Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #61
Endeleeni kujisifu kwa sifa za kijinga, sijui tuna PWANI kubwa wakati wenzenu wanatumia kidogo walichonacho kwa akili inayowapa faida maradufuMada ina lengo la kuwapa uoga watanzania.
Upanuzi wa bandari zote tulizonazo na uendelee kama kawaida.
Pwani yetu ni kubwa kuliko ya jirani zetu wa kaskazini hivyo hatuhitaji kujiona tumechelewa, hizo fursa zipo tu.
Nani alipinga na alipingaje?Unapinga ndege,
Unapinga sgr
Unapinga bwawa la nyerere
Unapinga bara bara za juu ubungo na tazara
Ila unasifia na kupigania bandari ya bagamoyo.
Huu upumbavu mwingine ni wa kujitakia tu
SGR inayokwenda wapi??? Burundi na Rwanda???Sgr ikikamilika bandari yetu ya dar itakuwa na uwezo wa kuilisha mzigo wa kutosha??
Tanzania tayari tuna bandari sijui mapepe ya bandari nyingine ni ya nini wakati mizigo inatosha pale Dar pakipanuliwa vizuri. Lakini ni ujinga kujenga bandari nyingine kwa mikopo na kuwapa wageni waendeshe kwa faida zao. China anafikiria kufanya sehemu ile iwe kambi ya jeshi na dampo la vitu vya China. Yaani sisi tutoe miaka 100 na mizigo yote ihamie bagamoyo ina maana tutakuwa tumeuwa bandari ya Dar!. Hiyo bandari ikijengwa haitakuwa yetu kwa mikataba ya sasa itakuwa balozi ya china pale hata bendera itakuwa ya china. Je Kenya wametoa kwa miaka 100! ni ujinga mtupu
Unataka wasifungue nyingine wakati Mombasa imechukuliwa na wachina?
Kwa hiyo na sisi tufungue nyingine? Pwani yetu ina bandari ngapi na Kenya inazo ngapi? Lengo ni kufungua tu, bila sababu? Foolish creature!
Tatizo hujaelewa! Kenya target yake ni kufanya Ethiopia na South Sudan watumie Bandari yake hata kama wana options za kutumia Bandari zingine.Hii tu imekuondolea umakini kwenye mada yako.
Unazuzuka na nini hasa!
Hiyo bandari ya Lamu itakataza Bagamoyo tusijenge?
Hiyo hapo unayoishangilia ni "white elephant", in the true name of that phrase.
Lamu inakunyima nini wewe kama ni mtu wa Bagamoyo (mTanzania)?
Wao wanalenga Ethiopia, ambayo tayari inatumia bandari mbili, Eritrea na Djibouti, tena zenye mafanikio makubwa Sudan Kusini wanatumia bandari za Sudan!
Wewe ukisikia kelele nyingi akili inakuruka na kuanza kulialia kwa jambo lisilokuwa na athari yoyote kwa Bagamoyo?
Haya, una hisa huko, au wewe ni wakala wa walanguzi wanaotaka utuhimize tufanye mambo kwa papara kwa hasara ya nchi?
Bagamoyo itajengwa kwa utashi wetu, na sio kwa mihemuko ya watu kama wewe. Unakuja hapa kusema hatuwezi kujenga hata katika miaka 1000, wewe ni nani? Bure kabisa.
Unajenga SGR kuelekea vinchi Rwanda na Burundi alafu unaacha kuboresha TAZARA inayoenda kwenye nchi za uhakika kama Congo, Zambia, Malawi, Zimbabwe na sasa mpaka Botswana, sasa wewe una akili Au matope kichwani?..mimi nilidhani reli itatukomboa.
..lakini nimeanza kuwa na wasiwasi kandarasi wa kituruki.
..pia nimechanganyikiwa na kipande cha Dodoma-Tabora kilivyoachwa na badala yake wanajenga Mwanza to Isaka.
Hatuongozwi na Kenya Ila kwenye dunia hii ya ushindani ili kuwa na maendeleo ya kweli kwa watu wako ni lazima ujitahidi kuwa mbele ya mwenzako hasa kifikra na kimipango ili kukamata vizuri fursa za maendeleo. Na kwenye hili Kenya ametuzidi kwa kuendekeza kwetu wapuuzi ndo waamue mipango yetu ya kimaendeleoNchi yetu haingozwi na Kenya, kwamba Kenya akijamba na sisi tujambe, Kenya akianza uwizi na sisi tuibe.
issue sio mikopo. issur inaongelewa hapa nn faida ya bandari ys bagamoyo? kwann ijengwe?Tujihadhari na China. China ya sasa sio ile ya wakina Mao -Tse - Tung na Choenlai. Hawa sasa ni mabepari wanaotaka kufanya Afrika koloni lao kwa mikopo ya miradi isiyolipa huku dhamana ikiwa kubwa sana. Djibouti na Zambia ni mifano ya nchi ambazo zimelizwa na hao Wachina. Kuwakataa Wachina ilikuwa ni kuona mbali! Hatukatai bandari bali tunakataa masharti ya mkataba!
Huyo mtu alikuwa Rais wetu hakuwa muuza samaki pale feri.Hebu wawepo wataalam wa kupitia upya mkataba wa huo ujenz then walete conclusion. Hii mamb ya kufuata mawazo ya mtu ambae hayupo duniani na kumuamin ni vzr tuachane nayo.
Tunapozipanua bandari lengo ni kupata mzigo mkubwa. Acheni mawazo ya kitumwa.Endeleeni kujisifu kwa sifa za kijinga, sijui tuna PWANI kubwa wakati wenzenu wanatumia kidogo walichonacho kwa akili inayowapa faida maradufu
Hata hiyo kushirikiana na sector binafsi ilishindikana, kumbuka KaramagiKama mnataka kuendesha Bandari wenyewe Kwa nini msifeli?? Wenzenu wanaendesha kwa kushirikiana na sekta binafsi ndo mana zina ufanisi. Nyie endeleeni kunywa kahawa na kupiga kelele tunaibiwa
Hamia KenyaHatuongozwi na Kenya Ila kwenye dunia hii ya ushindani ili kuwa na maendeleo ya kweli kwa watu wako ni lazima ujitahidi kuwa mbele ya mwenzako hasa kifikra na kimipango ili kukamata vizuri fursa za maendeleo. Na kwenye hili Kenya ametuzidi kwa kuendekeza kwetu wapuuzi ndo waamue mipango yetu ya kimaendeleo
Sisi tunazo za Mtwara , Tanga na bado ya Lindi kufunguliwaWakati Watanzania wakiendelea kubishana juu ya Bandari ya Bagamoyo wao wakiita ni Wizi wakati eneo litakalojengwa Bandari ya Bagamoyo ni pori na hata wapewe miaka 1000 hawataweza kuliendesha kwa faida, na wakiwa wanalalamika kila siku kukosa ajira na kutokuwepo na maendeleo ya kweli, Leo hii watu walio serious na maendeleo na uchumi , Kenya wamefungua rasmi Bandari ya Lamu ambayo inasemwa ndo Bandari kubwa zaidi kusini mwa jangwa la sahara.
Leo Rais Kenyatta amezindua Bandari hii inayosemwa itakuwa na Berth 33 huku kati ya hizo Berth 29 zikiwa zinahudumiwa na sekta binafsi.
Kenya anasemwa anaenda kukamata soko lote na uganda, South Sudan na Ethiopia kutokana na kuanza kwa Bandari hii.
Hongereni watanzania Kwa kupenda umasikini, kupenda kwenu umasikini kunaenda kuifanya kenya kukua zaidi kuichumi na kuwapita mbali sana kwa miaka Mingi isiyohesabika ijayo.
View attachment 1793056
Kuna mda Hadi nawazaga nchi hii mapandikizi ya nchi jirani yamejaa sana kuzuia nchi hii isiwe na miradi ya maendeleo mizuri ya kuleta maendeleo ya kweli.
Mkataba wa ujenzi wa hiyo Bandari ya lamu upoje kama wa Bagamoyo au ? Na je upanuzi wa Bandari ya Tanga na Mtwara hautaongeza uwezo wa Bandari zetu??? Na malango ya Bandari ya dam nasikia yanataka kuongezwa na hizo ghati sasa hivi zinaongezwa kina toka 9 m hadi 15m je hizi juhudi bado zitatuweka pabaya vs port za majirani zetu.Wakati Watanzania wakiendelea kubishana juu ya Bandari ya Bagamoyo wao wakiita ni Wizi wakati eneo litakalojengwa Bandari ya Bagamoyo ni pori na hata wapewe miaka 1000 hawataweza kuliendesha kwa faida, na wakiwa wanalalamika kila siku kukosa ajira na kutokuwepo na maendeleo ya kweli, Leo hii watu walio serious na maendeleo na uchumi , Kenya wamefungua rasmi Bandari ya Lamu ambayo inasemwa ndo Bandari kubwa zaidi kusini mwa jangwa la sahara.
Leo Rais Kenyatta amezindua Bandari hii inayosemwa itakuwa na Berth 33 huku kati ya hizo Berth 29 zikiwa zinahudumiwa na sekta binafsi.
Kenya anasemwa anaenda kukamata soko lote na uganda, South Sudan na Ethiopia kutokana na kuanza kwa Bandari hii.
Hongereni watanzania Kwa kupenda umasikini, kupenda kwenu umasikini kunaenda kuifanya kenya kukua zaidi kuichumi na kuwapita mbali sana kwa miaka Mingi isiyohesabika ijayo.
View attachment 1793056