- Thread starter
- #21
Ulikuwa unakimbia vipindi vya history kwenda kulq maembe, Tuambie ni mtumwa yupi alikuwa analipwa kwenye somo la history ?illiteracy, Jielemishe kwani watumwa walikuwa hawalipwi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa unakimbia vipindi vya history kwenda kulq maembe, Tuambie ni mtumwa yupi alikuwa analipwa kwenye somo la history ?illiteracy, Jielemishe kwani watumwa walikuwa hawalipwi?
Ubaya ubwelaUjerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya kazi nchini humo.
Makubaliano hayo yamefikiwa kati ya Rais William Ruto na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.
Tayari madereva Watano toka Kenya wamefika kwenye mji wa Flensburg Ujerumani kupitia mpango huu.
View attachment 3095807
- Faida..
- Fursa za kujiongeza kielimu na kupata kazi zenye mishahara mirefu zaidi
- Kupata connections za biashara za kimataifa, Mfano kununua maparachichi Tanzania kwa mia mbili, kuyauza ujerumani kwa elf 5.
- Diaspora inazidi kupanuka, Inakuwa rahisi kwa wakenya kuingia ujerumani wakiwa na ndugu, marafiki na jamaa waliojaa nchini humo.
- Wakenya kupata fursa za kutumia vipaji kupata pesa zaidi mfano klab kubwa ujerumani hulipa milioni 200 kwa wiki.
- n.k.
Hata South Africa wakati wa Apartheid Policy watu walikuwa wanafanya kazi na kulipwa!illiteracy, Jielemishe kwani watumwa walikuwa hawalipwi?
This is Huge....😋😍Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya kazi nchini humo.
Makubaliano hayo yamefikiwa kati ya Rais William Ruto na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.
Tayari madereva Watano toka Kenya wamefika kwenye mji wa Flensburg Ujerumani kupitia mpango huu.
Faida..
View attachment 3095807
- Fursa za kujiongeza kielimu na kupata kazi zenye mishahara mirefu zaidi (Mwalimu analipwa milioni 8 kwa mwezi)
- Kupata connections za biashara za kimataifa, Mfano kununua maparachichi Tanzania kwa mia mbili, kuyauza ujerumani kwa elf 5.
- Diaspora inazidi kupanuka, baadhi ya sehemu kunakuwa na vijiji / mitaa iliyojaa wakenya
- Inakuwa rahisi kwa wakenya kuingia ujerumani wakiwa na ndugu, marafiki na jamaa waliojaa nchini humo.
- Wakenya kupata fursa za kutumia vipaji kupata pesa zaidi mfano klab kubwa ujerumani hulipa milioni 200 kwa wiki.
- n.k.
Diedrich Westermann – Scholar| Title | Year | Role | Notes |
| Pedro Will Hang | 1941 | Pfleger | Last film role |
| Carl Peters | 1941 | Ramasan | |
| The Star of Rio | 1940 | ||
| Congo Express | 1939 | Farm Worker | |
| Men Are That Way | 1939 | Ein Gast im Lokal | |
| Sergent Berry | 1938 | Unrecognised | |
| Eine Frau kommt in die Tropen | 1938 | Servant | |
| Der unmögliche Herr Pitt | 1938 | Kameltreiber | |
| Five Million Look for an Heir | 1938 | Liftboy | |
| Faded Melody | 1938 | Ein Zeitungsverkäufer based in the city of New York | |
| Schüsse in Kabine 7 | 1938 | ||
| To New Stones | 1937 | Diener Farbiger des Gouverneurs | |
| Die Reiter von Deutsch-Ostafrika | 1934 | Mustapha Signalschüler |
chanzo cha habari n nn kwamba imeruhusu wakenya laki 2 na 50??..........kichwa chako kinafikiri sawa sawa kwel?Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya kazi nchini humo.
Makubaliano hayo yamefikiwa kati ya Rais William Ruto na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.
Tayari madereva Watano toka Kenya wamefika kwenye mji wa Flensburg Ujerumani kupitia mpango huu.
Faida..
View attachment 3095807
- Fursa za kujiongeza kielimu na kupata kazi zenye mishahara mirefu zaidi (Mwalimu analipwa milioni 8 kwa mwezi)
- Kupata connections za biashara za kimataifa, Mfano kununua maparachichi Tanzania kwa mia mbili, kuyauza ujerumani kwa elf 5.
- Diaspora inazidi kupanuka, baadhi ya sehemu kunakuwa na vijiji / mitaa iliyojaa wakenya
- Inakuwa rahisi kwa wakenya kuingia ujerumani wakiwa na ndugu, marafiki na jamaa waliojaa nchini humo.
- Wakenya kupata fursa za kutumia vipaji kupata pesa zaidi mfano klab kubwa ujerumani hulipa milioni 200 kwa wiki.
- n.k.
Ujerumani wanaongea Kiingereza?habari ya muda tu.
Tanzania ukweli wanaoukataa wengi ni kwamba lugha inawakosesha sana watz fursa. nasema hayo kama mtu ambaye nafanya kazi nje ya tz. maana hata kazi za unskilled unatakiwa walau ujue kubonga.
Huku mnaminyiwa vijanaHamia KENYA MZEE
Kwa hiyo na wewe unataka na sisi tuende Ujerumani kama Wakenya???Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya kazi nchini humo.
Makubaliano hayo yamefikiwa kati ya Rais William Ruto na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.
Tayari madereva Watano toka Kenya wamefika kwenye mji wa Flensburg Ujerumani kupitia mpango huu.
Faida..
View attachment 3095807
- Fursa za kujiongeza kielimu na kupata kazi zenye mishahara mirefu zaidi (Mwalimu analipwa milioni 8 kwa mwezi)
- Kupata connections za biashara za kimataifa, Mfano kununua maparachichi Tanzania kwa mia mbili, kuyauza ujerumani kwa elf 5.
- Diaspora inazidi kupanuka, baadhi ya sehemu kunakuwa na vijiji / mitaa iliyojaa wakenya
- Inakuwa rahisi kwa wakenya kuingia ujerumani wakiwa na ndugu, marafiki na jamaa waliojaa nchini humo.
- Wakenya kupata fursa za kutumia vipaji kupata pesa zaidi mfano klab kubwa ujerumani hulipa milioni 200 kwa wiki.
- n.k.
Hii itaongeza chuki!🤣🤣Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya kazi nchini humo.
Makubaliano hayo yamefikiwa kati ya Rais William Ruto na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.
Tayari madereva Watano toka Kenya wamefika kwenye mji wa Flensburg Ujerumani kupitia mpango huu.
Faida..
View attachment 3095807
- Fursa za kujiongeza kielimu na kupata kazi zenye mishahara mirefu zaidi (Mwalimu analipwa milioni 8 kwa mwezi)
- Kupata connections za biashara za kimataifa, Mfano kununua maparachichi Tanzania kwa mia mbili, kuyauza ujerumani kwa elf 5.
- Diaspora inazidi kupanuka, baadhi ya sehemu kunakuwa na vijiji / mitaa iliyojaa wakenya
- Inakuwa rahisi kwa wakenya kuingia ujerumani wakiwa na ndugu, marafiki na jamaa waliojaa nchini humo.
- Wakenya kupata fursa za kutumia vipaji kupata pesa zaidi mfano klab kubwa ujerumani hulipa milioni 200 kwa wiki.
- n.k.
Huko juu unafikiri hawajafatwaKwa hiyo na wewe unataka na sisi tuende Ujerumani kama Wakenya???
Sisi ni koloni la hawa mabeberu ila hamna kitu kbsaUjerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya kazi nchini humo.
Makubaliano hayo yamefikiwa kati ya Rais William Ruto na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.
Tayari madereva Watano toka Kenya wamefika kwenye mji wa Flensburg Ujerumani kupitia mpango huu.
Faida..
View attachment 3095807
- Fursa za kujiongeza kielimu na kupata kazi zenye mishahara mirefu zaidi (Mwalimu analipwa milioni 8 kwa mwezi)
- Kupata connections za biashara za kimataifa, Mfano kununua maparachichi Tanzania kwa mia mbili, kuyauza ujerumani kwa elf 5.
- Diaspora inazidi kupanuka, baadhi ya sehemu kunakuwa na vijiji / mitaa iliyojaa wakenya
- Inakuwa rahisi kwa wakenya kuingia ujerumani wakiwa na ndugu, marafiki na jamaa waliojaa nchini humo.
- Wakenya kupata fursa za kutumia vipaji kupata pesa zaidi, Kuna vijana wadogo ujerumani wanacheza mpira wanakunja milioni 200 kila wiki.
- n.k.
"Sizitaki mbichi hizi", alisikika mkulima mmoja wa ufuta.new slave trade mode
Sio Burundi tena 😀😀😀Hamia KENYA MZEE
Nenda pale foreign kama muandishi wa habari unayetaka kujua tuna Watz wangapi Ujeremani kama wana takwimu sahihi na watakupa.Hata watanzania mbona wanakwenda tu ila ndio haitangazwi kama hivyo harakati za Ruto kuwatuliza Raia wake.
View attachment 3095829
Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya kazi nchini humo.
Makubaliano hayo yamefikiwa kati ya Rais William Ruto na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.
Tayari madereva Watano toka Kenya wamefika kwenye mji wa Flensburg Ujerumani kupitia mpango huu.
Faida..
- Fursa za kujiongeza kielimu na kupata kazi zenye mishahara ya kizungu (Mwalimu analipwa milioni 8 kwa mwezi)
- Kupunguza tatizo la wahitimu wengi wasio na ajira Kenya
- Kupata connections za biashara za kimataifa, Mfano kununua maparachichi Tanzania kwa mia mbili, kuyauza ujerumani kwa elf 5.
- Diaspora inazidi kupanuka, baadhi ya sehemu kunakuwa na vijiji / mitaa iliyojaa wakenya
- Inakuwa rahisi kwa wakenya kuingia ujerumani wakiwa na ndugu, marafiki na jamaa waliojaa nchini humo.
- Wakenya kupata fursa za kutumia vipaji kupata pesa zaidi, Kuna vijana wadogo ujerumani wanacheza mpira wanakunja milioni 200 kila wiki.
- n.k.
View: https://x.com/visegrad24/status/1834677580542193790