Wakati Tz ikiendekeza sikukuu, China yaunda jua kuongeza muda wa kupiga kazi

Wakati Tz ikiendekeza sikukuu, China yaunda jua kuongeza muda wa kupiga kazi

View attachment 3305128
China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko.

Kupitia jua hili bandia, China inalenga kuboresha nguvu kazi yake kwani saa za kazi nchini China sasa zitaongezeka kutoka masaa 13 hadi masaa 24 kwa siku.

Njoo hapa kwetu sasa, Ijumaa kuu, Pasaka na kuna jumatatu ya pasaka. Hujakaa sawa kuna Idi halafu kuna idi pili. Mara Nyerere day na Karume day, wengine wanataka tuongeze Magufuli day na Mkapa day. Upuuzi mtupu.

Unajiuliza hizo sikukuu zimewahi kuongeza nini zaidi ya watu wavivu kutaka kupumzika
Sawa, watu litawaangaza na mimea je ambayo mchana huvuta hewa chafu na usiku kupumua hewa safi itafanyaje? Na ndege, wadudu na wanyama ambao jua likizama wanakwenda kulala nao watafanyaje?
 
Nasikia singeli ndo mdundo wa taifa, Mkuu unadhani Kuna nini hapo!!? Tutasubiri saanaaa, harafu ukizingatia tuna umri sawa na china , ila jamaa wapo mbali Sana ukilinganisha na sisi.
 
Back
Top Bottom