Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hamza johari --- dp world
 
Tunajuaje kama ni ukweli. Tupate taarifa rasmi kutoka uongozi wa Chadema ili kuungwa mkono na Watanzania wengi. Hizi ni tetesi.
 
Sijajua ni kwa nini Serikali ya ccm inamuogopa Tundu Lissu.
 
jamani mwacheni ale tunamhitaji Oct 2025 ashuhudie mama akiapa uwanja wa mkapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…