Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaa! Kwahiyo wewe uliyeandika uharo ndiyo una akili siyo! Sawa bwana akili nyingi.Huna akili kabisa! Unataka kubishana au kudhihirisha ujinga wako hapa?!
Nenda B.O.T na wizara kubwa nyeti kama una ubavu wa kuingia ukajionee.
Umenikumbusha vitabu vya ushairiNawakumbusha tu vijana.
Kuwa wakati nyie mnabishana kuhusu Simba na Yanga au Liverpool na Man U wanasiasa pamoja na marafiki zao matajiri wanagawanya ajira nzuri nzuri na kuwapatia watoto wao.
Nyie endeleeni kusubiri ajira zile za kukaripiwa na madiwani, ma DAS, ma DED, ma DC n.k, nako hizo zenyewe hamzipati.
Hahaha!! Naiona point kwenye hoja yako aice, sijui nani Bora Kati ya Ali kiba na Diamond, ukiludi kule mandonga mtu kazi ilimradi tu kupoteza MDA, Ila mkuu ungetoa na ushauli nini hasa ulidhamilia kufikisha hasa.Nawakumbusha tu vijana.