindi chao Unempolyement level imepanda tofautu na wakati wa Kipindi chake. Sisi hatuwezi kuuliza na kuwa wajibisha , but only thinking " sisi wanatuachaje " wakija kujinadi.Wabongo wanapenda kulalamika diasporas hawatoi connection ila hata siku moja hawaulizi serikali yao imefanya jitihada gani kupunguza tatizo la ajira nchini kwa kuingia mikataba kama hii. Bongo kuomba passport tu unaonekana muhaini let alone uraia pacha. Bongo bado ipo stone age from miviongozi to wananchi wote empty set kabisa.
Wabongo mmefungwa akili utajiri wenu mkubwa ni natural resources kitu ambacho sio kweli. Number one asset ni human resources. Watu wenye elimu, skills na wanaojua lugha. Kila nchi ina natural resources nyie endeleeni kudhani hivyo vimadini ni dili sana wakati dunia nzima ina natural resources. Human resources is the biggest asset.
Kabisa kaka, Kenya vijana wanajitambua huwezi linganisha na hapa, Just imagine mtu anakwambia ili upate fursa ujuwe perfect English. Ukute hana skills yoyote hapo kakaa tu anahisi akijuwa Emglish kamaliza.Sisi kwetu tumezidi. Hatutaki kusumbua vichwa vyetu. Sisi ni nchi ya amani na utulivu. Yanga leo imeshinda 1-0 hii itakuwa ndiyo story ya whole week na waandishi wetu wa habari hawatafuti tena habari mpya za kuisaidia jamii yetu isipokuwa uchawa nao umewavamia .
Hii ndio point sio kusema Kujuwa English ndo itafanya tufanikiwe, NO FU**NG WAY!Lazy in thinking and less aggressiveness . Tunapenda mambo mapesi mepesi, ndo maana hata tunaporwa na baadhi ya Haki zetu na mamlaka za wananchi wetu. Kenya is a different society
Be informed that Germany english courses are conducted to qualified candidates. Cha kwanza ni kuwa na materials kichwani zinazohitajika. Kijerumani unajifunza Bro. Tatitoo una materials kichwani wanazohitaji wewe? English yenyewe ya kuwez kukufikisha Ujerumani huna, utawezaje Kijerumani? Hapo ndipo kikwazo kwa wabongo!Achana na takwimu zako kutoka unknown sources na wikipedia,
Uliza walio na Experience ya kuishi Ujerumani watakwambia jinsi ilivyongumu kama huwezi kuongea kijerumani. Sipingi uwepo wa wazungumzaji wa kiingereza Ujerumani hata hapa Tz wapo pia shida ni nyinyi kulazimisha watu waongee English kama lugha ya Kwanza mkihisi ndo inafanya watu wapate fursa. Huo ni upuuzi
Shida lugha kwetu ni tatzo
What's your point Mr?The problem is not learning English be it from Kindergarten or Secondary levels or even at College, the problem is what you grasp and store in your head. Unatoka povu kwa kuwa wewe ni moja ya wale mnahesabu milango ya vyumba vya madarasa maliyopitia but not what you received and stored in your head.
Maono ya Viongozi pia yanachangia. Pamoja na kutokuwa aggressive sisi wenyewe, ila pia Viongozi hawatupiganii huko nje kupata fursa kama hizi. Tuwabane watimize wajibu wao la kuwasaidia watanzania kustawi .Tatizo sio lugha ni sera ya nchi na deplomasia yenye malengo, tz bado wamelala sana
maana zipo nchi hawaongei kingereza ni lazma ujue lugha zao kama, japan china, oman, au uturuki kote huko fursa za ajira zipo tatizo ni kuweka makubaliano na ushirikiano
Yaan ht fursa za kusomeshwa nchi za nje balozi znashindwa kuratibu
Kenya imepeka polisi wake Haiti zipo faida anapata kipato kurudi kenya na kusambaa kwa technolojia
Kwaiyo wewe unahisi ukipata English utafika Ujerumani? Eti uwe na English ya kukufikisha Ujerumani, point unayoisema kwamba Germans speak perfect English!!Be informed that Germany english courses are conducted to qualified candidates. Cha kwanza ni kuwa na materials kichwani zinazohitajika. Kijerumani unajifunza Bro. Tatitoo una materials kichwani wanazohitaji wewe? English yenyewe ya kuwez kukufikisha Ujerumani huna, utawezaje Kijerumani? Hapo ndipo kikwazo kwa wabongo!
Kwani kuna ubaya gani kwenda huko? Mbona Viongozi wetu kila kukicha wako huko? Umewahi kuwaulizia kuwa kwa nini kila mara wako huko? Usijitoe ufahamu wakatu ukweli unaujua na wewe ni miongoni mwa Chawa waaminifuKwa hiyo na wewe unataka na sisi tuende Ujerumani kama Wakenya???
Niliwahi kuona takwimu kuwa sisi Bongo tunazalisha mchele kwa asilimia kubwa sana, pia maharage lakini sijajuwa bado serikali inafanya nini kuwatafutia wakulima masoko nje, na kuna nchi kibao ambazo zina import mchele na maharage tena hapa hapa Afrika, Hii nchi viongozi wetu wamebweteka sana! Hakuna nayewahangaikia wananchiTatizo sio lugha ni sera ya nchi na deplomasia yenye malengo, tz bado wamelala sana
maana zipo nchi hawaongei kingereza ni lazma ujue lugha zao kama, japan china, oman, au uturuki kote huko fursa za ajira zipo tatizo ni kuweka makubaliano na ushirikiano
Yaan ht fursa za kusomeshwa nchi za nje balozi znashindwa kuratibu
Kenya imepeka polisi wake Haiti zipo faida anapata kipato kurudi kenya na kusambaa kwa technolojia
Yuko smart mama na kwa huu ubunifu wake Vijana amewawini !Huku kwetu Mama ananunua magoli ya Yanga na Simba kwa bei ghali. Ndio maana hamruhusiwi hata kuandamana bila ruhusa ya mama.
Natambua kwamba wapo Vijana wachache wa Kitanzania wanaweza but Viongozi wetu wanafikilia kundi hili? Wao wakipata trip za nje wanabebana na Wasanii na Vijana wasomi wenye kusaka fursa. Tatizo linatokea kwa Ungozi usioopanua uwigo wa fursa kwa watu wake, Nakubaliana kuwa wapo Vijana wachache wenye uwezo wa kushindana huko njea na kuweza kuingia kwenye soko la Ajira huko Ulaya ambao tayari kuna naksi ya wafanyakazi. Ruto amepata Credit with this arrangement. Tujifunze kwake.Kwetu ni system Ila vijana ambao tupo tayari kwenda kufanya kazi tupo na lugha tunajua mkuu.
English language tunaongea na kuandika
Pia kijerumani tunaweza kujifunza.
Correct na almost 90% ya working age ya wajerumani wanaongea EnglishKwa sababu 56% ya wajerumani wanaongea inglishi.
Exactly exactly! Sasa anakuja mtu anataka sijuwi uongee English gani! Kuna jamaa mmoja alisema eti tuache kabisa Kiswahili tuanze Kiingereza, nchi kibao watu wanajifunza kiingereza kama lugha ya pili kwanini sisi watu hawataki hivyo?Kwetu ni system Ila vijana ambao tupo tayari kwenda kufanya kazi tupo na lugha tunajua mkuu.
English language tunaongea na kuandika
Pia kijerumani tunaweza kujifunza.
Kumbuka Diasporas wa Kenya na Uganda wanachangia significant % kwenye GDP ya nchi zao. Kuna kazi za professionals ambazo pia wanazifanya.Ujermani tayari idadi ya wazee ni kubwa kama Italy, na nguvu kazi imepungua sana hasa za kazi kama drivers, gardeners, wapishi, wafanya usafi, hivo hapo hakuna jipya, watalipwa hiyo pesa na kodi watalipa vilevile,
Hizo ni takwimu zako za wikipedia na maamuzi yako binafsi ya kusema 90% ya wajerumani kwa umri huo wanaongea KiingerezaCorrect na almost 90% ya working age ya wajerumani wanaongea English
Wacha uongo. Deal imetiwa wino 13/9/2024.