BWANA WANGU
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 337
- 797
Hapana mkuu , tuache kuiponda serikali ni mtu binafsi kukumbatia ujinga na mambo yasiyo faa.Unajua Taarifa sahihi mara nyingi lazima ziwapate wanaozitafuta hapa Tz Kuna Nguvu kubwa imewekezwa kuhakikisha watu wanakuwa wajinga yaani Serikali inatumia Nguvu kubwa ili sisi tusizinduke katika usingizi wa pono