macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ni kweli. Ni ujinga ule ule wa kizamani wa kutisha watu ili waogope kusema. Hawa watu ni wapumbavu kuliko hata nguruwe. Badala ya kuboresha maisha ya wananchi yaliyojaa kila aina ya mateso, wao wanadhani kutishia watu ndiyo suluhisho. Kuna siku watu watanzania wote tutajuta na kusema kwa kwanini tuliachia viongozi wapumbavu namna hii wafanye wanavyotaka.Lengo ni kutisha watu na kuhakikisha watu wanaozea jela na si ku-prove makosa ya Uhaini mahakamani.
Umelelewa vibaya sana kujiona una akili kuliko wengine. Hasira mpelekee mama yako kama hujafurahishwa na maoni yangu piti hiviMpumbavu mkubwa wewe,huna hata hoja unaropoka ujinga uliojaliwa
Yaani kila mtu anashangaa......kumbe IGP alimanisha hiki?Duh
Wameshtakiwa leo Jumapili?!
Ikumbukwe mambo haya ya Uhaini huambatana na Njaa na Dhiki Kuu, si dalili njema
Nilikuwa Katumba Bar Kinondoni mkwajuni Wakati Tamimu alipofanya Uhaini 1980s, si jambo la kuombea kwa kweli
Bwege Ni wewe huko ulikotupwaHalafu uachage ubwege na ujinga utaungana na Mdude na haka la ID fake?!!
Usijifanye mwerevu wakati unaokana mweupe tu kichwani maana unaongea kishabiki kama mlevi wa komoni. Wakitokea watu na kauli zenye utata ambazo zinaweza ku manipulate mob behavior kuja kuwa vengeful mob lazima police wafanye kazi yao.Mananga kama wewe ni wa kusamehe kwa sababu kichwani hamna kitu. Civil unrest inatokeaje wakati mama anaupiga mwingi na tayari tuko kwenye uchumi wa kati? Itatokeaje wakati waarabu wanakuja kuchukuwa bandari waingize mamilini ya fedha ambazo zitabóresha maisha ya kila mwananchi? Au italetwa na mama yako?
Huwa una hoja nzuri lakini kwa hizi kejeli na matusi yako inaonekana una depression sio bure.Hawawezi kuthibitisha hayo makosa, Shetani Samia atashindwa, na hata kama akibebwa na hizo mahakama za majaji wa hovyo, atambue watanganyika sio wajinga, ukweli wanaujua, mwanamke mzee ametusaliti.
Huwezi ku-manupulate watu milioni 60 kwa kauli tata ambazo hazina maana au haziakisi ukweli wa mambo. Ila kama kauli zako ni za kweli na zinaonyesha hali halisi basi watu watakusikiliza. Kuna ubaya gani kama serikali imejaa ufisadi na uzembe itaondolewa na kuingia serikali nyingine yenye kuwajibika? Angalia sana unaonekana kama idiot sasa!Usijifanye mwerevu wakati unaokana mweupe tu kichwani maana unaongea kishabiki kama mlevi wa komoni. Wakitokea watu na kauli zenye utata ambazo zinaweza ku manipulate mob behavior kuja kuwa vengeful mob lazima police wafanye kazi yao.
Angalia ulivyo idiot. Unaishia kugombana na kila mtu. Hoja huna. kama ni hao mabwana zako waarabu unaowasujudu sisi tunasema NO.Huwa una hoja nzuri lakini kwa hizi kejeli na matusi yako inaonekana una depression sio bure.
Kwa mtu yeyote mwenye akili huru hawezi kuwa pamoja na aina ya ukosoaji wanayoifanya akina mdude na wenzake. Tupo wengi ambao tumependekeza mkataba ufanyiwe marekebisho lakini si aina hii ya ukosoaji waliyoufanya hawa akina Mdude.Usijifanye mwerevu wakati unaokana mweupe tu kichwani maana unaongea kishabiki kama mlevi wa komoni. Wakitokea watu na kauli zenye utata ambazo zinaweza ku manipulate mob behavior kuja kuwa vengeful mob lazima police wafanye kazi yao.
Hasira unazo wewe. Na mama yako yuko kazini anaogesha waarabu. Utampelekea nani hasira zako sasa?Umelelewa vibaya sana kujiona una akili kuliko wengine. Hasira mpelekee mama yako kama hujafurahishwa na maoni yangu piti hivi
Onyesha kosa lolote lililo kwenye ukosoaji wao! Dont hit around the bush! Ukosoaji mzuri ni upi na ukosoaji mbaya ni upi?Kwa mtu yeyote mwenye akili huru hawezi kuwa pamoja na aina ya ukosoaji wanayoifanya akina mdude na wenzake. Tupo wengi ambao tumependekeza mkataba ufanyiwe marekebisho lakini si aina hii ya ukosoaji waliyoufanya hawa akina Mdude.
Wapo ambao waliyowashambulia kwa sababu ya uchawa. Wapo ambao waliona aina ya ukosoaji wanaoufanya utawagharimu. Usimshambulie mtu, kosoa mkataba! Kama alivyofanya Prof. Issa Shivji kisha unaweka kimuktadha wa kitaifa faida ama hasara itakuwa ya namana gani!
Ila Chadema haya hawataki kuyasikia. Kama ndiyo njia waliyoichagua wasilalamike bali wapambane. Kulialia hakiusaidii kama umechagua pambano!
Wanyongwe haraka iwe mfano,mmepewa Uhuru mnautumia vibayaTaarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Adv.
@Mwabuk2Boniface
na
@mdudechadematz
wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO
Tatizo lako ni ushabiki ndio unakutesa unajikuta unapotaza objectivity kwenye maoni yako. Una kubali huku una kataa. Kwa akilHuwezi ku-manupulate watu milioni 60 kwa kauli tata ambazo hazina maana au haziakisi ukweli wa mambo. Ila kama kauli zako ni za kweli na zinaonyesha hali halisi basi watu watakusikiliza. Kuna ubaya gani kama serikali imejaa ufisadi na uzembe itaondolewa na kuingia serikali nyingine yenye kuwajibika? Angalia sana unaonekana kama idiot sasa!
Tatizo unaendeshwa na ushabiki kiasi cha kupoteza objectivity kwenye maoni yako. Unashindwa kujua kuwa manipulation inaanzia kwa watu wachache kisha inasambaa. Unakubali mara unakataa, police lazima wachunguze motives ila waweze ku counter hatari yoyote inayoweza kutokeaHuwezi ku-manupulate watu milioni 60 kwa kauli tata ambazo hazina maana au haziakisi ukweli wa mambo. Ila kama kauli zako ni za kweli na zinaonyesha hali halisi basi watu watakusikiliza. Kuna ubaya gani kama serikali imejaa ufisadi na uzembe itaondolewa na kuingia serikali nyingine yenye kuwajibika? Angalia sana unaonekana kama idiot sasa!
Unataka shetani aitwe malaika?Huwa una hoja nzuri lakini kwa hizi kejeli na matusi yako inaonekana una depression sio bure.
Wewe jamaa nimegundua bado mdogo sana kama sivyo una tatizo la akiri sio bure. Sitaki tena mjadala na wewe ulienda shule kujifunza ujinga.Hasira unazo wewe. Na mama yako yuko kazini anaogesha waarabu. Utampelekea nani hasira zako sasa?
Unazidi kuonyesha ulivyo idiot? Manipulation ya kusema ukweli mkataba ni mbaya? Kusema ukweli ni manipulation? Au?Tatizo lako ni ushabiki ndio unakutesa unajikuta unapotaza objectivity kwenye maoni yako. Una kubali huku una kataa. Kwa akil
Tatizo unaendeshwa na ushabiki kiasi cha kupoteza objectivity kwenye maoni yako. Unashindwa kujua kuwa manipulation inaanzia kwa watu wachache kisha inasambaa. Unakubali mara unakataa, police lazima wachunguze motives ila waweze ku counter hatari yoyote inayoweza kutokea