TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

Juzi tu alikuwa yupo fiti kweli maisha mafupi ,no one knows 2mrw.
 
Hata yeye Mzee Alute alikataa maridhiano, haamini ktk mambo ya hila, uongo na uzandiki..alisema wazi, kwenye mahojiano yuko genuine hakuna maigizo hapo..ni mjinga na mwendawazimu anayeweza kukubali kubebeshwa dhambi za wengine..rekodi zipo na ukweli uko wazi, unashawishi vp mtu kuomba kusamehewa km kosa lipo tena la kiwango hicho..Mzee Alute wamempa nafuu kuliko kubaki unasumbuliwa ubebe laana za kujitakia.
 
Hukumu ya Lissu inaweza kusogezwa mbele kutoa nafasi kwa Lissu kushiriki siku ya mwisho ya Kakake aweze kuzika.

Wale wanye kijiita Mawakili wa Lissu jumatatu waende Mahakamani kuomba Majaji inawezekana
kabisa ✍️
 
Ulitaka nani afe badala yake?
KIFO KILIUMBWA PIA!
 
Hivi hamuoni aibu? Nyie machawa wa Veggies, muhusika alisha sema CCM wakati wa Nyerere sio hii ya sasa, kinachowafanya mchukue jukumu la msiba wake ni lipi? Kwanza ukute nyie wenyewe mme muua.
Toeni unafiki wenu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…