PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukabila Hatutaki , acheni kauli zenu
 
Jina lake ni SIKUJUA ELFAS.
Na data zinaonesha huyu ni mwenyeji wa mkoa wa Mbeya.
Tunamtahadharisha kuwa yeye na watekaji/wauaji wenzake pamoja na familia zao hawatadumu milele.
Amina.
Sim card imesajiliwa kwa hilo jina la SIKUJUA ELFAS. alinunua kijoti huyo. Ni mfanyakazi ofisi ya mkuu wa mkoa. Pia ni dereva wa task force mkoani humo.
 
Ukabila Hatutaki , acheni kauli zenu
Mzanzibar hataki kusikia Watanganyika wanapodai haki yeye amefumba macho na kukaza moyo ili wale wote wenye maono ya kweli wapotezwe libaki kundi la wajinga ambalo kazi yake ni kuabudu na kusifu.
 
mwambukusi, kaa lea wanao, huo mdomo wataupiga kweli, hii kazi waachie vijana wasiokuwa na familia, kufa sio kubadili makazi, hatutaki kuona mkeo akilia hadharani kama umbwa
Mmefika stage mbaya sana vipi wanainch nao wakianza kuchukua hatua
 
Sasa yeye si anasema haogopi vitisho?

Why hiyo meseji Imshughulishe hadi kufikia hatua ya kushare na community,uoga tuuh...

Anatishia kujamba wakati anaugonjwa wa kuhara,mwabukusi mwehu sana kama Mdude tuh
Acha usenge wako
 
Mbona kama mleta uzi umepaniki au ni wewe
 
Ukiona anaetafutwa hajapatikana ujie tukio ni lao.
Ukiona hawalisemei ni lao.
Ukiona wanazuia wasiingiliwe kwenye kazi Yao...Kazi Yao...., ndiyo Waliyofanya kazi hiyo.
 
Wabongo bwana, Bado unawaza polisi?
Kwasababu tunaimani kuwa Tanzania ni nchi inayoendeshwa kisheria.lakini hiyo imani inazidi kushuka siku tukiona kuwa nchi inaendeshwa kibabe bila kufuata sheria basi nasisi wananchi tutaanza kujichukulia sheria mkononi.
 
Tatzo n kwamba tupo hapa na atapotezwa ila hatuwezi fanya kitu. Kmmk watanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…