Mkuu tpaul.Akikujibu unitag na mimi tukapige hiyo kazi kwenye porn industry mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilinunua chupi za kike na sandals nikaenda zangu sokoni tengeru mimi na wifi yangu. tukakodisha meza sh 3000 tukamwaga machupi na maviatu.
Wafanyabiashara wengine wakawa wanatushangaa maana tumepiga pamba jeans zimetukaa vzr na masmartphone makubwaa hlf tumekuja na gari tumepark hapo. Tuliambulia kuuza pair moja ya kiatu sh 4000 tukatoa hela ya meza tukabaki na buku.
Hatukurudi tena.
Yes ndo huyo. Hatukurudi aisee lkn tulivyotoka hapo tukapita kwa rafiki yetu mmoja alikuwa na rafiki zake wakatuungisha sana so siku haikupotea bure😂😂yule wifi cheupe?haaa...mngekaza na kesho
Nilinunua chupi za kike na sandals nikaenda zangu sokoni tengeru mimi na wifi yangu. tukakodisha meza sh 3000 tukamwaga machupi na maviatu.
Wafanyabiashara wengine wakawa wanatushangaa maana tumepiga pamba jeans zimetukaa vzr na masmartphone makubwaa hlf tumekuja na gari tumepark hapo. Tuliambulia kuuza pair moja ya kiatu sh 4000 tukatoa hela ya meza tukabaki na buku.
Hatukurudi tena.
Nimeroga sana na kuuza mizoga ya wafu
Jr[emoji769]
Jifunze kutokana na makosa...mrudie mazaYaani sasa hivi ningekuwa na ofisi kubwa tu pale Mbezi beach
Labda 😀😀, ila nilipata experience flani sijajuta sanaHapo mngetafuta mpiga debe mkuu, hakika mngeuza zaidi ya hapo
Ni biashara ambayo inavutia ukiangalia unaweza kuona kama kesho utatajirika lakini kiukweli ukisoma kwa kina huo utajiri hauonekani, kwasasa sio kitu cha ajabu sana kuna machapisho mengi na video nyingi kuhusu hiyo biashara so kama umevutiwa unaweza kupata maelezo mengi mitandaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu, unajua kuna vitu unaweza kudhani kwamba huwezi fanya lkn mazingira yatatokea utajafanyaLabda 😀😀, ila nilipata experience flani sijajuta sana
Nilipata connection ya kucheza pale Las Vegas Kuna rafiki anarafiki yake pale akaniunganisha..siku ya kuanza kazi ikafika..niliwaza Sana nikasema hapana mwili wangu una thamani sana .
Nikaishia kuuza maandazi na kachori..alhamdulillah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kasenyi kazilantemwa nyarugusu msenyi au lwazi!?2011 ilivyostishwa kazi yangu ktk kampuni nilipigika sana nikaamua kukimbilia katika kisiwa kimoja kilichopo ziwa victoria (Ikuza) nikiwa huko nilijikuta nimefanya kazi ambayo ni tamaa ya pesa
niliingia ktk hifadhi taifa ya rubondokinyume na taratibu kwenda kutega samaki usku wa manane nikiwa mgeni mimi pekee wenzangu walikua wenyeji siku nyingi walikua wakiingia ikiwa ndio malayangu ya tatu kuingia tulikamatwa na watu wa dolia gemu
kipondo tulichopewa ni cha mbwa koko miaka mi3jera hadi leo mguu wangu wa kulia una hitilafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na shida ujasiri unakuja. Huwa tunacheka sana tukikumbuka ila naweza nikarudia lkn kwa aina nyingine ya bidhaa.Ni kweli mkuu, unajua kuna vitu unaweza kudhani kwamba huwezi fanya lkn mazingira yatatokea utajafanya
Halafu unajiuliza hivi ule ujasiri niliupataga wapi.
Hongera kwa udhubutu
Mimi mpaka leo maisha bado yananipiga chenga.nawaza kutapeli tu hapa nilipo.japo nawatapeli kiakili.
Hapa nilipo nina madeni na sijui nalipaje[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] mkabaki na buku ambayo pia sio faidaNilinunua chupi za kike na sandals nikaenda zangu sokoni tengeru mimi na wifi yangu. tukakodisha meza sh 3000 tukamwaga machupi na maviatu.
Wafanyabiashara wengine wakawa wanatushangaa maana tumepiga pamba jeans zimetukaa vzr na masmartphone makubwaa hlf tumekuja na gari tumepark hapo. Tuliambulia kuuza pair moja ya kiatu sh 4000 tukatoa hela ya meza tukabaki na buku.
Hatukurudi tena.
MKUU,Ila hii ya kisomesha ndugu inaumiza sana....! Huu mwaka km kuna ndugu atakula hela yangu ni mama na baba!ndugu hata umsaidieje hanaga ht wema kwako!
Shenzi sana sijui y!
Hapo tulitumia pesa yetu kula , pia tulienda na gari mafuta yamepotea bure. Nadhani tulipaswa kwenda na daladala