PreGE2025 Wakili Kibatala: Tundu Lissu kugomea kula chakula Gerezani mpaka haki ipatikane
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakili Peter Kibatala ambaye ni mmoja kati ya jopo la Mawakili wanamtetea Tundu Lissu, ameeleza kuwa Magereza walimnyima haki Lissu ya kushiriki ibada kwenye kipindi cha Pasaka Gerezani, huku wafungwa na maabusu wengine wakiruhusiwa kushiriki ibada hizo ndani ya Gereza..

Source: MwanaHALISI TV

GOD BLESS TUNDU LISSU
 
Lissu anateswa na machawa ambayo hata Samia hajaelekeza yamzuie ibada.
Kuna mishetani kule magereza yanatesa watu, yanafanya Kila uchafu Mambo ambayo mkuu wa gereza anapaswa kuyadhibiti.
Samia hawezi kuwepo Kila mahali yeye siyo Mungu.
Ni maagizo kutoka juu.

View attachment 3338537

Source: MwanaHALISI TV

GOD BLESS TUNDU LISSU
Mambo mengine ni upuuzi mtupu.. Lissu sio gaidi wala sio jambazi
 
Lissu anateswa na machawa ambayo hata Samia hajaelekeza yamzuie ibada.
Kuna mishetani kule magereza yanatesa watu, yanafanya Kila uchafu Mambo ambayo mkuu wa gereza anapaswa kuyadhibiti.
Samia hawezi kuwepo Kila mahali yeye siyo Mungu.
Yeye siyo nani? Wewe acha kufuru heshimu mamlaka.
 
Mambo mengine ni upuuzi mtupu.. Lissu sio gaidi wala sio jambazi
Chama Cha Mashetani CCM kimempa lilema cha maisha kwa kutaka kumuua, Mungu mkubwa Lissu akapona.

Sasa wameina njia nyingine ni kimpa kesi ya uhaini ili wamuue, hawajui kwamba Mungu si Athumani.

Sijui Rais wa sasa anajisikiaje kwa mambo ya kutoa uhai wa Lissu na watanzania wengine! 😭😭😭
 
Back
Top Bottom