Wakili Kibatala anajua sana alifanyalo. Ni lazima akuchanganye tu

mkuu hii Id yako nimeiona kwenye kidaftari cha Id za mchongo , hivi ni kweli ?
Mkuu nimekuwa nikipitia threads zako humu....wewe ni CHADEMA die-hard na uko kwa ajili ya mabadiliko. Hongera sana....ila nina maswali kwako.
Ulishawahi kuyatazama maisha in the other way round nje ya siasa zetu hizi za maji taka na wanaharakati uchwara?

Do you think everything is all about CCM vs CHADEMA?
 
Mungu amefanya kubwa sana. Kuna adhabu kubwa duniani zaidi ya kifo?. Wote waliopanga mauwaji ni marehemu na wengine hawako kwenye nyadhifa zao.
Damu ya mwanadamu haipotei kama Mungu alivyomwambia Kaini.
Waziri wa ulinzi, Katibu mkuu kiongozi, rais kwa mara ya kwanza katika nchi yetu vyote vilitokea. Bado huna la kujifunza?
Leta uthibitisho wa hizo tuhuma acha mkumbo. Unafikiri Mungu ni wa CHADEMA tuu.
 
Mungu amefanya kubwa sana. Kuna adhabu kubwa duniani zaidi ya kifo?. Wote waliopanga mauwaji ni marehemu na wengine hawako kwenye nyadhifa zao.
Damu ya mwanadamu haipotei kama Mungu alivyomwambia Kaini.
Waziri wa ulinzi, Katibu mkuu kiongozi, rais kwa mara ya kwanza katika nchi yetu vyote vilitokea. Bado huna la kujifunza?
Kama unadhani kifo ni adhabu basi watu wema wasingekufa.
 
Sio kwa sasa tu hamjawahi kuwa na la kufanya, Lissu yule pale katiwa kilema kuna ambalo mlifanya? Ila kama ulivyosema tuendelee kufurahia maswali ya Kibatala na huyo Mbowe muache aendelee kukonda sasa akihukumiwa kabisa sijui itakuaje.

Siku zote ukiona kiongozi anatumia nguvu nyingi sana jua hana maono yoyote. Endeleeni kufurahia haya anayopitia Mbowe lakini tambua laana hii haitamuacha mtu salama, Mungu hawezi kukubali kuona mwanadamu wake aliyemuumba kwa gharama kubwa sana akiteswa.
Jambo la maana ni kuishi na watu vizuri
 
Mkuu nimekuwa nikipitia threads zako humu....wewe ni CHADEMA die-hard na uko kwa ajili ya mabadiliko. Hongera sana....ila nina maswali kwako.
Ulishawahi kuyatazama maisha in the other way round nje ya siasa zetu hizi za maji taka na wanaharakati uchwara?

Do you think everything is all about CCM vs CHADEMA?
Wenzako wote wanafahamu kwamba mimi ni mfanyabiashara tajiri wa kimataifa mwenye makampuni na viwanda ndani na nje ya Tanzania , maisha ambayo siyafahamu ni ya kuzimu tu kwa vile bado sijafa
 
Mungu amefanya kubwa sana. Kuna adhabu kubwa duniani zaidi ya kifo?. Wote waliopanga mauwaji ni marehemu na wengine hawako kwenye nyadhifa zao.
Damu ya mwanadamu haipotei kama Mungu alivyomwambia Kaini.
Waziri wa ulinzi, Katibu mkuu kiongozi, rais kwa mara ya kwanza katika nchi yetu vyote vilitokea. Bado huna la kujifunza?

Siku zote ukiona kiongozi anatumia nguvu nyingi sana jua hana maono yoyote. Endeleeni kufurahia haya anayopitia Mbowe lakini tambua laana hii haitamuacha mtu salama, Mungu hawezi kukubali kuona mwanadamu wake aliyemuumba kwa gharama kubwa sana akiteswa.
Jambo la maana ni kuishi na watu vizuri
Hahaha...kwahiyo wewe unayefurahia maswali ya Kibatala ndio unahuzini kwa kinachoendelea kwa Mbowe? JF mnafurahisha sana.
 
Mbaya zaidi huyu ndiye aliyefungua jalada la kesi. Huyu anatakiwa ahojiwe hadi kieleweke. Jamhuri hapa wana hali ngumu sana na hii kesi. Naona hata Jaji kishaona muelekeo wa maji.

Ni aibu sana hii kesi, sijui kwa nini DPP hadi sasa yuko kimya, labda wanaogopa aibu ya "Kutokua na nia ya kuendelea na kesi" ukichukulia maelezo ya IGP Siro kwamba wana ushahidi mzito, ambaye nadhani ndiye alimuaminisha Chief kwamba kuna kesi ya ugaidi.

Tusubiri kesho tuone kama Inspector Swila atapanda kizimbani.
Hawezi panda yule. Lazima ripot ya hospitali iwasilishwe.
 
Wenzako wote wanafahamu kwamba mimi ni mfanyabiashara tajiri wa kimataifa mwenye makampuni na viwanda ndani na nje ya Tanzania , maisha ambayo siyafahamu ni ya kuzimu tu kwa vile bado sijafa
Wenzangu akina nan....jf kila mtu tajiri au hilo hulijui? Wote humu wana hela. Punguza ujuaji.
 
Nashauri mngeacha huku kufurahia maswali ya Kitabala na kufikiria hali ya mwenzenu kule hamjaona alivyokonda? Mngefikiria jinsi ya kupata suluhisho la haya matatizo kabisa ila nyie mnaishia kupiga domo humu ila manyanyaso yanaendelea siku zote.
Suluhisho unalolijua kama binadamu ni lipi ili yeye atoke.
 
mtoa mada nafikiri hujui kitu kuhusu sheria kibatala ni kama mwanamke wa kizaramo huwezi kumshinda kwa kushindana naye kuongea lakini kinachotakiwa pale ni point za shahidi kueleweka tu hayo maswali ya kumchanganya hayana point yoyote chamuhimu kimeshapatikana maelezo ya shaghidi yaliyobaki ni kama yale tunaitaga mazungumzo baada ya habari yaani anapoteza muda tu mbowe tayari yuko kitanzini hata kibatala anajuwa lakini anajifanya kupoteza muda wa watu tu hana kitu kibatala kama mwanamke wa kizaramo tantalila nyingiiiii lakini hakuna point za maana
Nenda kawe shahidi ndugu uwache ubishi wa hapo ulipo kama huwezi kuwa shahidi kaa kimya.
 
Mimi nilitaka wamfikirie mwenzao kule anakonda na wafikirie ni jinsi gani ya kupata suluhisho la kuondokana na haya manyanyaso yote haya ila ajabu ndio kwanza wanafurahia maswali ya Kibatala.
Hata kama hawana la kufanya ila ndio wafurahie maswali ya Kibatala wakati mwenzao hadi sasa keshakonda na wakiamua wanaweza kumfunga na hayo maswali ya Kibatala ndio yatakuwa na msaada upi sasa?
Tatizo lako hujui hata unatetea nini.

Waliomshitaki ni serikali leo hawana ushahid unaoweza kumtia hatiani mbowe bila ya nguvu.

Mawakili wapo wanamtetea na kesi haijamaliza ukisema watafute suluhisho kiupamde wako wewe suluhisho bora lá kuweza kumtoa mbowe ni lipi,?
Wavunje, auwakapige magoti kwa samia ndio suluhisho unaloliona bora?
 
Ila we jamaa unamuonea wivu kibatala sana, halafu kama unastress bila shaka utakuwa Kidando wewe.
Nimuonee wivu kwa lipi sasa? Kasifiwa Lissu humu ila akaja akashambuliwa vile na nyie mnayemsifia hakuna mlichomsaidia cha maana kaamua akimbilie nje ya nchi kunusuru maisha halafu kwa mazingira kama hayo unaniambie namuonea wivu Kibatala kwa sababu anasifiwa na wanafki kama nyie?

Mbowe keshakonda hadi muda huu na hukumu bado ila nyie huku mnakoshwa na maswali ya Kibatala.
 
Sio kwa sasa tu hamjawahi kuwa na la kufanya, Lissu yule pale katiwa kilema kuna ambalo mlifanya? Ila kama ulivyosema tuendelee kufurahia maswali ya Kibatala na huyo Mbowe muache aendelee kukonda sasa akihukumiwa kabisa sijui itakuaje.
Kukonda Kwake ni faida yenu mliomfunga.

Mliutangazia umma mna ushahdi kamili kabisa lakn bado blaaa blaaa nyingi.

Viongozi wa chadema wanataka dpp afute kesi yeye hataki kwahiyo mawakili wa utetezi wapo mahakamani kumtetea mbowe ili atoke iliba haki itapatikana. Hakuna wakili wa utetezi ambaye anauwezo wa kufuta kesi.

Ikiwa unaona mbowe anakonda itangazie mahakama na uomgee na dpp afute kesi mbowe arudi uraiani kama huwezi wacha wanaoweza kumtetea wamtee.
 
Tatizo lako hujui hata unatetea nini.

Waliomshitaki ni serikali leo hawana ushahid unaoweza kumtia hatiani mbowe bila ya nguvu.

Mawakili wapo wanamtetea na kesi haijamaliza ukisema watafute suluhisho kiupamde wako wewe suluhisho bora lá kuweza kumtoa mbowe ni lipi,?
Wavunje, auwakapige magoti kwa samia ndio suluhisho unaloliona bora?
Hii kesi ya Mbowe ni matokeo tu tatizo lililopo siku nyingi na mengi yashatokea, point si kutoka Mbowe tu bali hili tukio la Mbowe haliwafikirishi ndio kwanza mnafurahia maswali ya Kibatala na mtu anakuuliza sasa ulitaka tufanyaje? Yani ni wazi hii kesi ya Mbowe bado nayo haijawagusa kiasi kufikia kuona hii sasa basi yatosha.

Tuendelee kuburudishwa na Kibatala.
 
Nashauri mngeacha huku kufurahia maswali ya Kitabala na kufikiria hali ya mwenzenu kule hamjaona alivyokonda? Mngefikiria jinsi ya kupata suluhisho la haya matatizo kabisa ila nyie mnaishia kupiga domo humu ila manyanyaso yanaendelea siku zote.
Unataka twende kuvunja Gereza la Ukonga na Kumtoa FAM kinguvu ?
Ndio akili yako inakutuma hivi ?
 
Kukonda Kwake ni faida yenu mliomfunga.

Mliutangazia umma mna ushahdi kamili kabisa lakn bado blaaa blaaa nyingi.

Viongozi wa chadema wanataka dpp afute kesi yeye hataki kwahiyo mawakili wa utetezi wapo mahakamani kumtetea mbowe ili atoke iliba haki itapatikana. Hakuna wakili wa utetezi ambaye anauwezo wa kufuta kesi.

Ikiwa unaona mbowe anakonda itangazie mahakama na uomgee na dpp afute kesi mbowe arudi uraiani kama huwezi wacha wanaoweza kumtetea wamtee.
Mimi nalitazama hili suala kwa fikra za kwamba tulipofika sio kuzuri ila bado watu hawajazinduka ndio kwanza wanafurahia maswali ya Kibata.
Yani unaona kabisa kwamba hili nalo litapita kama yalivyopita mengine.
 
Mwenzenu anasota kule nyie mnafurahia maswali ya Kibatala, wabongo ni shida sana Tundu Lissu nusu afe ila wabongo waliishia kuongea tu kama hivi na story imeishia hapo hivyo hata ikitokea Mbowe akafungwa hakuna wabongo watakachofanya na hizi sifa za maswali ya Kibatala yataishia hapo hapo.
Acha haki itendeke,,kwa kuteswa kwake sisi tutapona!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom