Wakili Kibatala anajua sana alifanyalo. Ni lazima akuchanganye tu

Natabiri kesho Inspekta Swila hatatokea mahakamani kwa maelezo kuwa hali yake sio nzuri hawezi kusimama au kukaa kuendelea kutoa ushahidi ili wapate nafasi ya kujaribu kujipanga na kutafuta shahidi mwingine. Kwa hali ilivyo Insp. Swila ameelemewa!
 
Kwa hiyo ulivyo mwehu unashauri tukamtoe Mbowe kinguvu huko jela?
Nashauri mngeacha huku kufurahia maswali ya Kitabala na kufikiria hali ya mwenzenu kule hamjaona alivyokonda? Mngefikiria jinsi ya kupata suluhisho la haya matatizo kabisa ila nyie mnaishia kupiga domo humu ila manyanyaso yanaendelea siku zote.
 
mtoa mada nafikiri hujui kitu kuhusu sheria kibatala ni kama mwanamke wa kizaramo huwezi kumshinda kwa kushindana naye kuongea lakini kinachotakiwa pale ni point za shahidi kueleweka tu hayo maswali ya kumchanganya hayana point yoyote chamuhimu kimeshapatikana maelezo ya shaghidi yaliyobaki ni kama yale tunaitaga mazungumzo baada ya habari yaani anapoteza muda tu mbowe tayari yuko kitanzini hata kibatala anajuwa lakini anajifanya kupoteza muda wa watu tu hana kitu kibatala kama mwanamke wa kizaramo tantalila nyingiiiii lakini hakuna point za maana
 
87,000 x 3 mtu kakimbia,nyie hesabu ni ngumu sana kuliko hata hisabati. Hisabati mfano matrix unatiririka tu na my (...) (....) hadi jibu ni 600,000
 
Kwa hiyo ulitaka wafanyeje labda.
Waweke matanga na bendela za chama zipepee nusu mringoti?
 
Hivi suppose ni kweli awe anaumwa halafu mara kesho tunasikia ameenda zake hapo itakuwaje?
Nadhani utachukuliwa ushahidi kwa hatua aliyofikia, ingawa unakua haujakamilika kwa sababu Cross Examination inaibua uongo wa shahidi, sasa isipofika mwisho pale mawakili wa utetezi wanapotaka, haitawatendea haki watuhumiwa.
 
Natabiri kesho Inspekta Swila hatatokea mahakamani kwa maelezo kuwa hali yake sio nzuri hawezi kusimama au kukaa kuendelea kutoa ushahidi ili wapate nafasi ya kujaribu kujipanga na kutafuta shahidi mwingine. Kwa hali ilivyo Insp. Swila ameelemewa!
Hii picha inaonekana ilishapangwa tangu jana au asubuhi, kwa sababu alianza na hoja ya kutojisikia vizuri, akasema ataendelea "hivyo hivyo"
 
Nashauri mngeacha huku kufurahia maswali ya Kitabala na kufikiria hali ya mwenzenu kule hamjaona alivyokonda? Mngefikiria jinsi ya kupata suluhisho la haya matatizo kabisa ila nyie mnaishia kupiga domo humu ila manyanyaso yanaendelea siku zote.
The lights are on but nobody's home!!

U resemble this.
 
Kwa hiyo ulitaka wafanyeje labda.
Waweke matanga na bendela za chama zipepee nusu mringoti?
Mimi nilitaka wamfikirie mwenzao kule anakonda na wafikirie ni jinsi gani ya kupata suluhisho la kuondokana na haya manyanyaso yote haya ila ajabu ndio kwanza wanafurahia maswali ya Kibatala.
Hata kama hawana la kufanya ila ndio wafurahie maswali ya Kibatala wakati mwenzao hadi sasa keshakonda na wakiamua wanaweza kumfunga na hayo maswali ya Kibatala ndio yatakuwa na msaada upi sasa?
 
Sipati picha Lissu angekuwepo kufanya collabo na kibatala daaah mashahidi wengi wangekimbia
Halafu hiyo ndio ingezuia Mbowe kufungwa endapo wangetaka kumfunga? Ila sie wabongo sijui tutazinduka lini
 
Ulitaka tufanyeje mkuu,tumtoe kinguvu au,tuliza mshono fuatia movie ukiwa na popcorn,kibatara amefanya niwadharau askari wetu
 
Ukweli kibatala bongo bahati mbaya
 
Tatizo la kuchanganyikiwa hawa mashahidi wa Jamhuri ni kujaribu kutetea uongo. Ngumu sana kutetea ukweli mbele ya mawakili, maana huwezi jua swali watakalouliza.

Ukweli humweka mtu huru!
 
Nashauri mngeacha huku kufurahia maswali ya Kitabala na kufikiria hali ya mwenzenu kule hamjaona alivyokonda? Mngefikiria jinsi ya kupata suluhisho la haya matatizo kabisa ila nyie mnaishia kupiga domo humu ila manyanyaso yanaendelea siku zote.
Kwahiyo unashauri watu wafanyaje ili mbowe atoke?
 
Ukiona shahidi anahojiwa hadi anapata homa mahakamani ujue hapo hamna kesi!
MaCCM hamuhitaji kesi kufunga wapinzani wenu. Mnawasweka tu ndani , kama mnavyomfanyia mzee Mbowe..
Chama dola bwashehe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…