abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
Achana na takwimu zako kutoka unknown sources na wikipedia,Kwa sababu 56% ya wajerumani wanaongea inglishi.
Uliza walio na Experience ya kuishi Ujerumani watakwambia jinsi ilivyongumu kama huwezi kuongea kijerumani. Sipingi uwepo wa wazungumzaji wa kiingereza Ujerumani hata hapa Tz wapo pia shida ni nyinyi kulazimisha watu waongee English kama lugha ya Kwanza mkihisi ndo inafanya watu wapate fursa. Huo ni upuuzi