Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,488
- 3,338
Acha kujichoresha kuwa huna exposure! Hizo Bandari za Mtwara, Tanga na Dar zinaleta nini?? Zimeleta ufanisi na competition gani???
Hivi Unajua berth katika Bandari zote za Tanga, Dar na Mtwara hazijazizidi kwa idadi berth za Bandari moja tu ya Mombasa ambao wana berth zaidi ya 18???
Sasa kenya kaongeza Bandari nyingine yenye berth 33 na hapo berth 29 amezipa sekta binafsi ili kuweka ufanisi. Sasa utamzidi nini kenya zaidi ya yeye kuzidi kukupiga gap???
Jiwe aliropoka sana!Hizo bandari zilizopo zinaendelea kupanuliwa na zote hazitakosa mizigo.
Hiyo ya bagamoyo kama umuhimu utatokea huko mbeleni itajengwa lakini ni kwa terms and conditions ambazo hazitatuumiza.
Acha kujichoresha kuwa huna exposure! Hizo Bandari za Mtwara, Tanga na Dar zinaleta nini?? Zimeleta ufanisi na competition gani???
Hivi Unajua berth katika Bandari zote za Tanga, Dar na Mtwara hazijazizidi kwa idadi berth za Bandari moja tu ya Mombasa ambao wana berth zaidi ya 18???
Sasa kenya kaongeza Bandari nyingine yenye berth 33 na hapo berth 29 amezipa sekta binafsi ili kuweka ufanisi. Sasa utamzidi nini kenya zaidi ya yeye kuzidi kukupiga gap???
Mkuu tunazo hizo bandari 4 na zote zazizidi berth za bandari ya Mombasa hivyo unafikiria tukijenga ya Bagamoyo ndio itakuwa suluhisho? Bandari zetu zote 4 zimekaa kimkakati, ni suala la kila bandari kuongeza berth kulingana na mahitaji/matumizi. Bandari za Mtwara na Tanga zina eneo la kutosha la kuongeza berth. Aidha lamuhimu zaidi ni ufanisi katika utendaji na vitendea kazi yenye uwezo na bora kwa wakati tulionao na ujao. Hadi leo tunapo bishana juu ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo, bado Bandari tulizonazo HATUJAZITUMIA ipasavyo.Acha kujichoresha kuwa huna exposure! Hizo Bandari za Mtwara, Tanga na Dar zinaleta nini?? Zimeleta ufanisi na competition gani???
Hivi Unajua berth katika Bandari zote za Tanga, Dar na Mtwara hazijazizidi kwa idadi berth za Bandari moja tu ya Mombasa ambao wana berth zaidi ya 18???
Sasa kenya kaongeza Bandari nyingine yenye berth 33 na hapo berth 29 amezipa sekta binafsi ili kuweka ufanisi. Sasa utamzidi nini kenya zaidi ya yeye kuzidi kukupiga gap???
Hizi Data za kuongeza port yenye birth 33 hua mnazitoa wapi?Acha kujichoresha kuwa huna exposure! Hizo Bandari za Mtwara, Tanga na Dar zinaleta nini?? Zimeleta ufanisi na competition gani???
Hivi Unajua berth katika Bandari zote za Tanga, Dar na Mtwara hazijazizidi kwa idadi berth za Bandari moja tu ya Mombasa ambao wana berth zaidi ya 18???
Sasa kenya kaongeza Bandari nyingine yenye berth 33 na hapo berth 29 amezipa sekta binafsi ili kuweka ufanisi. Sasa utamzidi nini kenya zaidi ya yeye kuzidi kukupiga gap???
Thubutu nan afanye hivyoMkataba wa hiyo bandari uwekwe wazi tu, hakuna shida nyingine.
Mkuu ukivumiliwa usijiachie sana,wacha upumbavu.Nani kakwambia al shabab wanasumbua kenya saivi?? Hujui kuwa situation ya alshabab imeshakuwa contained ndani ya Kenya???
Kwa taarifa yako Kenya anatarget kuwa msafirishaji Mkuu kwa mizigo ya Ethiopia, Sudan kusini, uganda na Congo kwa kupitia uganda. Nyie endelezeni tu tantalila na akili zenu za kijamaa na kimasikini izo huku wenzenu wakikamata uchumi wa East and Central Africa
Hajui kuna watu hivyo ni sehemu ya kazi yao kila siku kufatilia nini kimejiri jirani😂😂.Hizi Data za kuongeza port yenye birth 33 hua mnazitoa wapi?
hivi hamuwezi kusoma vitu mkaelewa then mkavileta JF katika ukamilifu wake...hua mnajiskia raha gani kuandika vitu vya uongo?
Mnataka kumfurahisha nani kwa kuandika vitu vya Uongo? Plan birth 32...opened 1 one of 3 current in construction...izo 29 alizowapa sekta binafsi wamezijenga Mbinguni?[emoji1787][emoji1787]
wee kuzi unawasingizia chadema bure, wa kulaumiwa ni mwendazake/ marehemu na wasukuma.Chadema ndege walipinga, reli walipinga, bwawa la nyerere walipinga, lakini kutwa macho kodo kusifia maendeleo ya Kenya
Kuna watu wanakera sana...wanaleta data ya uongo na zisizo kamilika ilimradi tu kuleta sintofaham...Hajui kuna watu hivyo ni sehemu ya kazi yao kila siku kufatilia nini kimejiri jirani[emoji23][emoji23].
Kanaropoka tu na shobk kibao kwa kenya.
Unajisemea tu mambo usiyojua.Nani kakwambia al shabab wanasumbua kenya saivi?? Hujui kuwa situation ya alshabab imeshakuwa contained ndani ya Kenya???
Kwa taarifa yako Kenya anatarget kuwa msafirishaji Mkuu kwa mizigo ya Ethiopia, Sudan kusini, uganda na Congo kwa kupitia uganda. Nyie endelezeni tu tantalila na akili zenu za kijamaa na kimasikini izo huku wenzenu wakikamata uchumi wa East and Central Africa
Yote uliyoandika juu ni sahihi kabisa, na huyo anayejiita 'Lord' inapashwa ayajue hayo, na bila shaka anajuwa kuhusu hiyo Mombasa na hizo ghati tatu za serikali.Kuna watu wanakera sana...wanaleta data ya uongo na zisizo kamilika ilimradi tu kuleta sintofaham...
Mbona wapiga kelele hawasemi kua Port of mombasa is full owned na serikali ya kenya while sisi berths nyingine tumekodisha kifisadi kwa TICS.
Or mbona hawasemi ht io birth moja iliyofunguliwa kati ya 3 zinazojengwa ni Mali ya serikali ya kenya na sio ya mwekezaji km wanavyoshabikia kua bagamoyo yetu tuwape wachina?
Or Mbona hawasemi kua cost ya kujenga beths zote ni $29B na wenzetu 2013 waliunda LAPSSET Corridor Development Authority ili waanze kujenga wenyewe taratibu taratibu, while sisi ya kwetu ya bagamoyo ni $10B (almost half) tunataka kuwapa wachina.
For more info abt Lamu port:
Wachina walikubaliana na jk hizo zote ziachwe zikifa natural death ili mizigo yote ielekezwe kwenye uwekezaji wao hapo bagamoyo. Maskini jeuri akasema no way!
Sasa sisi hii ya kenya inatuhusu nini kwani tupo kwenye mashindano! Huu ni ulinganifu potofu kwa mtoa mada ajitafakari kabla hajaleta upuuzi wake huku jukwaaniWakati Watanzania wakiendelea kubishana juu ya Bandari ya Bagamoyo wao wakiita ni Wizi wakati eneo litakalojengwa Bandari ya Bagamoyo ni pori na hata wapewe miaka 1000 hawataweza kuliendesha kwa faida, na wakiwa wanalalamika kila siku kukosa ajira na kutokuwepo na maendeleo ya kweli, Leo hii watu walio serious na maendeleo na uchumi , Kenya wamefungua rasmi Bandari ya Lamu ambayo inasemwa ndo Bandari kubwa zaidi kusini mwa jangwa la sahara.
Leo Rais Kenyatta amezindua Bandari hii inayosemwa itakuwa na Berth 33 huku kati ya hizo Berth 29 zikiwa zinahudumiwa na sekta binafsi.
Kenya anasemwa anaenda kukamata soko lote na uganda, South Sudan na Ethiopia kutokana na kuanza kwa Bandari hii.
Hongereni watanzania Kwa kupenda umasikini, kupenda kwenu umasikini kunaenda kuifanya kenya kukua zaidi kuichumi na kuwapita mbali sana kwa miaka Mingi isiyohesabika ijayo.
HahahaahhaJPM alikuwa na fiksi na kamba nyingi. Hakuwa mtu wa kuaminika yule.
Mwanzoni aliisifu project ya bagamoyo na akaahidi kuiendeleza, baadae akairuka kimanga
Wajinga ni wengi. Kama Hadi bunge linashabikia kuwa na watu wasiosoma ndio wa maana kwenye utaalamu na kutoa ushauri wa namna ya kuendesha mambo then unatarajia nini?Kuna mda Hadi nawazaga nchi hii mapandikizi ya nchi jirani yamejaa sana kuzuia nchi hii isiwe na miradi ya maendeleo mizuri ya kuleta maendeleo ya kweli.
Kuwa na nidhamu haikufanyi uonekane mjinga. Hata mie ninaweza kutumia lugha chafu ya picha kama ulivyoamua wewe lakini sababu ya utu uzima wangu nakusamehe tu.Kwa hiyo waliridhia mkataba mbofumbifo kuipata hiyo? Upo usemi ule kwamba ukishabikia ujinga basi nawe ni mjinga kupita hata yule aloanza nao
Just for your records, Bagamoyo port project negotiations was called off, hata sasa wanajaribu kuwaita tena China Harbours wake waendelee majadiliano but it's far too late.Hakuna lolote hapo, usipandishe mori bila sababu.
Huo mradi wa Lamu umekosa wawekezaji miaka na miaka, kwa kujua hauna manufaa yoyote, leo hii mtu anakuja hapa kulialia kwa kusikia makelele tu?
Kwani kuna ushahidi gani kwamba Bagamoyo haitajengwa?
Watu wanajiuza na kupiga makelele kupotezea wengine malengo, halafu tunaletewa hapa kelele hizo tuamini kwamba tumepigwa bao?
Bagamoyo itajengwa, na wala haiwezi kushindana na Lamu kwa njia yoyote ile!
Inawezekana alikuwa anazikarabati na kuzipanua Dar, Tanga, na Mtwara ili upanuzi ukikamilika azihamishie zote chato!Ukute alitamani ingejengwa Chato! Pengine angehamishia bahari huko.
Mkuu, mbona unajichanganya mwenyewe hapa!Just for your records, Bagamoyo port project negotiations was called off, hata sasa wanajaribu kuwaita tena China Harbours wake waendelee majadiliano but it's far too late.
I know kwamba China Merchant wameshakamata Berth nadhani sita hapo Lamu kwa ajili ya shughuli zao tu. Unajua Berth sita pekee ni karibu robo tatu na zaidi ya Dar Port pekee, hapo bado hizo Berth nyingine.
Hii project ilisimama Ila kwansasa imeanza kick off, tusijioe moyo. Ninaujua mradi wa Bagamoyo vizuri sana aisee sana tu. Kama China Merchant wakikubali kuendelea negotiations wallah hapa sasa ndio tutapigwa maana watahakikisha wanatubana haswa tofauti na mwanzo maana tumeonyesha njaa tayari.
Mind you, wawekezaji wakubwa wa bandari kwa dunia ya sasa ni wachina sababu ya teknolojia na wingi wa biashara na bidhaa nchini kwao so wanajenga bandari sababu Wana uhakika mzigo upo wa kutosha kutoka kwao so turn over hawatapata shida.
I know the project usiniukize nafanya kazi wapi.