Wakati watoto wa masikini mnabishana kuhusu Simba na Yanga, matajiri na marafiki zao wanasiasa wanawagawia ajira nzuri watoto wao

Umenikumbusha vitabu vya ushairi

WASAKATONGE
MALENGA WAPYA

Kwa Sasa +267
 
Hahaha!! Naiona point kwenye hoja yako aice, sijui nani Bora Kati ya Ali kiba na Diamond, ukiludi kule mandonga mtu kazi ilimradi tu kupoteza MDA, Ila mkuu ungetoa na ushauli nini hasa ulidhamilia kufikisha hasa.
 
Mada yako haina mashiko umeshindwa kujibu maswali ya wadau, basi tuache na timu zetu za dabi
 
Thats the hard truth... masikini wachache sana tutatoboa dunia hii...
Matajiri wanajua hilo ndo maana wanalinda utajiri na vizazi vyao visitoke kwenye huo mfumo... maana kuingia ni bahati nasibu sana ukiwa nje...
 
Bread and circuses. Juvenal told you so.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…