Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

Kwa sababu 56% ya wajerumani wanaongea inglishi.
Achana na takwimu zako kutoka unknown sources na wikipedia,
Uliza walio na Experience ya kuishi Ujerumani watakwambia jinsi ilivyongumu kama huwezi kuongea kijerumani. Sipingi uwepo wa wazungumzaji wa kiingereza Ujerumani hata hapa Tz wapo pia shida ni nyinyi kulazimisha watu waongee English kama lugha ya Kwanza mkihisi ndo inafanya watu wapate fursa. Huo ni upuuzi
 
Wabongo wanapenda kulalamika diasporas hawatoi connection ila hata siku moja hawaulizi serikali yao imefanya jitihada gani kupunguza tatizo la ajira nchini kwa kuingia mikataba kama hii. Bongo kuomba passport tu unaonekana muhaini let alone uraia pacha. Bongo bado ipo stone age from miviongozi to wananchi wote empty set kabisa.

Wabongo mmefungwa akili utajiri wenu mkubwa ni natural resources kitu ambacho sio kweli. Number one asset ni human resources. Watu wenye elimu, skills na wanaojua lugha. Kila nchi ina natural resources nyie endeleeni kudhani hivyo vimadini ni dili sana wakati dunia nzima ina natural resources. Human resources is the biggest asset.
Sio diaspora wanaopaswa kuiuliza Serikali, bali sisi sote wapiga Kura. Viongozi wakija kwetu kutuomba Kura hatuulizi wana mikakati gani ya kupunguza tatizo la Ukosefu wa Ajira nchini. Hili mataofa yote yaliyoendelea huwa ni agenda muhimu katika kunadi sera zao. Trump amewabana Democrat kwa sasa kwa kuwa kipindi chao Unempolyement level imepanda tofautu na wakati wa Kipindi chake. Sisi hatuwezi kuuliza na kuwa wajibisha , but only thinking " sisi wanatuachaje " wakija kujinadi.
 
Sisi kwetu tumezidi. Hatutaki kusumbua vichwa vyetu. Sisi ni nchi ya amani na utulivu. Yanga leo imeshinda 1-0 hii itakuwa ndiyo story ya whole week na waandishi wetu wa habari hawatafuti tena habari mpya za kuisaidia jamii yetu isipokuwa uchawa nao umewavamia .
Kabisa kaka, Kenya vijana wanajitambua huwezi linganisha na hapa, Just imagine mtu anakwambia ili upate fursa ujuwe perfect English. Ukute hana skills yoyote hapo kakaa tu anahisi akijuwa Emglish kamaliza.
Hii nchi inatatizo, Niliwahi kucheki Interview ya Benjamin fernandez alisema aliwahi kuomba kuhadhiri chuo x kwa wanafunzi wa biashara kwa siku kadhaa wakamuuliza eti kama ana PhD, tunahitaji transformation ya mentality kwanza kwa kweli
 
Achana na takwimu zako kutoka unknown sources na wikipedia,
Uliza walio na Experience ya kuishi Ujerumani watakwambia jinsi ilivyongumu kama huwezi kuongea kijerumani. Sipingi uwepo wa wazungumzaji wa kiingereza Ujerumani hata hapa Tz wapo pia shida ni nyinyi kulazimisha watu waongee English kama lugha ya Kwanza mkihisi ndo inafanya watu wapate fursa. Huo ni upuuzi
Be informed that Germany english courses are conducted to qualified candidates. Cha kwanza ni kuwa na materials kichwani zinazohitajika. Kijerumani unajifunza Bro. Tatitoo una materials kichwani wanazohitaji wewe? English yenyewe ya kuwez kukufikisha Ujerumani huna, utawezaje Kijerumani? Hapo ndipo kikwazo kwa wabongo!
 
Shida lugha kwetu ni tatzo

Tatizo sio lugha ni sera ya nchi na deplomasia yenye malengo, tz bado wamelala sana
maana zipo nchi hawaongei kingereza ni lazma ujue lugha zao kama, japan china, oman, au uturuki kote huko fursa za ajira zipo tatizo ni kuweka makubaliano na ushirikiano
Yaan ht fursa za kusomeshwa nchi za nje balozi znashindwa kuratibu
Kenya imepeka polisi wake Haiti zipo faida anapata kipato kurudi kenya na kusambaa kwa technolojia
 
The problem is not learning English be it from Kindergarten or Secondary levels or even at College, the problem is what you grasp and store in your head. Unatoka povu kwa kuwa wewe ni moja ya wale mnahesabu milango ya vyumba vya madarasa maliyopitia but not what you received and stored in your head.
What's your point Mr?
 
Tatizo sio lugha ni sera ya nchi na deplomasia yenye malengo, tz bado wamelala sana
maana zipo nchi hawaongei kingereza ni lazma ujue lugha zao kama, japan china, oman, au uturuki kote huko fursa za ajira zipo tatizo ni kuweka makubaliano na ushirikiano
Yaan ht fursa za kusomeshwa nchi za nje balozi znashindwa kuratibu
Kenya imepeka polisi wake Haiti zipo faida anapata kipato kurudi kenya na kusambaa kwa technolojia
Maono ya Viongozi pia yanachangia. Pamoja na kutokuwa aggressive sisi wenyewe, ila pia Viongozi hawatupiganii huko nje kupata fursa kama hizi. Tuwabane watimize wajibu wao la kuwasaidia watanzania kustawi .
 
Be informed that Germany english courses are conducted to qualified candidates. Cha kwanza ni kuwa na materials kichwani zinazohitajika. Kijerumani unajifunza Bro. Tatitoo una materials kichwani wanazohitaji wewe? English yenyewe ya kuwez kukufikisha Ujerumani huna, utawezaje Kijerumani? Hapo ndipo kikwazo kwa wabongo!
Kwaiyo wewe unahisi ukipata English utafika Ujerumani? Eti uwe na English ya kukufikisha Ujerumani, point unayoisema kwamba Germans speak perfect English!!
Wenzenu wanakazana kutafuta skills na kuwa wabunifu nyie mnahisi ukijuwa English umefanikiwa, Haki hii nchi vijana tumefeli sana
 
Kwa hiyo na wewe unataka na sisi tuende Ujerumani kama Wakenya???
Kwani kuna ubaya gani kwenda huko? Mbona Viongozi wetu kila kukicha wako huko? Umewahi kuwaulizia kuwa kwa nini kila mara wako huko? Usijitoe ufahamu wakatu ukweli unaujua na wewe ni miongoni mwa Chawa waaminifu
 
Tatizo sio lugha ni sera ya nchi na deplomasia yenye malengo, tz bado wamelala sana
maana zipo nchi hawaongei kingereza ni lazma ujue lugha zao kama, japan china, oman, au uturuki kote huko fursa za ajira zipo tatizo ni kuweka makubaliano na ushirikiano
Yaan ht fursa za kusomeshwa nchi za nje balozi znashindwa kuratibu
Kenya imepeka polisi wake Haiti zipo faida anapata kipato kurudi kenya na kusambaa kwa technolojia
Niliwahi kuona takwimu kuwa sisi Bongo tunazalisha mchele kwa asilimia kubwa sana, pia maharage lakini sijajuwa bado serikali inafanya nini kuwatafutia wakulima masoko nje, na kuna nchi kibao ambazo zina import mchele na maharage tena hapa hapa Afrika, Hii nchi viongozi wetu wamebweteka sana! Hakuna nayewahangaikia wananchi
 
Ujermani tayari idadi ya wazee ni kubwa kama Italy, na nguvu kazi imepungua sana hasa za kazi kama drivers, gardeners, wapishi, wafanya usafi, hivo hapo hakuna jipya, watalipwa hiyo pesa na kodi watalipa vilevile,
 
Kwetu ni system Ila vijana ambao tupo tayari kwenda kufanya kazi tupo na lugha tunajua mkuu.

English language tunaongea na kuandika

Pia kijerumani tunaweza kujifunza.
Natambua kwamba wapo Vijana wachache wa Kitanzania wanaweza but Viongozi wetu wanafikilia kundi hili? Wao wakipata trip za nje wanabebana na Wasanii na Vijana wasomi wenye kusaka fursa. Tatizo linatokea kwa Ungozi usioopanua uwigo wa fursa kwa watu wake, Nakubaliana kuwa wapo Vijana wachache wenye uwezo wa kushindana huko njea na kuweza kuingia kwenye soko la Ajira huko Ulaya ambao tayari kuna naksi ya wafanyakazi. Ruto amepata Credit with this arrangement. Tujifunze kwake.
 
Kwetu ni system Ila vijana ambao tupo tayari kwenda kufanya kazi tupo na lugha tunajua mkuu.

English language tunaongea na kuandika

Pia kijerumani tunaweza kujifunza.
Exactly exactly! Sasa anakuja mtu anataka sijuwi uongee English gani! Kuna jamaa mmoja alisema eti tuache kabisa Kiswahili tuanze Kiingereza, nchi kibao watu wanajifunza kiingereza kama lugha ya pili kwanini sisi watu hawataki hivyo?
English ni lugha, kujuwa English pekee haikufanyi uwe na uwezo wa kufanya kazi, kuna mabilioni ya watu na wanaongea Kiingereza
 
Ujermani tayari idadi ya wazee ni kubwa kama Italy, na nguvu kazi imepungua sana hasa za kazi kama drivers, gardeners, wapishi, wafanya usafi, hivo hapo hakuna jipya, watalipwa hiyo pesa na kodi watalipa vilevile,
Kumbuka Diasporas wa Kenya na Uganda wanachangia significant % kwenye GDP ya nchi zao. Kuna kazi za professionals ambazo pia wanazifanya.
 
Wacha uongo. Deal imetiwa wino 13/9/2024.

Kasome huu uzi afu angalia ni wa lini niliweka link inayohusu hii habari comment #13. Hii agreement ilikua tayari toka mwanzo wa mwaka ilikua bado kusign tu ambako ndo kumefanyika Leo.

Nchi zenye watu walioelimika, skills na wanaojua lugha wanaingia mikataba ya hivi toka miaka ya zamani sana ndo maana unaona wakenya, Nigerians wapo nje kibao. Nchi zao zinafanya jitihada za makusudi kabisa to export skilled labors to curb the unemployment crisis. In return hao watu wanatuma remittances inayochangia pato la taifa kuliko wizara zenu zote combined.

Back
Top Bottom