Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

Leo umeharibu brother umeongea kwa hasira badala ya kumwaga madini watu wasome wajifunze. Criticism ni kitu cha kawaida kwenye siasa lakini mambo ya sheni sijui mama mzee sio ustaarabu.
Hii ndio hoja yako?
 
Kwa hii sintofahamu ya DP World na kitendo cha Mamlaka kuanza kutisha wananchi wazalendo wanaotetea haki ya Watanzania wote dhidi ya mkataba huu wa kifedhuli ambao Mahakama yenyewe imekiri una utata ingelikuwa Nchi za Magharibi mwa Africa Jeshi lingeshachukua Nchi. Viongozi wetu wame kosa weledi, maono, fikra za uongozi. Wasaidiwe ili tuvuke Salama. Huyu mwarabu DPW hatakiwi kugusa Nchi hii at any cost.
 
Watakaopindua nchi ya Tanzania ni Wanajeshi; kile ambacho serikali inakifanya kwa sasa kupitia hivi vyombo visivyo na weledi Mungu anenda kutenda maajabu kwenye utawala huu dhalimu. Mnawashitaki kwa kosa linalostahili kifo kisa mnataka kuwaziba midomo wananchi hawatakubali kamwe ndio wamechochea zaidi.

Nobody is safe under a cowardice regime
 
Wacha wanyongwe wajifunze.😂
 
Mahakama zipi, hizi hizi zinazopigiwa simu moja? Ingekuwa mahakama za Kenya au kimataifa hapo kungekuwa na mahakama. Sio hizi mahakama za majaji wa mchongo.
 
Wacha wanyongwe wajifunze.😂
Tena wakati wa kunyongwa, muwaite hao waarabu wa DP World kabisa ndio wawanyonge vizuri hao watanganyika kwa kuwazuia kuchukua bandari zao walizouziwa na viongozi walioko madarakani bila ridhaa ya wananchi.
 
Mama amejinyeaaaaaaa
 
Tusubiri kuambiwa walikuwa wanaandaa kuchimba mitaro chini ya bandari ili maji yakauke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…