Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

The problem is not learning English be it from Kindergarten or Secondary levels or even at College, the problem is what you grasp and store in your head. Unatoka povu kwa kuwa wewe ni moja ya wale mnahesabu milango ya vyumba vya madarasa maliyopitia but not what you received and stored in your head.
Issue ni nini unacho kichwani. Hata Urusi wanasoma Kirusi ila wakienda nje still wanahitaji Kiingereza. You cant live and trade without it. It is a necessary element in our international engagements, even if you dont like to admit. Kiswhili tu hakitoshi au hata Kiingereza kama hakuna materials stored in your head.
 
Sisi waswahili we have nothing to do

Ila mabeberu kufanya nao kazi unafanikiwa sio wabinafsi
Waswahili wa Bongo tukitaka kubadirika tunaweza kufanya vizuri zaidi ya hao majirani zetu. We fuatilia BBC, VOA, DW, CGTN, hata KNC wengi wa watangazaji wametoka Kenya, si kwa sababu ni wazuri katika lugha bali upeo wa kujua mambo. Sisi Kiwahili tunakijua vizuri ila hatupendi kupanua upeo wetu wa kujua mambo nje ya yale tuliyokaririshwa Darasini ili tukashinde mitihani yetu. Muda wa kusoma na kupanua upeo wetu wa mambo mengi hatuna kwa kuwa tuko Busy na Simba na Yanga na kushabikia Bongo flavours .
 
Mkuu Mimi sifatilii hizo simba na tanga - how I can attract hizo fursa za kufanya Kazi na mabeberu.
 
Vijana wa hii nchi ni kuwaza upuuzi na kukosa ubunifu, si ajabu fursa zikatupita. Mtu akiona kijana kutoka Kemya kafanikiwa basi naye atakwambia ili ufanikiwe utabidi uongee kiingereza kwa usahihi, mtu akiona kijana x kafanikiwa kwa kipaji basi atakuja ataanza kushauri watoto wasisome waendelezwe vipaji vyao watafanikiwa, mtu akiona bill gates kafanikiwa kupitia kompyuta and IT basi na yeye atakwambia ili ufanikiwe usome Kompyuta or IT, mtu akiona vunja bei, kina nisher wamafanikiwa kupitia biashara basi watatoka watakwambia ili tufanikiwe tuache yote tufanye biashara.
Vijana wa hili taifa kuumiza kichwa ni mwiko na ujuaji mwingi kuliko kuona fursa, imagine mtu anakwambia kuongea perfect English ndo inaeza kumfungulia mtu milango! Hii ni rubbish, Uganda ni miongoni mwa nchi zinazozungumza best English hapa Afrika lakini angalia rate ya vijana waliokosa ajira Uganda na hapa Tanzania! Trump aliwahi kusema watu weusi ni wavivu sana
Sisi kwetu tumezidi. Hatutaki kusumbua vichwa vyetu. Sisi ni nchi ya amani na utulivu. Yanga leo imeshinda 1-0 hii itakuwa ndiyo story ya whole week na waandishi wetu wa habari hawatafuti tena habari mpya za kuisaidia jamii yetu isipokuwa uchawa nao umewavamia .
 
Natumaini mu wazima humu, ni siku nyingine tukiwa bado tunasubiri muafaka wa mchezaji Kagoma kama atabaki Simba au atarudi Yanga, Mzee wetu magoma na yeye ni mpaka kieleweke !!,

Anyway tukirudi kwenye kichwa cha habari, Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya kazi nchini humo.

Makubaliano hayo yamefikiwa kati ya Rais William Ruto na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.

Tayari madereva Watano toka Kenya wamefika kwenye mji wa Flensburg Ujerumani kupitia mpango huu. (Maderva hulipwa wastani wa euro 14 / shilingi elf 42 kwa saa)

Lugha kuu ujerumani ni kijerumani lakini asilimia 56 ya watu Ujerumani wanaweza kuongea kiingereza, ni sawa na kwenda Uganda unaweza usijue lugha yao ya kiganda lakini ukijua kiingereza inasaidia, inakuwa rahisi zaidi kujifunza kijerumani taratibu unapojua kiingereza.

Faida..
  • Fursa za kujiongeza kielimu na kupata kazi zenye mishahara ya kizungu (Mwalimu analipwa milioni 8 kwa mwezi)
  • Kupunguza tatizo la wahitimu wengi wasio na ajira Kenya, hata kwenye ajira za kiswahili mfano walimu wa kiswahili na watangazaji wa vituo vya Idhaa za Kiswahili kama BBC na DW, wakenya ni wengi na wanaenda kujazana zaidi.
  • Kupata connections za biashara za kimataifa, Mfano kununua maparachichi Tanzania kwa mia mbili, kuyauza ujerumani kwa elf 5.
  • Diaspora inazidi kupanuka, baadhi ya sehemu kunakuwa na vijiji / mitaa iliyojaa wakenya
  • Inakuwa rahisi kwa wakenya kuingia ujerumani wakiwa na ndugu, marafiki na jamaa waliojaa nchini humo.
  • Wakenya kupata fursa za kutumia vipaji kupata pesa zaidi, Kuna vijana wadogo ujerumani wanacheza mpira wanakunja milioni 200 kila wiki.
  • n.k.
Sisi tumepeleka wasanii Korea ya kusini,
 
Mkuu Mimi sifatilii hizo simba na tanga - how I can attract hizo fursa za kufanya Kazi na mabeberu.
Kama mpaka sasa hujui namna unavyoweza kupata hizo fursa, hili peke yake linaonyesha usivyokuwa agressive . Wabongo tukisha shiba ubwabwa na maharage tunaridhika. In the early 80s and 70s angalau hata Vijana wa kipindi hicho walikuwa wako radhi hata kuzamia meli ili mradi wafuate fursa nje hata kama walikuwa hawakusoma. This current generation , uchawa na Kamali za betting ya match za mpira inawatosha.
 
Na wengine wanaenda kuleft group maana huko ni ruksa
 
Kama mpaka sasa hujui namna unavyoweza kupata hizo fursa, hili peke yake linaonyesha usivyokuwa agressive . Wabongo tukisha shiba ubwabwa na maharage tunaridhika. In the early 80s and 70s angalau hata Vijana wa kipindi hicho walikuwa wako radhi hata kuzamia meli ili mradi wafuate fursa nje hata kama walikuwa hawakusoma. This current generation , uchawa na Kamali za betting ya match za mpira inawatosha.

Tulia mkuu sio kila MTU yupo Kama unavyomfikiria wewe utakuwa unafanya motivation
 
Kuna mkenya, kwenye hiyo conference anafundisha vijana kukarabati ndege, Serikali ya Kenya, imekubali kumsadia kuingiza ndege za kufundishia Kenya, ili vijana kibao wapate mafunzo, huku kwetu samia na, genge lake la ccm, walikumuwekea vikwazo Tajiri kijana m wenzetu, Fernandez asiwekeze bongo, na, NALA, akaenda kuwekeza Kenya,! Ccm inaogopa vijana wengi wakiwa na nguvu za ki uchumi, watawatishia na, kuwa weka, roho juu, wasitswale ki uraiiini,
Kijana awe maskini wa, kipato, Afya duni, elimu ya, hovyo, anatawalika kirahisi,
Samia, yupo comfortable kukutana na mwijaku, baba levo, ndio level yake, lakini, hawezi, kukutana, na, Fernandez boss wa, NALA, au, wale vijana wenye kampuni ya Ramani, U Tajiri wa Fernandez wa, NALA, ni mara kumi ya u Tajiri wa, Diamond!
Vijana wa bongo wapo bize kujadili Iphone 16!, Kenya, wanavuka mipaka wapo mpaka Ireland, kutafuta maisha, mbongo, aliyezaliwa Dar, akipata uhamisho, kwenda Mtwara, Bukoba, Dodoma, anachanganyikiwa! Anaona, katupwa, mbali Sana, fuckers
Lazy in thinking and less aggressiveness . Tunapenda mambo mapesi mepesi, ndo maana hata tunaporwa na baadhi ya Haki zetu na mamlaka za wananchi wetu. Kenya is a different society
 
Kwa sababu 56% ya wajerumani wanaongea inglishi.
Achana na takwimu zako kutoka unknown sources na wikipedia,
Uliza walio na Experience ya kuishi Ujerumani watakwambia jinsi ilivyongumu kama huwezi kuongea kijerumani. Sipingi uwepo wa wazungumzaji wa kiingereza Ujerumani hata hapa Tz wapo pia shida ni nyinyi kulazimisha watu waongee English kama lugha ya Kwanza mkihisi ndo inafanya watu wapate fursa. Huo ni upuuzi
 
Back
Top Bottom