PreGE2025 Wakili Kibatala: Tundu Lissu kugomea kula chakula Gerezani mpaka haki ipatikane
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Taarifa za ndani kutoka kwa mawakili wa Tundu Lissu wanaomtetea katika kesi ya Uhaina inayomkabili, inadaiwa kuwa Lissu ataanza mgomo wa kula chochote gerezani kama njia ya kushinikiza haki katika kesi yake, hii inakuja baada ya kauli ya AG. Hamza Johari Mwanasheria mkuu wa serikali kuhusu kesi hii alipokuwa bungeni wiki hii.

Kugoma kula ni njia mojawapo ya kushinikiza haki katika kesi pale mfungwa anapohisi hapati haki inavyostahili.

Njia hii pia aliitumia Kizza Besigye wa Uganda na ikailazimu gereza la kijeshi uganda kumfikisha mahakamani kama sheria ilivyotaka.
Inategemea na "akili" za unazowagomea. Nna wasiwasi na akili za hawa wetu, usikute ndo watafutahia kabisa.
 
kumbe ni mgonjwa, siwamwache tu, yaweza kuwaameathirika kisaikolojia, sie kwetu mgonjwa hata akikutusi huwa tunapotezea, nanyie machadema mlichaguaje mwenyekiti mgonjwa? usijekuta na heche ana busha
 
Katika hali ya kushangaza Wakili anayemsimamia Tundu Lissu, Peter Kibatala ameumbua mpango wa mteja wake wa kutaka kujizuru akiwa gerezani Ukonga kwa kugomea kula na kunywa dawa zake za matibabu.

Kibatala anakiri kuwa anapambana kuzungumza na Tundu Lissu akimshawishi kuacha mpango huo kwani ni kosa kisheria maana anaweza funguliwa kesi nyingine ya kutaka kujiua kwa kukiuka masharti ya kidaktari.

Kibatala amemalizia kwa kusema kuwa Jumatatu anatarajia kwenda Gereza la Ukonga kwa ajili ya kuendelea kumshauri Tundu Lissu aachane na huo mpango wa kususia kunywa dawa na kula chakula kwani kisheria itamuingiza matatani.

Inaonekana Tundu Lissu baada ya kuona hatoboi kwenye kesi yake ameamua kufanya vituko vya kuishinikiza Mahakama itoe maamuzi upande wake, kama yeye ni muumini wa sheria basi atumie taratibu za Kimahakama.
Kuna mijitu mijinga na ya hovyo sana kwenye hii Nchi, au kwa sababu bado upo kwa Mama na Baba hayajakukuta ?

Wakati mwingine ni bora uwe unatafakari kabla ya kuandika ujinga kama huu
 
kama hamtaki upinzani semeni tu.
turudi mfumo wa chama kimoja tujue moja.kuliko kutesa watu na kuwaua
 
Back
Top Bottom