Wakati Tz ikiendekeza sikukuu, China yaunda jua kuongeza muda wa kupiga kazi

Kuna public holidays za kutosha hasa National day,CNY,labour day aisee hizi ni chache na wana mupumziko ya siku nyingi kweli uzuri wao mapumziko ya sikukuu wamegeuza fursa za kiutalii wa ndani na kukuza uchumi hasa kimanunuzi.

Hakuna muda mgumu kwenda kutalii China kama muda wa public holidays
Unajua wabongo ni wasema hovyo bila hata utafiti. Cjui wachina hiv cjui vile lakin hawajui vizur hawa watu. Watu wakifika Guangzhou wanahisi washafika china yote. Hawajui kuna miji kuna sikuu za maji tena za kingese kweli. Unajifungia ndan karibu wiki
 
View attachment 3305128
China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko.

Kupitia jua hili bandia, China inalenga kuboresha nguvu kazi yake kwani saa za kazi nchini China sasa zitaongezeka kutoka masaa 13 hadi masaa 24 kwa siku.

Njoo hapa kwetu sasa, Ijumaa kuu, Pasaka na kuna jumatatu ya pasaka. Hujakaa sawa kuna Idi halafu kuna idi pili. Mara Nyerere day na Karume day, wengine wanataka tuongeze Magufuli day na Mkapa day. Upuuzi mtupu.

Unajiuliza hizo sikukuu zimewahi kuongeza nini zaidi ya watu wavivu kutaka kupumzika
WACHA WAKESHE....BATA MUHIMU SANA
 
Mimi binafsi mkuu Usiku sioni umuhimu wake kwangu.
Usiku una umuhimu gani mkuu? Kulala na kutombana tu?
Au umuhimu wa usiku ni wachawi kwenda kuwanga.
Hizo ni stori za vijiwe vya kahawa. Hakuna jua lililoundwa China
 
View attachment 3305128
China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko.

Kupitia jua hili bandia, China inalenga kuboresha nguvu kazi yake kwani saa za kazi nchini China sasa zitaongezeka kutoka masaa 13 hadi masaa 24 kwa siku.

Njoo hapa kwetu sasa, Ijumaa kuu, Pasaka na kuna jumatatu ya pasaka. Hujakaa sawa kuna Idi halafu kuna idi pili. Mara Nyerere day na Karume day, wengine wanataka tuongeze Magufuli day na Mkapa day. Upuuzi mtupu.

Unajiuliza hizo sikukuu zimewahi kuongeza nini zaidi ya watu wavivu kutaka kupumzika
Unasahau mwenge ukipita wiki nzima hamna kazi, raisi akipita mnastop kufanya kazi.
 
Hakuna uhusiano wa kufanya kazi masaa mengi na kupata mafanikio,kama ingekuwa hivyo basi boda wanao kesha wangekuwa wamefanikiwa sana
 
Acheni kisifia kila kitu nyie hivi unajua umuhimu wa usiku..? kawaulize wanaokaa Finland watakuambia usiku unaumuhimu gani.
Mkuu; Mbona umeenda mbali hivyo kutafuta mfano? Si ungewauliza tu wenyewe wanajua sana kazi wanayoifanya kule wanakodai kunaitwa ni Kitambaa cheupe, Masakuu n.k. wanahudhuriaga huko muda gani?
 
Hakuna uhusiano wa kufanya kazi masaa mengi na kupata mafanikio,kama ingekuwa hivyo basi boda wanao kesha wangekuwa wamefanikiwa sana
Sawa. Lakini usisahau pia kwamba na namna ya matumizi yao yanaweza kuwa ni mojawapo ya sababu ya kutokufanikiwa kwao.
 
View attachment 3305128
China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko.

Kupitia jua hili bandia, China inalenga kuboresha nguvu kazi yake kwani saa za kazi nchini China sasa zitaongezeka kutoka masaa 13 hadi masaa 24 kwa siku.

Njoo hapa kwetu sasa, Ijumaa kuu, Pasaka na kuna jumatatu ya pasaka. Hujakaa sawa kuna Idi halafu kuna idi pili. Mara Nyerere day na Karume day, wengine wanataka tuongeze Magufuli day na Mkapa day. Upuuzi mtupu.

Unajiuliza hizo sikukuu zimewahi kuongeza nini zaidi ya watu wavivu kutaka kupumzika
Keyboarders at work
 
Tafadhali usilinganishe chawa na tembo
 
Hakuna chanzo cha Taarifa.

Everything we know about China’s ‘artificial sun’​

Kula maisha kijana usiwe serious sana maana you will never make it out of here alive. Kula maisha mwanawane maana hakuna la maana zaidi ya hilo kama unabisha tukutane siku ukiwa kitandani unakaribia kukata roho tuone kama tutakua hatuongei lugha moja…

Uzalendo gani unaoutaka.. kwa Taifa lipi??
 
Everything we know about China’s ‘artificial sun’​

Nitafuatilia ili nijisomee mwenyewe kama ni kweli. Shukrani.
 
Back
Top Bottom