Wakati watoto wa masikini mnabishana kuhusu Simba na Yanga, matajiri na marafiki zao wanasiasa wanawagawia ajira nzuri watoto wao

Unajua Taarifa sahihi mara nyingi lazima ziwapate wanaozitafuta hapa Tz Kuna Nguvu kubwa imewekezwa kuhakikisha watu wanakuwa wajinga yaani Serikali inatumia Nguvu kubwa ili sisi tusizinduke katika usingizi wa pono
Hapana mkuu , tuache kuiponda serikali ni mtu binafsi kukumbatia ujinga na mambo yasiyo faa.
 
Watu wanalishwa Taarifa Ambazo sio sahihi na hata wasomi na ambao hawajasoma wanaingia katika kapu moja serikali ikiamua watu wajitambue inaweza Mkuu ,
 
chanzo cha wao kukulia mazingira mazuri ni wazazi wao kutengeneza mazingira mapema kwa kizazi chao , Unajua mkuu malezi ya wazazi huchochea sana umaskini au utajiri wa kizazi chao?
Yaaaah hiyo ndio maana niliyokua naitafuta ..
Hivyo basi ili kama yeye aliweka mazingira mazuri si ajabu yeye kuweka connection kwa watoto wake ili na wenyewe wawe na maisha mazuri.
Ukipambana na kufika huko walipo wao pia na wewe utainua kizazi chako.
Yote haya yanatokana na mazingira mazuri usipo pambana leo si ajabu watoto wako badae watakuja kulalamika na kuilalamikia serikali hivo hivo kitu ambacho source ulikua ni wewe hapo..
 
Watu wanalishwa Taarifa Ambazo sio sahihi na hata wasomi na ambao hawajasoma wanaingia katika kapu moja serikali ikiamua watu wajitambue inaweza Mkuu ,
point yako inakuja inakataa 🥲 , Mfano kenya wamewekeza sana kwenye elimu kuliko tz , bongo tumewekeza sana kwenye sana ( japo sina data kamili) ndio maana maisha na pesa ya bongo ipo chini kuliko kenya.

Nini kifanyike sasa inabidi serikali iweke mkakati wakufanya watu wake wanajitambua.
 
Yaaaah hiyo ndio maana niliyokua naitafuta ..
Hivyo basi ili kama yeye aliweka mazingira mazuri si ajabu yeye kuweka connection kwa watoto wake ili na wenyewe wawe na maisha mazuri.
Ukipambana na kufika huko walipo wao pia na wewe utainua kizazi chako.
Yote haya yanatokana na mazingira mazuri usipo pambana leo si ajabu watoto wako badae watakuja kulalamika na kuilalamikia serikali hivo hivo kitu ambacho source ulikua ni wewe hapo..
Daaah noma sana , so kama umetoka maisha mabovu inabidi ujitoe sadaka tu kwa kizazi chako.
 
point yako inakuja inakataa 🥲 , Mfano kenya wamewekeza sana kwenye elimu kuliko tz , bongo tumewekeza sana kwenye sana ( japo sina data kamili) ndio maana maisha na pesa ya bongo ipo chini kuliko kenya.

Nini kifanyike sasa inabidi serikali iweke mkakati wakufanya watu wake wanajitambua.

Hata Kama mtu Hana Elimu Kama Anajitambua Kuna Level Fulani ya Maisha atafikia tu

Serikali hapa Tz haitaki watu wawe na uelewa kichwani unakuta huku kila Kijana anawaza Simba Yanga diamond alikiba na ngono Sasa hapo Kuna Nini na Serikali ndo inapenda hivyo ili waendelee kulamba Asali bila kelele.
 
Daaah noma sana , so kama umetoka maisha mabovu inabidi ujitoe sadaka tu kwa kizazi chako.
Yaaah usiwe sababu ya watoto wako kulalamika hapo badae kuhusu serikali...
Maana waliopo kwenye mfumo kama si wao basi ni wazazi wao walijitoa sadaka kwa namna yoyote ile..
 
Hapo nimekuelewa mkuu .
 
Hao vijana ambao wapo kwenye kuwaza ishu za simba na yanga unawaweka kwenye kundi gani..
1.. wana elimu
2.. hawana elimu
 
Nawakumbusha tu vijana.

Kuwa wakati nyie mnabishana kuhusu Simba na Yanga au Liverpool na Man U wanasiasa pamoja na marafiki zao matajiri wanagawanya ajira nzuri nzuri na kuwapatia watoto wao.

Nyie endeleeni kusubiri ajira zile za kukaripiwa na madiwani, ma DAS, ma DED, ma DC n.k, nako hizo zenyewe hamzipati.
we mutu watu wapo kwamaofisi wanapokea malaki na mamilioni na bado wanabeti Simba na Yanga... sembuse masikini asiye na kitu!
 
na wabunge mpaka mawaziri wanabishana simba na yanga!

Hiyo ni burudani ndugu haizuiliki.
Kam una hobby huwa inakujaga tyu ila kama hauna hobby kama wewe utaona wenzako wapumbavu!

Halafu na wewe nakujua unapenda sana wadada!

Back
Top Bottom