Kuna wakati unakuwa mjinga kweli, hadi unatia huruma!
Ina maana huelewi chochote kinacho endelea nchi jirani? Huji walipo anzia na hapa walipo sasa? Hujui Ruto wa miezi michache tu iliyo pita siyo huyo Ruto unayemmfikiria akilini mwako?
Siwezi kukutoa ujinga endapo hali hiyo ndiyo inayo tuliza akili zako.
Haya mengineyo ni takataka zile zile ambazo huwa sina muda nazo.
binafsi hata uwe na mihemko namna gani siwezi babaika nayo coz ni yako mwenyewe kwangu ni useless na nonsense 🐒
hilo moja,
lakini la pili, nadhani gen z waliadabt mihemko ya kibongo kidogo kama yako na wakapoteze directions completely...
wakawa sasa majambazi tu....
sasa baada ya kuvurunda kwa taama na njaa zao za kuvunja na kuiba mali za watu,
wana mbwelambwela tu hawajui ni nini cha msingi waanze nacho kudai tena, nini kisubiri, hawana alternatives plans, fikra na akili zimefikia ukomo wa kufikiria, yaani kama wewe kalamu tu, unae anza kufanya mazoezi ya kuporomosha matusi, kwa vitu ambavyo unajifanya unavijua kumbe huvielewi 🤣
gen z hivi sasa wanagawanyika kwa kuanza kukataana wao kwa wao, wengine wanadai hawana viongozi wengine wanadai wao ndio viongozi wao 🤣
wengine Ruto must go now, wengine Ruto must not go now 🤣
wengine wanadai kumpeleka nyumbani uchaguzi mkuu 2027, wengine hadi 2032,
Gen z wengine kiongozi wao ni makamu wa Rais RigGy , wengine kiongozi wao Uhuru Kenyatta 🐒
kalenjini wanasema tutamlinda mtoto wetu, wakikuyu wanasema wanataka kuheshimiwa 🐒
sasa hapa unakuja kusema eti Ruto kanyooka kama rula 🐒
zigzag Crew kama hiyo itamyoosha nan sasa aise....
kiufupi ni kwamba hata uchaguzi ufanyike leo still Ruto atashinda kwa kishindo...
na huyo wakili kugomea uchaguzi, kwani yeye nani bana, asuse watu wengine waendelee na taratibu nyingine 🐒