Wakati Watanzania wakibishana juu ya Bandari ya Bagamoyo, Kenya wafungua Bandari ya Lamu

Wakati Watanzania wakibishana juu ya Bandari ya Bagamoyo, Kenya wafungua Bandari ya Lamu

Tanzania hatuhitaji kisicho na faida kwa nchi yetu, hatukurupuki mzee
Acha kujichoresha kuwa huna exposure! Hizo Bandari za Mtwara, Tanga na Dar zinaleta nini?? Zimeleta ufanisi na competition gani???

Hivi Unajua berth katika Bandari zote za Tanga, Dar na Mtwara hazijazizidi kwa idadi berth za Bandari moja tu ya Mombasa ambao wana berth zaidi ya 18???

Sasa kenya kaongeza Bandari nyingine yenye berth 33 na hapo berth 29 amezipa sekta binafsi ili kuweka ufanisi. Sasa utamzidi nini kenya zaidi ya yeye kuzidi kukupiga gap???
 
Hata kenye wakijenga berth 1000 tanzania tunahitaji chenye manufaa kwa nchi sio bora uwekezaji, standard gauge ya kenya yenyewe inawatoa mavi kwa deni, Hatukurupuki
Acha kujichoresha kuwa huna exposure! Hizo Bandari za Mtwara, Tanga na Dar zinaleta nini?? Zimeleta ufanisi na competition gani???

Hivi Unajua berth katika Bandari zote za Tanga, Dar na Mtwara hazijazizidi kwa idadi berth za Bandari moja tu ya Mombasa ambao wana berth zaidi ya 18???

Sasa kenya kaongeza Bandari nyingine yenye berth 33 na hapo berth 29 amezipa sekta binafsi ili kuweka ufanisi. Sasa utamzidi nini kenya zaidi ya yeye kuzidi kukupiga gap???
 
Acha kujichoresha kuwa huna exposure! Hizo Bandari za Mtwara, Tanga na Dar zinaleta nini?? Zimeleta ufanisi na competition gani???

Hivi Unajua berth katika Bandari zote za Tanga, Dar na Mtwara hazijazizidi kwa idadi berth za Bandari moja tu ya Mombasa ambao wana berth zaidi ya 18???

Sasa kenya kaongeza Bandari nyingine yenye berth 33 na hapo berth 29 amezipa sekta binafsi ili kuweka ufanisi. Sasa utamzidi nini kenya zaidi ya yeye kuzidi kukupiga gap???
Mkuu tunazo hizo bandari 4 na zote zazizidi berth za bandari ya Mombasa hivyo unafikiria tukijenga ya Bagamoyo ndio itakuwa suluhisho? Bandari zetu zote 4 zimekaa kimkakati, ni suala la kila bandari kuongeza berth kulingana na mahitaji/matumizi. Bandari za Mtwara na Tanga zina eneo la kutosha la kuongeza berth. Aidha lamuhimu zaidi ni ufanisi katika utendaji na vitendea kazi yenye uwezo na bora kwa wakati tulionao na ujao. Hadi leo tunapo bishana juu ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo, bado Bandari tulizonazo HATUJAZITUMIA ipasavyo.
 
Acha kujichoresha kuwa huna exposure! Hizo Bandari za Mtwara, Tanga na Dar zinaleta nini?? Zimeleta ufanisi na competition gani???

Hivi Unajua berth katika Bandari zote za Tanga, Dar na Mtwara hazijazizidi kwa idadi berth za Bandari moja tu ya Mombasa ambao wana berth zaidi ya 18???

Sasa kenya kaongeza Bandari nyingine yenye berth 33 na hapo berth 29 amezipa sekta binafsi ili kuweka ufanisi. Sasa utamzidi nini kenya zaidi ya yeye kuzidi kukupiga gap???
Hizi Data za kuongeza port yenye birth 33 hua mnazitoa wapi?
hivi hamuwezi kusoma vitu mkaelewa then mkavileta JF katika ukamilifu wake...hua mnajiskia raha gani kuandika vitu vya uongo?
Mnataka kumfurahisha nani kwa kuandika vitu vya Uongo? Plan birth 32...opened 1 one of 3 current in construction...izo 29 alizowapa sekta binafsi wamezijenga Mbinguni?[emoji1787][emoji1787]
 
Attachments

  • Screenshot_20210522-151940_Chrome.jpg
    Screenshot_20210522-151940_Chrome.jpg
    86.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20210522-151940_Chrome.jpg
    Screenshot_20210522-151940_Chrome.jpg
    86.6 KB · Views: 1
Nani kakwambia al shabab wanasumbua kenya saivi?? Hujui kuwa situation ya alshabab imeshakuwa contained ndani ya Kenya???

Kwa taarifa yako Kenya anatarget kuwa msafirishaji Mkuu kwa mizigo ya Ethiopia, Sudan kusini, uganda na Congo kwa kupitia uganda. Nyie endelezeni tu tantalila na akili zenu za kijamaa na kimasikini izo huku wenzenu wakikamata uchumi wa East and Central Africa
Mkuu ukivumiliwa usijiachie sana,wacha upumbavu.

Alshabaab hawasumbui kenya!!!unaandika huku unawahi chooni au??

Kama wao target yao ni nchi za kaskazini kwao,unajua target ya bagamoyo ilikuwa ni wapi na wapi!!!unajua hata ujenzi umesitishwakwa sababu gani!!!
Haya mambo mengine muwe mnaacha kuliko kuonekana hamnazo bure tu.
 
Hizi Data za kuongeza port yenye birth 33 hua mnazitoa wapi?
hivi hamuwezi kusoma vitu mkaelewa then mkavileta JF katika ukamilifu wake...hua mnajiskia raha gani kuandika vitu vya uongo?
Mnataka kumfurahisha nani kwa kuandika vitu vya Uongo? Plan birth 32...opened 1 one of 3 current in construction...izo 29 alizowapa sekta binafsi wamezijenga Mbinguni?[emoji1787][emoji1787]
Hajui kuna watu hivyo ni sehemu ya kazi yao kila siku kufatilia nini kimejiri jirani😂😂.
Kanaropoka tu na shobk kibao kwa kenya.
 
Chadema ndege walipinga, reli walipinga, bwawa la nyerere walipinga, lakini kutwa macho kodo kusifia maendeleo ya Kenya
wee kuzi unawasingizia chadema bure, wa kulaumiwa ni mwendazake/ marehemu na wasukuma.
 
Hajui kuna watu hivyo ni sehemu ya kazi yao kila siku kufatilia nini kimejiri jirani[emoji23][emoji23].
Kanaropoka tu na shobk kibao kwa kenya.
Kuna watu wanakera sana...wanaleta data ya uongo na zisizo kamilika ilimradi tu kuleta sintofaham...

Mbona wapiga kelele hawasemi kua Port of mombasa is full owned na serikali ya kenya while sisi berths nyingine tumekodisha kifisadi kwa TICS.

Or mbona hawasemi ht io birth moja iliyofunguliwa kati ya 3 zinazojengwa ni Mali ya serikali ya kenya na sio ya mwekezaji km wanavyoshabikia kua bagamoyo yetu tuwape wachina?

Or Mbona hawasemi kua cost ya kujenga beths zote ni $29B na wenzetu 2013 waliunda LAPSSET Corridor Development Authority ili waanze kujenga wenyewe taratibu taratibu, while sisi ya kwetu ya bagamoyo ni $10B (almost half) tunataka kuwapa wachina.
For more info abt Lamu port:

Nani kakwambia al shabab wanasumbua kenya saivi?? Hujui kuwa situation ya alshabab imeshakuwa contained ndani ya Kenya???

Kwa taarifa yako Kenya anatarget kuwa msafirishaji Mkuu kwa mizigo ya Ethiopia, Sudan kusini, uganda na Congo kwa kupitia uganda. Nyie endelezeni tu tantalila na akili zenu za kijamaa na kimasikini izo huku wenzenu wakikamata uchumi wa East and Central Africa
Unajisemea tu mambo usiyojua.

Hapo siku moja tu kabla ya uzinduzi wa bandari hiyo askari wa nchi hiyo watatu walilipuliwa na bomu na kufa.

Hizo 'target' unazosema: Ethiopia wana bandari Djibouti na Eritrea, zinazofanya kazi vizuri. Sudan Kusini anategemea Port Sudan kwa sehemu kubwa ndiyo maana wahazuzuki sana na hii bandari.

Uganda hawana sababu ya kwenda Lamu mbali huku Mombasa ikitosheleza mahitaji yao.

Hiyo DRC unayoizungumzia, kupitisha mizigo nchi mbili tofauti ni adha kubwa, na ni mbali sana. Lamu haiwezi kushindana na Bagamoyo au Dar kama ufanisi wa kazi ni mzuri.

Mradi mzima wa LAPSSET umebuniwa miaka mingi iliyopita na kuutangaza upate wawekezaji, lakini hakuna mwekezaji aliye tayari kuwekeza kwenye mradi usiovutia biashara.
 
Kuna watu wanakera sana...wanaleta data ya uongo na zisizo kamilika ilimradi tu kuleta sintofaham...

Mbona wapiga kelele hawasemi kua Port of mombasa is full owned na serikali ya kenya while sisi berths nyingine tumekodisha kifisadi kwa TICS.

Or mbona hawasemi ht io birth moja iliyofunguliwa kati ya 3 zinazojengwa ni Mali ya serikali ya kenya na sio ya mwekezaji km wanavyoshabikia kua bagamoyo yetu tuwape wachina?

Or Mbona hawasemi kua cost ya kujenga beths zote ni $29B na wenzetu 2013 waliunda LAPSSET Corridor Development Authority ili waanze kujenga wenyewe taratibu taratibu, while sisi ya kwetu ya bagamoyo ni $10B (almost half) tunataka kuwapa wachina.
For more info abt Lamu port:

Yote uliyoandika juu ni sahihi kabisa, na huyo anayejiita 'Lord' inapashwa ayajue hayo, na bila shaka anajuwa kuhusu hiyo Mombasa na hizo ghati tatu za serikali.

Hiyo $29 Bilioni siyo sahihi.
Kiasi hicho ni makadirio ya mradi wote wa LAPSSET, na siyo ya ujenzi wa bandari pekee.
 
Wachina walikubaliana na jk hizo zote ziachwe zikifa natural death ili mizigo yote ielekezwe kwenye uwekezaji wao hapo bagamoyo. Maskini jeuri akasema no way!

Ukute alitamani ingejengwa Chato! Pengine angehamishia bahari huko.
 
Wakati Watanzania wakiendelea kubishana juu ya Bandari ya Bagamoyo wao wakiita ni Wizi wakati eneo litakalojengwa Bandari ya Bagamoyo ni pori na hata wapewe miaka 1000 hawataweza kuliendesha kwa faida, na wakiwa wanalalamika kila siku kukosa ajira na kutokuwepo na maendeleo ya kweli, Leo hii watu walio serious na maendeleo na uchumi , Kenya wamefungua rasmi Bandari ya Lamu ambayo inasemwa ndo Bandari kubwa zaidi kusini mwa jangwa la sahara.

Leo Rais Kenyatta amezindua Bandari hii inayosemwa itakuwa na Berth 33 huku kati ya hizo Berth 29 zikiwa zinahudumiwa na sekta binafsi.

Kenya anasemwa anaenda kukamata soko lote na uganda, South Sudan na Ethiopia kutokana na kuanza kwa Bandari hii.

Hongereni watanzania Kwa kupenda umasikini, kupenda kwenu umasikini kunaenda kuifanya kenya kukua zaidi kuichumi na kuwapita mbali sana kwa miaka Mingi isiyohesabika ijayo.

Sasa sisi hii ya kenya inatuhusu nini kwani tupo kwenye mashindano! Huu ni ulinganifu potofu kwa mtoa mada ajitafakari kabla hajaleta upuuzi wake huku jukwaani
 
Kuna mda Hadi nawazaga nchi hii mapandikizi ya nchi jirani yamejaa sana kuzuia nchi hii isiwe na miradi ya maendeleo mizuri ya kuleta maendeleo ya kweli.
Wajinga ni wengi. Kama Hadi bunge linashabikia kuwa na watu wasiosoma ndio wa maana kwenye utaalamu na kutoa ushauri wa namna ya kuendesha mambo then unatarajia nini?

Bahati mbaya wadomi wengi ni victims wa mifumo iliyopo sababu unasoma almost miaka 26-28 ndio upate degree na certification professionally unatarajia nini baada ya hapo?

Unakutana na mtu kama msukuma yeye aliacha kusoma grade 7 labda akaanza kuwa mwizi qkaiba akanunua fuso ndio akazichanga wakati wewe unasoma unawekeza kwenye elimu yeye anaongoza pesa kwa ujanjaujana halafu leo anaanza kuleta dharau kwa wasomi.

Mwishowe unaona heri ujitafutie mkate wa wanao unaachana na wajinga unajiunga na walaji wajanja wajanja wanakuweka kwenye system kama Kabudi na maprofesa wengine wanakuweka front ili ukaombe kura ilimrafi wao ndio wamekuweka.

That's alll
Kwa hiyo waliridhia mkataba mbofumbifo kuipata hiyo? Upo usemi ule kwamba ukishabikia ujinga basi nawe ni mjinga kupita hata yule aloanza nao
Kuwa na nidhamu haikufanyi uonekane mjinga. Hata mie ninaweza kutumia lugha chafu ya picha kama ulivyoamua wewe lakini sababu ya utu uzima wangu nakusamehe tu.

Humu mnachati na watu wanaojua mengi zaidi pia.
 
Hakuna lolote hapo, usipandishe mori bila sababu.

Huo mradi wa Lamu umekosa wawekezaji miaka na miaka, kwa kujua hauna manufaa yoyote, leo hii mtu anakuja hapa kulialia kwa kusikia makelele tu?

Kwani kuna ushahidi gani kwamba Bagamoyo haitajengwa?

Watu wanajiuza na kupiga makelele kupotezea wengine malengo, halafu tunaletewa hapa kelele hizo tuamini kwamba tumepigwa bao?

Bagamoyo itajengwa, na wala haiwezi kushindana na Lamu kwa njia yoyote ile!
Just for your records, Bagamoyo port project negotiations was called off, hata sasa wanajaribu kuwaita tena China Harbours wake waendelee majadiliano but it's far too late.

I know kwamba China Merchant wameshakamata Berth nadhani sita hapo Lamu kwa ajili ya shughuli zao tu. Unajua Berth sita pekee ni karibu robo tatu na zaidi ya Dar Port pekee, hapo bado hizo Berth nyingine.

Hii project ilisimama Ila kwansasa imeanza kick off, tusijioe moyo. Ninaujua mradi wa Bagamoyo vizuri sana aisee sana tu. Kama China Merchant wakikubali kuendelea negotiations wallah hapa sasa ndio tutapigwa maana watahakikisha wanatubana haswa tofauti na mwanzo maana tumeonyesha njaa tayari.

Mind you, wawekezaji wakubwa wa bandari kwa dunia ya sasa ni wachina sababu ya teknolojia na wingi wa biashara na bidhaa nchini kwao so wanajenga bandari sababu Wana uhakika mzigo upo wa kutosha kutoka kwao so turn over hawatapata shida.

I know the project usiniukize nafanya kazi wapi.
 
Mkuu, mbona unajichanganya mwenyewe hapa!

Unasema "...it's far too late" kwa majadiliano na China Harbor; halafu hapo katikati unasema tena "...kama China Merchant wakikubali kuendelea negotiations...".

Unaweza kuwa unaujua mradi wa Bagamoyo, lakini hiyo haitoi ukweli kwamba Bagamoyo kwa njia moja au nyingine itajengwa tu, na sio lazima ijengwe na wachina. Hii ni bandari yetu, tutaamua kuijenga kwa manufaa yetu.

Nikuhakikishie kitu kingine, Lamu haiwezi kamwe kushindana na Bagamoyo itakapojengwa. Hapo ilipokaa Bagamoyo haiwezi kamwe kuogopa ushindani na bandari yoyote ile kufanya biashara zake.

Usipende sana kusikiliza kelele nyingi wanazopiga huko majirani zetu hawa kila wanapopata kimradi na kukikuza kuliko ilivyo halisia yake.

Lamu ina matatizo mengi sana pamoja na kwamba inacho kina kizuri cha kumudu meli kubwa. Hapo ilipo hapaipi mvuto kama ilionao Bagamoyo. Mfanya biashara yeyote anatafuta sehemu yenye unafuu wa kufanyia biashara yake, havutwi na kelele nyingi za kujiuza hata bila kuwa na sifa stahiki.

SAWA, mchina kwa sasa ndiye mwenye mvuto, hasa katika kazi hizi za ujenzi wa miundombinu, lakini sio peke yake anayeweza kazi. Kama hatukubaliani naye, si tutatafuta wengine?

Lakini la muhimu ni hili moja, kwamba Bagamoyo itajengwa, na si lazima tujisalimishe kwa mchina ndipo iweze kujengwa.

Teknologia anayotumia mchina siyo mpya wala 'unique', sasa sijui wasiwasi wako unatoka wapi.
 
Back
Top Bottom