Kasongo yeeyee
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 1,201
- 2,705
Sidhani kama hawa wehu watajali
Hamza johari --- dp worldTaarifa za ndani kutoka kwa mawakili wa Tundu Lissu wanaomtetea katika kesi ya Uhaina inayomkabili, inadaiwa kuwa Lissu ataanza mgomo wa kula chochote gerezani kama njia ya kushinikiza haki katika kesi yake, hii inakuja baada ya kauli ya AG. Amza Johari Mwanasheria mkuu wa serikali kuhusu kesi hii alipokuwa bungeni wiki hii.
Kugoma kula ni njia mojawapo ya kushinikiza haki katika kesi pale mfungwa anapohisi hapati haki inavyostahili.
Njia hii pia aliitumia Kizza Besigye wa Uganda na ikailazimu gereza la kijeshi uganda kumfikisha mahakamani kama sheria ilivyotaka.
Kauli za G55😀😀Ngoja azidiwe njaa azirai kabisa ndio alishwe kwa mrija
Alipo pigwa lisasi mlifanya nn?Sasa ole wenu afe ndo mtajua watanzania ni watu wa aina gani
Tunajuaje kama ni ukweli. Tupate taarifa rasmi kutoka uongozi wa Chadema ili kuungwa mkono na Watanzania wengi. Hizi ni tetesi.Taarifa za ndani kutoka kwa mawakili wa Tundu Lissu wanaomtetea katika kesi ya Uhaina inayomkabili, inadaiwa kuwa Lissu ataanza mgomo wa kula chochote gerezani kama njia ya kushinikiza haki katika kesi yake, hii inakuja baada ya kauli ya AG. Amza Johari Mwanasheria mkuu wa serikali kuhusu kesi hii alipokuwa bungeni wiki hii.
Kugoma kula ni njia mojawapo ya kushinikiza haki katika kesi pale mfungwa anapohisi hapati haki inavyostahili.
Njia hii pia aliitumia Kizza Besigye wa Uganda na ikailazimu gereza la kijeshi uganda kumfikisha mahakamani kama sheria ilivyotaka.
Endelea kukariri!Inajulikana kitambo watanzania ni keyboard fighters, au kuna jipya?
Inajulikana kitambo watanzania ni keyboard fighters, au kuna jipya
Mkuu,inasubiriwa mobilization ya kukutana wote barabarani tu halafu hapo Kila mmoja atakuja na hasira zake mwenyeweInajulikana kitambo watanzania ni keyboard fighters, au kuna jipya?
Alikufa?Alipo pigwa lisasi mlifanya nn?
Siyo tetesi ni taarifa za kweli.Tunajuaje kama ni ukweli. Tupate taarifa rasmi kutoka uongozi wa Chadema ili kuungwa mkono na Watanzania wengi. Hizi ni tetesi.
Mm Sio mnafiki.Kun wengine kama nyie hata ukibodi mnaukimbia
Kabla ya kugoma kula, alilishwa sumu?Safi sana, pia ataepuka kulishwa Sumu.
Watanzania wa wapi?Sasa ole wenu afe ndo mtajua watanzania ni watu wa aina gani
jamani mwacheni ale tunamhitaji Oct 2025 ashuhudie mama akiapa uwanja wa
Kabla ya Mdude kuuwawa si alikuwa anatekwa tekwa?Kabla ya kugoma kula, alilishwa sumu?
Mkiona vipi muwekeeni ile sumu mlimuwekea Mwakyembe.Ngoja azidiwe njaa azirai kabisa ndio alishwe kwa mrija
Siku ikifika hao hao wataunga tela, hakuna ugomvi mzuri kama ule wa kudandia mbeleWatanzania wa wapi?
Hawa wenzao wanatekwa wametulia tuli km hawaoni chochote..!!
Una maana gani?Sijajua ni kwa nini Serikali ya ccm inamuogopa Tundu Lissu.