Wakati Tz ikiendekeza sikukuu, China yaunda jua kuongeza muda wa kupiga kazi

Watu wanalala kwa tabu ikifika usiku jua bado lipo na unatakiwa uende kazini kesho yake..🤣
Wengi wao hufunika madirisha na mapazia mazito yani wanahakikisha mwanga haupiti wanazima na taa halafu wanalala tena hapo anajiwekea na ile mask yakuziba macho ndo analala!.

sema kuna muda pia wana experience usiku mrefu pia oya tabu sana kule...😂

Tatizo kwenye watoto, hapo ndio mtihani
Nakumbuka wanangu wakati wa Summer huku, jua linazama mpaka saa tatu na nusu
Sasa hawalali wanakuambia jua bado lipo

Saa mbili unawakuta nje wanacheza mpira 😄 🤣 😂
Na kesho shule
 
Halafu linakuja jitu linasifia jua la masaa 24!, Hili lakudunda kabisa!..😂
 
View attachment 3305128
China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko.

Kupitia jua hili bandia, China inalenga kuboresha nguvu kazi yake kwani saa za kazi nchini China sasa zitaongezeka kutoka masaa 13 hadi masaa 24 kwa siku.

Njoo hapa kwetu sasa, Ijumaa kuu, Pasaka na kuna jumatatu ya pasaka. Hujakaa sawa kuna Idi halafu kuna idi pili. Mara Nyerere day na Karume day, wengine wanataka tuongeze Magufuli day na Mkapa day. Upuuzi mtupu.

Unajiuliza hizo sikukuu zimewahi kuongeza nini zaidi ya watu wavivu kutaka kupumzika
Usiwe mvivu wa kusoma vitu kwa undani mkuu. Wachina Wana project inayoitwa EAST( Experimental Advanced Superconducting Tokamak). Hii ni project ya kisayansi yenye lengo la kutumia process ya nuclear fusion iliyotumika kuunda jua ili kupata chanzo cha nishati(clean energy). Jua linatokana na fusion ya hydrogen atoms kuungana na kuunda helium kupitia process inayoitwa nuclear fusion. Bado Kuna kazi kubwa sana ya kufanya kufikia hatua ya kuwa na nuclear plant inayotumia nuclear fusion kuzalisha nishati. Lengo siyo kutengeneza jua kama ulivotudanganya. Ni kwamba hii project inapewa nick name ya jua bandia kwa sababu ya process yake inafanana na Ile Mungu aliyotumia kutengeneza jua. By the way Kuna majaribio ya aina hii yanaendelea katika baadhi ya nchi kama Ufaransa na USA.Nuclear fusion Inazalisha nishati safi kwa kutumia resources ambazo ni rahisi kupatikaa kama hydrogen(inaweza kupatikana kutoka kwenye maji) na pia Haina madhara ya radiations kama ilivyo kwenye nuclear fission
 
Wewe ukifanya kazi inatosha mkuu,waache watu wale Bata..
 
Muhasibu kweli wewe ni wa kuleta taarifa kama hii??
Umefanya tafiti yoyote, basi hata jiulize wewe mwenyewe tu kama icho kitu kinawezekana...

We jamaa taarifa zako huwa ni za kiwaki sana.
 
View attachment 3305128
China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko.

Kupitia jua hili bandia, China inalenga kuboresha nguvu kazi yake kwani saa za kazi nchini China sasa zitaongezeka kutoka masaa 13 hadi masaa 24 kwa siku.

Njoo hapa kwetu sasa, Ijumaa kuu, Pasaka na kuna jumatatu ya pasaka. Hujakaa sawa kuna Idi halafu kuna idi pili. Mara Nyerere day na Karume day, wengine wanataka tuongeze Magufuli day na Mkapa day. Upuuzi mtupu.

Unajiuliza hizo sikukuu zimewahi kuongeza nini zaidi ya watu wavivu kutaka kupumzika
Hii haliwezi kuathiri utarati wa dunia kwenye muhimili wake..? Hawa watu wasije kutuletea majanga kama ya corona walivyoyaleta..
 
Fake news
www.youtube.com/watch?v=g-PLekYOv20

China is pursuing the development of "artificial suns" through nuclear fusion research, aiming to harness the power of the sun for clean and sustainable energy. Their efforts focus on replicating the sun's fusion process on Earth, using atomic nuclei to merge hydrogen atoms into helium. The goal is to create a stable, high-efficiency fusion reaction that can sustain itself for extended periods, paving the way for future fusion power plants
 
View attachment 3305128
China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko.

Kupitia jua hili bandia, China inalenga kuboresha nguvu kazi yake kwani saa za kazi nchini China sasa zitaongezeka kutoka masaa 13 hadi masaa 24 kwa siku.

Njoo hapa kwetu sasa, Ijumaa kuu, Pasaka na kuna jumatatu ya pasaka. Hujakaa sawa kuna Idi halafu kuna idi pili. Mara Nyerere day na Karume day, wengine wanataka tuongeze Magufuli day na Mkapa day. Upuuzi mtupu.

Unajiuliza hizo sikukuu zimewahi kuongeza nini zaidi ya watu wavivu kutaka kupumzika
Hata wachina wana sikukuu nyingi tu hujawajua. Ukikaa kwao ndio utaelewa
 
Makasiriko ya nini mkuu? kwani kuna mtu kakukataza kufanya kazi siku ya sikukuu? mimi na sikukuu zote hizi, na weekends, tangu mwaka uanze sijawahi kupata siku mbili mfulululizo za kupumzika, na siku nayopumzika kazini basi natumia kufanya kazi za home.
 
Mimi binafsi mkuu Usiku sioni umuhimu wake kwangu.
Usiku una umuhimu gani mkuu? Kulala na kutombana tu?
Au umuhimu wa usiku ni wachawi kwenda kuwanga.
Huna Elimu ya kutosha kuhusu spiritual life hata secular
Soma ujue hutadharau chochote
Mungu Sio Mjomba Ako kutenga Usiku na Mchana Anamaana yake
Jua ni Afya na Giza ni Afya
Jua ni Mawaidha na Usiku ni una siri kubwa
kiroho na kimwili.
Night represents a duality that touches both the mind and the soul. It is a time of mystery, introspection, and transformation. For many, the night is a source of fear due to the uncertaintyit represents, but for others, it provides the silence needed for deep spiritual reflection. The spiritual night often symbolizes the journey through one’s subconscious mind, allowing individuals to confront their inner selves.
Pia chukua hii
Darkness stimulates the pineal gland located deep in the brain to produce melatonin, which is a serotonin-derived hormone that promotes sleepiness. Light exposure inhibits that process, thus blocking melatonin production and providing another barrier between us and sound sleep.
 
Hata wachina wana sikukuu nyingi tu hujawajua. Ukikaa kwao ndio utaelewa
Kuna public holidays za kutosha hasa National day,CNY,labour day aisee hizi ni chache na wana mupumziko ya siku nyingi kweli uzuri wao mapumziko ya sikukuu wamegeuza fursa za kiutalii wa ndani na kukuza uchumi hasa kimanunuzi.

Hakuna muda mgumu kwenda kutalii China kama muda wa public holidays
 
Kwani shida nini muda sisi tumepumzika wewe kajenge taifa!! Mbona unapenda mashindano

Kwanza "ole wao wale wanaogeuza usiku kuwa mchana"
 
Mimi binafsi mkuu Usiku sioni umuhimu wake kwangu.
Usiku una umuhimu gani mkuu? Kulala na kutombana tu?
Au umuhimu wa usiku ni wachawi kwenda kuwanga.
Huna Elimu ya kutosha kuhusu spiritual life hata secular
Soma ujue hutadharau chochote
Mungu Sio Mjomba Ako kutenga Usiku na Mchana Anamaana yake
Jua ni Afya na Giza ni Afya
Jua ni Mawaidha na Usiku ni unadorned kubwa
kiroho na kimwili.
Ndo Mana
 
Ukishaweka

Ukishaweka mambo ya Mungu mpaka hapo hatuwezi kuelewana mkuu.
 
Ukijipata nenda Finland kaangalie watu wanavyohangaika ndo utaelewa umuhimu wa usiku...
Katika maeneo ya mbali kaskazini mwa dunia kama Finland, hasa katika mji wa Rovaniemi (ambao uko ndani ya Arctic Circle), kuna kipindi kinaitwa Midnight Sun — yaani jua halizami kabisa kwa siku kadhaa hadi miezi miwili wakati wa majira ya kiangazi (mwishoni mwa Mei hadi Julai).

Kwa ufupi:​

  • Miezi ya majira ya kiangazi (Summer):
    Jua linaangaza masaa 24 — halizami kabisa. Hivyo kuna mwanga usiku na mchana. Watu wanaishi kama kawaida — wana ratiba ya kulala, kula, na kufanya shughuli zao, ingawa mara nyingi hutumia mapazia mazito au madirisha ya giza (blackout curtains) ili kusaidia kulala.
  • Miezi ya baridi kali (Winter):
    Kuna kitu kinaitwa Polar Night (Kaamos) — ambapo jua halichomozi kabisa kwa wiki hadi miezi miwili. Muda mwingi ni giza, na kama likiwa linaonekana, ni kama mwangaza hafifu sana karibu na upeo wa macho.

Je, Wanaishi Vipi?​

Watu wa Finland wanaishi kawaida kabisa:
  • Wanapanga muda wa kulala kwa saa zao, sio mwanga wa jua.
  • Watalii hufurahia hali hiyo kwa kufanya matembezi usiku kwenye mwanga wa jua au kuangalia Northern Lights (taa za kaskazini) wakati wa baridi.
  • Kuna changamoto za kiafya kama usingizi na mabadiliko ya hisia, lakini wengi wamezoea.

Kwa hiyo:​

Finland sio nchi ya maigizo au michezo ya kuigiza — ni hali ya asili kutokana na mzunguko wa dunia na mwelekeo wake kwenye mhimili. Na watu wanaishi kawaida kabisa.

chanzo: Akili mnemba.
 
Back
Top Bottom