saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
ndiyo stahili yaoTaarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Adv.
@Mwabuk2Boniface
na
@mdudechadematz
wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO
Leo umeharibu brother umeongea kwa hasira badala ya kumwaga madini watu wasome wajifunze. Criticism ni kitu cha kawaida kwenye siasa lakini mambo ya sheni sijui mama mzee sio ustaarabu.Unataka shetani aitwe malaika?
Tupingane kwa hoja kama unazo..
Akiri = akili. Tuanze kwanza na ujinga wako ulioenda kusomea shule. Huwezi hata kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili!Wewe jamaa nimegundua bado mdogo sana kama sivyo una tatizo la akiri sio bure. Sitaki tena mjadala na wewe ulienda shule kujifunza ujinga.
Hatuwezi tukaruhusu upuuzi, ujinga n.kOnyesha kosa lolote lililo kwenye ukosoaji wao! Dont hit around the bush! Ukosoaji mzuri ni upi na ukosoaji mbaya ni upi?
SijakuelewaMagufuli alikuwa dikteta bora sasa tuna amani tele.View attachment 2716058
We huna akili, huwezi chagua njia ile ile ambayo haileti matokeo. Ujinga ni muda wa kwenda tu.Kwa mtu yeyote mwenye akili huru hawezi kuwa pamoja na aina ya ukosoaji wanayoifanya akina mdude na wenzake. Tupo wengi ambao tumependekeza mkataba ufanyiwe marekebisho lakini si aina hii ya ukosoaji waliyoufanya hawa akina Mdude.
Wapo ambao waliyowashambulia kwa sababu ya uchawa. Wapo ambao waliona aina ya ukosoaji wanaoufanya utawagharimu. Usimshambulie mtu, kosoa mkataba! Kama alivyofanya Prof. Issa Shivji kisha unaweka kimuktadha wa kitaifa faida ama hasara itakuwa ya namana gani!
Ila Chadema haya hawataki kuyasikia. Kama ndiyo njia waliyoichagua wasilalamike bali wapambane. Kulialia hakusaidii kama umechagua pambano!
Kuwa mtulivu utaelewa kipindi cha mchana baada ya mapumziko.Sijakuelewa
Na je kosa la uhaini lina dhamana??Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Adv.
@Mwabuk2Boniface
na
@mdudechadematz
wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO
Hahaha 🤣🤣We huna akili, huwezi chagua njia ile ile ambayo haileti matokeo. Ujinga ni muda wa kwenda tu.
Nielewe sasa hiviKuwa mtulivu utaelewa kipindi cha mchana baada ya mapumziko.
We babu bomba acha kutisha watu, hata yakiwa na mwisho vita ikitokea kwa umri wako utaishia kujinyea tu huku vijana wakikimbia.
Keyboard hero acha maneno mengi jitokezeni mahakamani kesho mkapinge hadharani, hii kucomment kwa kujificha haiwasaidii.Hawawezi kuthibitisha hayo makosa, Shetani Samia atashindwa, na hata kama akibebwa na hizo mahakama za majaji wa hovyo, atambue watanganyika sio wajinga, ukweli wanaujua, mwanamke mzee ametusaliti.
Wacha nikapate kwanza chai staff, wewe huhisi njaa ?Nielewe sasa hivi
Hoja utazipata wapi J Chamatusi weweUnataka shetani aitwe malaika?
Tupingane kwa hoja kama unazo..
Una NJAAWacha nikapate kwanza chai staff, wewe huhisi njaa ?
Unakichaa kabisa unahtaji maombiMagufuli alikuwa dikteta bora sasa tuna amani tele.View attachment 2716058
Unajua kusoma ?Una NJAA