View attachment 3305128
China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko.
Kupitia jua hili bandia, China inalenga kuboresha nguvu kazi yake kwani saa za kazi nchini China sasa zitaongezeka kutoka masaa 13 hadi masaa 24 kwa siku.
Njoo hapa kwetu sasa, Ijumaa kuu, Pasaka na kuna jumatatu ya pasaka. Hujakaa sawa kuna Idi halafu kuna idi pili. Mara Nyerere day na Karume day, wengine wanataka tuongeze Magufuli day na Mkapa day. Upuuzi mtupu.
Unajiuliza hizo sikukuu zimewahi kuongeza nini zaidi ya watu wavivu kutaka kupumzika