Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Bless Up Man, naamini ipo siku atatambua umuhimu wangu. Napokea pole yako mkuu wangu.
Okay,sawa mkuu...this time nikupe pole kwa kuwa na mama ambaye ni harshy.
The mum is still worth it whatsoever character she exibits, nadhani wewe umefanya kwa nafasi yako, am praying for your prosperity bro.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawah kuamin mwanamke yeyote yule tatizo la wakinamama wanapenda kusifiwa hii ndio maana kuna misemo ya kuwasifia mingu huko mtaan itasikia mama ni mama ata cjui nan alitunga hii misemo maana huwa inanikera mno unakuta mama anakunyanyasa tena kwa makusudi afu utasikia mama ni mama
 
Hicho ndicho nlichomaanisha ila mtu akisikia kwa mara ya kwanza inaonekana kama biashara fulani ambayo unaweza tajirika kesho, na inaonekana kama betting lakini sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una wadogo wangapi? 2.8 kila mwezi kwa miaka 9? Unajua mwenyewe ulivyozitumia hizo hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zege kwa jirani yangu bunju. Na nilifanya. Na ufundi msaidizi kwa kusogeza tofali...😎😁
 
Hahahahha,yawezekana mimi ndo nilikuvunja huo kwa kukuchapa na makasia, kama ni Ikuza utakuwa ulikuwa mkokozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndio uthubutu. Hongera mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…