Wakili Kibatala: Nitasusia Uchaguzi was TLS kama Mwabukusi asiporudishwa kwenye orodha ya Wagombea

Wakili Kibatala: Nitasusia Uchaguzi was TLS kama Mwabukusi asiporudishwa kwenye orodha ya Wagombea

Hii ni kwa sababu wanaosoma hgl au masomo ya arts mara nyingi ni vilaza. Huwezi kukuta bright ambaye anasoma arts. Wale wanaoshindwa physics, chemistry na biology, arts inakuwa kimbilio
Sio kila aliesoma law amesoma arts usiishi kwa kukaririshwa Mambo alafu unajua tatizo ni Elimu yetu tu kimfumo ulivyo ndio inatufanya tuwe na hii mentality but in reality ni kwamba Wewe unaweza piga certificate yako hapa ya Chemistry ukaenda uingereza ukachukua master's ya Sheria kwa kufuata muongozo tu unavyotaka haijarishi umeaomea nini Dunia sasa hivi imeshavaa gauni Ile sketi imeshaivua kitambo
 
binafsi hata uwe na mihemko namna gani siwezi babaika nayo coz ni yako mwenyewe kwangu ni useless na nonsense 🐒

hilo moja,
lakini la pili, nadhani gen z waliadabt mihemko ya kibongo kidogo kama yako na wakapoteze directions completely...
wakawa sasa majambazi tu....

sasa baada ya kuvurunda kwa taama na njaa zao za kuvunja na kuiba mali za watu,

wana mbwelambwela tu hawajui ni nini cha msingi waanze nacho kudai tena, nini kisubiri, hawana alternatives plans, fikra na akili zimefikia ukomo wa kufikiria, yaani kama wewe kalamu tu, unae anza kufanya mazoezi ya kuporomosha matusi, kwa vitu ambavyo unajifanya unavijua kumbe huvielewi 🤣

gen z hivi sasa wanagawanyika kwa kuanza kukataana wao kwa wao, wengine wanadai hawana viongozi wengine wanadai wao ndio viongozi wao 🤣

wengine Ruto must go now, wengine Ruto must not go now 🤣

wengine wanadai kumpeleka nyumbani uchaguzi mkuu 2027, wengine hadi 2032,

Gen z wengine kiongozi wao ni makamu wa Rais RigGy , wengine kiongozi wao Uhuru Kenyatta 🐒

kalenjini wanasema tutamlinda mtoto wetu, wakikuyu wanasema wanataka kuheshimiwa 🐒

sasa hapa unakuja kusema eti Ruto kanyooka kama rula 🐒
zigzag Crew kama hiyo itamyoosha nan sasa aise....
kiufupi ni kwamba hata uchaguzi ufanyike leo still Ruto atashinda kwa kishindo...

na huyo wakili kugomea uchaguzi, kwani yeye nani bana, asuse watu wengine waendelee na taratibu nyingine 🐒
Wewe ni bwege mmoja tu unayeshibishwa huko CCM sina muda tena wa kuhangaika nawe.
Maumivu yanakuja mkuu, natamani sana kukuona ukiwa kwenye hali hiyo inayokuja kwako karibuni.
Takataka zote hizi zitafagiwa tu, hii siyo nchi ya kuchezewa na misukule ya aina yako na wenzako.

Imetosha. Ukinifuata tena, nitakupa muda maalum.
 
Ana kura ya veto? Halafu kibatala, ka bangi ka nini? Na wewe pia ni mteja wa madada wa Nawanda, interns wako unawalipia mpaka tiketi za ndege ukafanye unawanda, chumba kizima kikinuka bangi. Smart outside, evil inside.

He calls himself rasta, yes, we know why!
Mnajuana vizuri sana
 
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa Wakili Boniface Mwambukusi hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea

Soma; Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wakili Kibatala amesema “Ukweli ni kwamba nisingempigia kura Mwabukusi. Ningempigia kura Wakili Paul Revocatus Kaunda, lakini kama jina la Wakili Mwabukusi halitarejeshwa kihalali katika orodha ya Wagombea wa Urais, nitasusia mchakato wa Uchaguzi wa TLS, na Mkutano. Huu hautakuwa utovu wa nidhamu; ni uamuzi wa kibinafsi. Nitalipa ada zangu, lakini nitasusia mkutano.”

Ameongeza “Itakuwa pia mpango binafsi kwa yeyote ninayeketi naye kuwashawishi kufuata nyayo zangu. Wakati huo huo; 1. Nitaungana na Mwabukusi katika hatua zozote za kisheria anazoweza kufuata. Hakuna Uchaguzi halali wa Urais wa TLS unaoweza kufanyika katika mazingira haya.”

Pia soma; Mwabukusi afungua kesi kupinga maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya TLS kumuengua kugombea Urais wa TLS

Aidha, amemalizia kuwa “Waachwe wanachama wachague: sisi ni WANASHERIA. Sisi ni ngome ya mwisho. Hapana.”

WAtu wengine ni kukosa vitu vya kufanya tu sasa itasaidia nini yeye akipinga, mbona alishagombea akakosa
 
Hawa kiburi kimewaingia sana, na hicho ndicho kitakacho wamaliza.
Hebu wewe fikiria, rais wa nchi anawaambia anao waongoza kwamba kelele zao sasa hataki kuzisikia, anajitangazia kuwa 'Chura Kiziwi'!

Hii maana yake ni kwamba anawapuuza na kuwadharau hao wanaompigia kelele kuhusu jambo husika!
Huyu siyo kiongozi, ni mtawala.
Huwa wanashtuka wakiwa wamechelewa na kuziingia nchi kwenye machafuko yasiyo na umuhimu wowote. Hawajifunzi kuwa hata hizo nchi zenye machafuko zilikuwa na utulivu mkubwa sana.
 
Huwa wanashtuka wakiwa wamechelewa na kuziingia nchi kwenye machafuko yasiyo na umuhimu wowote. Hawajifunzi kuwa hata hizo nchi zenye machafuko zilikuwa na utulivu mkubwa sana.
Acheni mambo ya machafuko kamati ya uchaguzi imemtoa kwa sababu za kimaadili sasa watu wachache ndio watuaminishe kuwa eti uchaguzi isiwepo kisa tu watu wao wamekatwa si utoto huo, wao wasishiriki ila wengi watashiriki
 
Nadhani hukunielewa tu, tulikuwa tunajadili issue tofauti kabisa na hiyo ya TLS. Tulikuwa tunaongelea habari ya kilichotokea Kenya na jinsi Ruto alivyoamua kuwa mpole. Nimetoa angalizo kwa wanasiasa wetu kwa kuegemea hiyo issue ya Ruto na wala si hao TLS.
 
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa Wakili Boniface Mwambukusi hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea

Soma; Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wakili Kibatala amesema “Ukweli ni kwamba nisingempigia kura Mwabukusi. Ningempigia kura Wakili Paul Revocatus Kaunda, lakini kama jina la Wakili Mwabukusi halitarejeshwa kihalali katika orodha ya Wagombea wa Urais, nitasusia mchakato wa Uchaguzi wa TLS, na Mkutano. Huu hautakuwa utovu wa nidhamu; ni uamuzi wa kibinafsi. Nitalipa ada zangu, lakini nitasusia mkutano.”

Ameongeza “Itakuwa pia mpango binafsi kwa yeyote ninayeketi naye kuwashawishi kufuata nyayo zangu. Wakati huo huo; 1. Nitaungana na Mwabukusi katika hatua zozote za kisheria anazoweza kufuata. Hakuna Uchaguzi halali wa Urais wa TLS unaoweza kufanyika katika mazingira haya.”

Pia soma; Mwabukusi afungua kesi kupinga maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya TLS kumuengua kugombea Urais wa TLS

Aidha, amemalizia kuwa “Waachwe wanachama wachague: sisi ni WANASHERIA. Sisi ni ngome ya mwisho. Hapana.”

Muvandimwe ukurikiza amakuru ya Tanzaniya?
 
" We are lawyers for GOD's sake . We are the last bastion ." - This phrase inspires confidence.
Porojo tu hizi ,hayo ni maoni yake binafsi abaki nayo mwenyewe tls aliikuta na ataiacha
 
Ana kura ya veto? Halafu kibatala, ka bangi ka nini? Na wewe pia ni mteja wa madada wa Nawanda, interns wako unawalipia mpaka tiketi za ndege ukafanye unawanda, chumba kizima kikinuka bangi. Smart outside, evil inside.

He calls himself rasta, yes, we know why!
Kumbe Adv Kibatala ni mchafu kihivyo??
 
Back
Top Bottom