Wakili Mwabukusi: Rais Samia atusikie, Mkataba wa Bandari haulindi uhai wa Nchi yetu

Wanazuoni wasomi wahadhari wa Chuo Kikuu UDSM wajitosa kuupitia mkataba wa bandari na kutoa maoni

Baada ya kufanya tafiti kama wasomi wameibua yafuatayo ...

Nchi saba zilizoizunguka Tanzania

Aina ya mkataba na makubaliano ulioingiwa IGA unaweka mazingira wezeshi yani mkataba mwamvuli ili mikataba midogo midogo ya, HGA itafuata

IGA ni kishika uchumba kutupa fursa

Kwanini mwekezaji kwa bandari ya Dar es Salaam gati 11 TEU 0.7 milioni tujilinganishe na bandari za Mombasa gati 22 TEU 1.4 milioni , Maputo gati 16 na Durban zaidi ya 50..

Bandari za Mtwara ni seasonal zaidi kuhusu korosho na huenda baadaye makaa ya mawe yanaweza kubadilisha kutoka bandari ya msimu / seasonal kuenda ya mwaka mzima kutokana na makaa ya mawe ya Mchuhuma

National port plan ya Dar es Salaam inasema gati 13 zilitakiwa kuwa Dar es Salaam huku gati moja inagharimu trilioni moja ..
 
FELESHI - WAJE MAHAKAMANI NA HOJA ZAO

Mwanasheria mkuu wa serikali ya Tanzania jaji Dr. Feleshi ametetea mkataba / makubaliano ya IGA kuhusu bandari kuwa yapo sawa.

Mwanasheria mkuu wa serikali amesema watakutana mahakamani na wale wanaopiga mkataba huu na waje na hoja za kutosha.
 
WAKILI MWABUKUSI: Rais Samia atusikie, Mkataba wa Bandari haulindi uhai wa Nchi yetu

Katika mahojiano leo na wakili Mwabukusi anaangazia mambo zaidi kamati ya bunge, uwakilishi wa muswada wa mkataba bungeni na jinsi muda finyu waliopewa wabunge kuujadili ...
.

Wabunge Halima Mdee, Aida Kenani pamoja na Luhaga Mpina ambaye hakupata nafasi bungeni kuwakilisha hoja hivyo kuwakilisha maoni nje ya bunge kwa maandishi watambuliwe kwa kupewa maua yao hayo bila kumsahau dada yetu mpendwa wa taifa Mange Kimambi amesema wakili msomi Boniface Mwabukusi

Aliyevujisha mkataba ni mzalendo halisi na hii inatia moyo kuwa bado kuna Wazalendo wachache ndani ya serikali... na huyu atambuliwe wajibu wake mkubwa kulinda maslahi ya taifa

Serikali inawajibika kwetu umma yaani wananchi hivyo viongozi wote serikalini watambue mamlaka zote tulizowapa ni zili zilizotamkwa katika katiba kama hawawezi waache nyadhifa zao waende nyumbani ...

Advocacy tunayofanya ni kazi ya kuelimisha wananchi na ndiyo wajibu wetu kwani waziri Mbawara katika hadhira tofauti tofauti anasema mkataba huu ni makubaliano na akifika mbele ya viongozi wa dini n.k wanasema mkataba ...

Viongozi waache propaganda kwa kwenda sehemu mbalimbali Tanzania kupotosha wananchi kuwa marekebisho yatafanywa... hata wakienda mpaka kilele cha mlima Kilimanjaro haitasaidia kuzimisha kelele za wananchi ...

Linalotakiwa ni bunge hili hili lirudi haraka ili kwa kikao cha kingine liupitie tena maana ni hitajito la kikatiba wakati kunapotokea hali kama hii tunayoiona badala ya kujaribu kuutetea mkataba huu mbovu ...

Bunge halina uwezo wa kuita watu kuwahoji hata pale walipowatisha kwa kuwaita kina Paschal Mayalla, Dr. Reginald Mengi na wengine ni batili. Kwa bunge haliwezi kuwa prosecutor na mahakama

Kumtishia balozi Dr. Wilbrod Peter Slaa ambaye ni Whistle blower bona-fide kuwa aitwe bungeni ahojiwe kuhusu press conference zake za kuhusu sakata la DP World, hili ni kinyume cha katiba na batili maana bunge halina mamlaka hayo....

Hata mimi Boniface Mwabukusi nikiitwa Dodoma siwezi kutishwa na sitakwenda maana ni wito batili na haramu wala kukidhi sheria na katiba yetu kwa kuwa bunge halina mamlaka hayo

Mikataba ya kunyonya Mali ya asili yetu haikubaliki ni mikataba pekee ambayo ina manufaa kwa taifa na muwekezaji ndiyo tunayoiafiki siyo mkataba mbovu kama huu ...

Tunawashukuru wananchi kwa kupaza sauti katika suala hili ..... maana sasa Bunge halitaweza tena kututia vitanzi kama hivi vya DP World, Loliondo, Madini n.k bila wananchi kuhusishwa kimamilifu na siyo kuburuzwa ....

Kuna masharti yasiyo general policy ndani ya mkataba .... reciprocacy hakuna, huu mkataba una mlinda mwekezaji badala ya kumpa haki ya kudai fidia pale anapodhulumiwa...

High level consultation kwa kutumia katiba yetu Ibara ya 27.1 ya raia kuwa na haki ya kulinda Mali inafanyika na si muda mrefu waTanzania watapewa mrejesho na watafahamishwa

Ibara ya 28 ya katiba hairuhusu mtu yeyote kumilikishwa eneo lolote bali inaruhusiwa kutumika kwa shughuli hivyo mwekezaji hatakiwi kumilikishwa bali kuendesha shughuli za kibiashara ...

Bungeni kulikuwa na tukio na siyo mjadala maana hakuna mwanasheria mkuu hakuoneshwa siku hiyo na mwanasheria mkuu ana kiti chake maalum bungeni lakini hakuwepo na badala yake spika wa bunge kuliteka bunge kinyume na uendeshaji wa bunge huku akiwadhalilisha, kuwa harass wabunge Halima Mdee, Aida Kenani na kulibadilisha bunge kuwa kama darasa la chekechea / kindergarten la a,e,i,o,u huku dhihaka za kutunzana noti, miluzi, kugonga meza kiasi cha bunge kuwa eneo mithili ya ngoma ya mchiriku wakati jambo muhimu la eneo la nchi linamilikishwa kwa taifa lingine geni milele

Ya fuatayo yarekebishwe katika mkataba huu wa DP World katika yafuatayo : Sheria za nchi zizingatiwe masuala ya umilikaji ardhi, umilikaji wa bandari, uvunjwaji wa mikataba, tusikatazwe kutwaa eneo pale usalama wa taifa unapotishiwa tofauti na mkataba huu unavyotukataza kitu ambacho ni kinyume na katiba, spika aache kuligeuza bunge kuwa kikaragosi cha serikali, maandamano yaratibiwe maana katiba inaruhusu

Ushauri kwa Mh. Samia Hassan, ni kuwa mimi nina mashaka rais amepotoshwa maana hata wataalamu kama mwanasheria mkuu hakuonekana ndani ya televisheni siku ya tarehe 10 June 2023 jumamosi mjini Dodoma. Pia namshauri mchakato wa haraka ufanyike Serikali iurudishe mkataba huu tena bungeni na utaratibu wote utumike kikamilifu na uwazi mkubwa kusuka upya mkataba huu tata.

Freeman A. Mbowe ameeleweka na watu wenye uwezo wa kufikiri ila kuna watu wanataka kupotosha ujumbe mzuri aliowakilisha

Ni nchi mbili tu yaani Palestina kule mashariki ya kati na Tanganyika hapa Afrika Mashariki nchi zao zimepotezwa .....

Rais amwelekeze waziri aliyemkasimisha madaraka (Delegata potestas non potest delegari) kujiuzulu maana alimuamini waziri hakutumia imani hiyo vizuri lakini sasa amemuingiza katika matatizi makubwa na pia mkataba huu urejeshwe bungeni tena maana paka akifungiwa chumbani katika kona paka huyu huweza kujigeuza Simba... pia Spika Tulia Ackson ajiuzuli nafasi yake mara moja ya uspika kwa kushindwa kulipa bunge na wabunge nafasi ya kuishauri serikali kwa uwazi hilo linawezekana maana Job Ndugai alijiuzulu kufuatia utata ... na kadhia hii ya bandari ni moto kuliko ya Job Ndugai spika aliyepita ..

Wazee wa taifa wajitokeze haraka kumshauri rais kwa heshima kuwa kuwa wajisahihishe kuurejesha mkataba huu tena bungeni ....

Aachane na mama akaongee na wanasheria wenzake kwa mwanasheria mkuu huko.

Mama haongei, yeye vitendo tu.

Anayo habari ya maajabu yanayitokwa bandarini sasa hivi?
 
Wanazuoni wasomi wahadhari wa Chuo Kikuu UDSM wajitosa

Inasikitisha sana wasomi wetu hoja yao kuu wanasema tuwe na imani !

HESABU HEWA ENDELEVU ZA MIZIGO TOKA NCHI JIRANI ZA WATETEZI WA DP WORLD
Wakati tafiti katika maandiko mbalimbali inaonesha kuwa, nchi kama Congo DR, Rwanda na Burundi siyo nchi stable na wakati wowote kunaweza kutokea machafuko na mizigo hiyo ikatoweka ama kwa uchumi kuporomoka au mtawala mpya kuhongwa na kuamua kutumia njia nyingine kupeleka mizigo au kuagiza ngambo. Hili jambo la Tanzania kujitosa 100% kugharamia SGR reli au 100% kupewa mwekezaji ni hatari kwa usalama na uchumi wa Tanzania :

The transit zone Dar es Salaam to Kigoma and back to Dar es Salaam gradually lost its economic importance and, certainly after the riots of 1991 (Congo) and 1994 (Rwanda), traffic from Central Africa stopped. Between 1994 and 1995 the AMI began discussions on an "honorable end" to the management agreement, in 1996 Tanzania took over the sites.

Even if they have not been used for 25 years, in theory these Belbases still exist, because the four countries (Tanzania, Burundi, Congo and Rwanda) have not yet been able to agree on compensation for the takeover of the installations.

March 15, 1921​

On March 15, 1921, the Belgian and British governments signed a convention concerning " the free passage of persons, mail, goods, ships, vehicles and wagons from or to the Belgian Congo ", including the protectorate of the Rwanda - Urundi.

The last Belgian manager​

1687811176240.png

From January 1992 to December 1995, Guido Fallentheyn was the last Belgian manager of the Belbases in East Africa.
1687811819090.png

Source : Belbases - Une page oubliée du colonialisme Belge en Afrique
 
WAKILI MWABUKUSI: Rais Samia atusikie, Mkataba wa Bandari haulindi uhai wa Nchi yetu

Katika mahojiano leo na wakili Mwabukusi anaangazia mambo zaidi kamati ya bunge, uwakilishi wa muswada wa mkataba bungeni na jinsi muda finyu waliopewa wabunge kuujadili ...
.

Wabunge Halima Mdee, Aida Kenani pamoja na Luhaga Mpina ambaye hakupata nafasi bungeni kuwakilisha hoja hivyo kuwakilisha maoni nje ya bunge kwa maandishi watambuliwe kwa kupewa maua yao hayo bila kumsahau dada yetu mpendwa wa taifa Mange Kimambi amesema wakili msomi Boniface Mwabukusi

Aliyevujisha mkataba ni mzalendo halisi na hii inatia moyo kuwa bado kuna Wazalendo wachache ndani ya serikali... na huyu atambuliwe wajibu wake mkubwa kulinda maslahi ya taifa

Serikali inawajibika kwetu umma yaani wananchi hivyo viongozi wote serikalini watambue mamlaka zote tulizowapa ni zili zilizotamkwa katika katiba kama hawawezi waache nyadhifa zao waende nyumbani ...

Advocacy tunayofanya ni kazi ya kuelimisha wananchi na ndiyo wajibu wetu kwani waziri Mbawara katika hadhira tofauti tofauti anasema mkataba huu ni makubaliano na akifika mbele ya viongozi wa dini n.k wanasema mkataba ...

Viongozi waache propaganda kwa kwenda sehemu mbalimbali Tanzania kupotosha wananchi kuwa marekebisho yatafanywa... hata wakienda mpaka kilele cha mlima Kilimanjaro haitasaidia kuzimisha kelele za wananchi ...

Linalotakiwa ni bunge hili hili lirudi haraka ili kwa kikao cha kingine liupitie tena maana ni hitajito la kikatiba wakati kunapotokea hali kama hii tunayoiona badala ya kujaribu kuutetea mkataba huu mbovu ...

Bunge halina uwezo wa kuita watu kuwahoji hata pale walipowatisha kwa kuwaita kina Paschal Mayalla, Dr. Reginald Mengi na wengine ni batili. Kwa bunge haliwezi kuwa prosecutor na mahakama

Kumtishia balozi Dr. Wilbrod Peter Slaa ambaye ni Whistle blower bona-fide kuwa aitwe bungeni ahojiwe kuhusu press conference zake za kuhusu sakata la DP World, hili ni kinyume cha katiba na batili maana bunge halina mamlaka hayo....

Hata mimi Boniface Mwabukusi nikiitwa Dodoma siwezi kutishwa na sitakwenda maana ni wito batili na haramu wala kukidhi sheria na katiba yetu kwa kuwa bunge halina mamlaka hayo

Mikataba ya kunyonya Mali ya asili yetu haikubaliki ni mikataba pekee ambayo ina manufaa kwa taifa na muwekezaji ndiyo tunayoiafiki siyo mkataba mbovu kama huu ...

Tunawashukuru wananchi kwa kupaza sauti katika suala hili ..... maana sasa Bunge halitaweza tena kututia vitanzi kama hivi vya DP World, Loliondo, Madini n.k bila wananchi kuhusishwa kimamilifu na siyo kuburuzwa ....

Kuna masharti yasiyo general policy ndani ya mkataba .... reciprocacy hakuna, huu mkataba una mlinda mwekezaji badala ya kumpa haki ya kudai fidia pale anapodhulumiwa...

High level consultation kwa kutumia katiba yetu Ibara ya 27.1 ya raia kuwa na haki ya kulinda Mali inafanyika na si muda mrefu waTanzania watapewa mrejesho na watafahamishwa

Ibara ya 28 ya katiba hairuhusu mtu yeyote kumilikishwa eneo lolote bali inaruhusiwa kutumika kwa shughuli hivyo mwekezaji hatakiwi kumilikishwa bali kuendesha shughuli za kibiashara ...

Bungeni kulikuwa na tukio na siyo mjadala maana hakuna mwanasheria mkuu hakuoneshwa siku hiyo na mwanasheria mkuu ana kiti chake maalum bungeni lakini hakuwepo na badala yake spika wa bunge kuliteka bunge kinyume na uendeshaji wa bunge huku akiwadhalilisha, kuwa harass wabunge Halima Mdee, Aida Kenani na kulibadilisha bunge kuwa kama darasa la chekechea / kindergarten la a,e,i,o,u huku dhihaka za kutunzana noti, miluzi, kugonga meza kiasi cha bunge kuwa eneo mithili ya ngoma ya mchiriku wakati jambo muhimu la eneo la nchi linamilikishwa kwa taifa lingine geni milele

Ya fuatayo yarekebishwe katika mkataba huu wa DP World katika yafuatayo : Sheria za nchi zizingatiwe masuala ya umilikaji ardhi, umilikaji wa bandari, uvunjwaji wa mikataba, tusikatazwe kutwaa eneo pale usalama wa taifa unapotishiwa tofauti na mkataba huu unavyotukataza kitu ambacho ni kinyume na katiba, spika aache kuligeuza bunge kuwa kikaragosi cha serikali, maandamano yaratibiwe maana katiba inaruhusu

Ushauri kwa Mh. Samia Hassan, ni kuwa mimi nina mashaka rais amepotoshwa maana hata wataalamu kama mwanasheria mkuu hakuonekana ndani ya televisheni siku ya tarehe 10 June 2023 jumamosi mjini Dodoma. Pia namshauri mchakato wa haraka ufanyike Serikali iurudishe mkataba huu tena bungeni na utaratibu wote utumike kikamilifu na uwazi mkubwa kusuka upya mkataba huu tata.

Freeman A. Mbowe ameeleweka na watu wenye uwezo wa kufikiri ila kuna watu wanataka kupotosha ujumbe mzuri aliowakilisha

Ni nchi mbili tu yaani Palestina kule mashariki ya kati na Tanganyika hapa Afrika Mashariki nchi zao zimepotezwa .....

Rais amwelekeze waziri aliyemkasimisha madaraka (Delegata potestas non potest delegari) kujiuzulu maana alimuamini waziri hakutumia imani hiyo vizuri lakini sasa amemuingiza katika matatizi makubwa na pia mkataba huu urejeshwe bungeni tena maana paka akifungiwa chumbani katika kona paka huyu huweza kujigeuza Simba... pia Spika Tulia Ackson ajiuzuli nafasi yake mara moja ya uspika kwa kushindwa kulipa bunge na wabunge nafasi ya kuishauri serikali kwa uwazi hilo linawezekana maana Job Ndugai alijiuzulu kufuatia utata ... na kadhia hii ya bandari ni moto kuliko ya Job Ndugai spika aliyepita ..

Wazee wa taifa wajitokeze haraka kumshauri rais kwa heshima kuwa kuwa wajisahihishe kuurejesha mkataba huu tena bungeni ....

Jamaa katoa nondo za maana big up brother
 
Mama naona kama ana kiburi,mbona kanyamaza kimya kama hayamuhusu vile, kwanini Mkuu wa nchi unanyamaza kimya kwenye suala nyeti kama hili na wakati kwenye nyaraka saini yake ipo?hii inamaanisha nini jamani!
Mzee Mkapa aliposhutumiwa na sera yake ya ubinafsishaji mashirika ya Umma na migodi,alitokeza kufafanua na Mzee Kikwete vilevile kwenye sakata la Richmond na IPTL Escrow Account alitoa ufafanuzi.
Kulikoni Rais Samia?
Kimbukeni ata sakata la mgomo Kariakoo,napo alikaa kimya kama hayupo na alimuhusu!
Muda wake unahesabika.
Ikiwa akafanikiwa kupenya 2025 hakuna rangi ataacha kuona.
Huyu rais atateseka sana na atajuta kuupokea urais.
Ataandamwa hadi mwisho
 
Hakika baada ya Kumsikia na Kusoma haya yaliyopo katika mada na maudhui ya Uzi huu... Imani yangu na Watanzania wenzangu imejengeka maradufu. Sina maneno ambayo naweza kutumia kuonyesha nilivyofarijika. Niwashukuru. Asanteni sana.

Tanzania Tunaweza.

Aluta Continua.

Amani iwafikie popote mlipo.
 
Mawakili wanajipanga kufungua pia kesi Mahakama ya Afrika ya Mashariki

Hoja nzito 11 zinazo ufanya mkataba huu wa IGA kukosa mashiko ya kuwa mkataba halali zafafanuliwa na wakili msomi .....

More info :

Jurisdiction EACJ / Mamlaka ya Mahakama ya Afrika ya Mashariki ni :

The Treaty gives access to the Court to the following:

  • A Partner State against another Partner State, an organ or institution of the Community which has failed to fulfill an obligation or has infringed a provision of the Treaty;
  • Legal or natural person seeking a determination on the legality of any Act, regulation, directive decision or action of a Partner State on the ground that it is or unlawful or infringes the Treaty;
  • Employees of the Community on disputes concerning the terms and conditions of their employment;
  • The Secretary General of the EAC may file a Reference, under the direction of the EAC Council of Ministers, against a Partner State that fails to fulfill Treaty;
  • Parties to commercial contracts may seek arbitration if their agreements have an arbitration clause giving the Court jurisdiction
  • The EAC Council of Ministers or a Partner State may request for an Advisory Opinion ; and
  • National Courts and Tribunals can seek an interpretation or application of the Treaty or on questions of the validity of the regulations, directives, decisions or actions of the Community
Source : Access to the Courts
 
30 June 2023
Mbeya, Tanzania

Mwabukusi - Tunaenda Mahakamani jumatatu tarehe 3 Julai 2023 Kujua Chuya Na Mchele Katika Mkataba wa DP World

Hili suala la bandari ni la Tanganyika, upande wa Zanzibar wana bandari zao wamezikodisha wenyewe lakini niweke msisitizo Tanzania haiwezi kugawa mali za Tanganyika wala Zanzibar. Bora Zanzibar mali zao ni ngumu Tanzania kuzimeza lakini za Tanganyika ni kama mali zake hazina mlinzi.

Mahakama zetu zitatuambia ukweli siyo hawa wanasiasa na viongozi wa kiserikali mara wanasema ni mkataba mara makubaliano mara ni IGA HGA

Mali na sovereignty ya Tanganyika inanunuliwa na ka kampuni ka Dubai cha DP World, hawa wageni watafanya maajabu gani ?

Tunakwenda mahakamani kudai hakuna exclusive rights, hakuna kupewa eneo la nchi, hakuna busara wala tuwe na imani na viongozi wasiokuwa na uchungu na identification ya nchi , watu waliohongwa tunakutakana nao Mahakamani hiyo ni njia ya kwanza lakini waelewe tuna njia ya pili ya Maandamano kulinda mali na nchi yetu

Siku ya jumatatu Tarehe 3 Julai 2023 kesi inaanza katika Mahakama Kuu kanda ya Mbeya ni kesi ya wazi hivyo wote mnakaribishwa na waTanzania waendelee kuunga mkono hii kesi ya watanganyika kwa kuendelea kutupa mawazo na kutuunga mkono kwa hali na mali.

Vyombo vya habari pia tunatarajiwa mtaweka kambi kusikiliza kesi hii ya wazi Mahakama Kuu mjini Mbeya ili muweze kuwafahamisha waTanganyika na waTanzania hoja zote wa sisi raia na zile za upande wa serikali ikijitetea ...
 
Huyu mwanasheria nimetokea kumuelewa sana.
 
Bandari ni roho ya uchumi wetu wananchi tusipo jipenda hatutapendwa kamwe mama Anna ntibaijuka nimemsikiriza kwa umakini mkataba uko na makosa sana Rais Samia anapotezwa na viherehere
 
KWA UFUPI
Katika mahojiano hayo na wakili Mwabukusi, anaangazia mambo kadhaa kuhusu kamati ya bunge, uwakilishi wa muswada wa mkataba bungeni, na muda finyu waliopewa wabunge kuujadili. Pia, anazungumzia kuhusu wabunge Halima Mdee, Aida Kenani, na Luhaga Mpina ambaye hakupata nafasi bungeni kuwakilisha hoja na kutaka wawakilishi hao watambuliwe kwa kupewa heshima yao. Vilevile, anasema kuwa waliyevujisha mkataba wanapaswa kutambuliwa kama wazalendo wa kweli na kwamba viongozi wote serikalini wanawajibika kwa umma.

Wakili Mwabukusi pia anasisitiza kuwa bunge linapaswa kufanya kazi yake kikamilifu na kutoa wito wa kufanyika kwa mjadala mpana kuhusu mkataba huo. Anaonyesha kutoridhishwa kwake na jinsi tukio lilivyosimamiwa bungeni na Spika na anapendekeza marekebisho katika mkataba wa DP World.

Anaendelea kuelezea kuwa mikataba ya kunyonya mali ya asili ya nchi haiwezi kukubalika, na kwamba ni muhimu kuhakikisha kuwa wananchi wanashirikishwa katika maamuzi yanayohusu maslahi ya taifa. Pia, anaelezea kuwa bunge halina mamlaka ya kuwaita na kuwahoji watu kama wanaofanya kazi ya prosecutor na mahakama.

Kuhusu suala la uwekezaji, wakili Mwabukusi anasisitiza umuhimu wa kulinda maslahi ya taifa na kufuata sheria za nchi katika mikataba ya uwekezaji. Anatoa wito kwa viongozi kufanya mabadiliko ili kuhakikisha kuwa mikataba inawanufaisha wananchi.

Katika ushauri kwa Rais Samia Hassan, wakili Mwabukusi anapendekeza kuwepo kwa uwazi na mchakato wa haraka wa kujadili mkataba wa DP World bungeni. Pia, anatoa wito kwa baadhi ya viongozi kujiuzulu na kuonesha kutokuridhika na jinsi mambo yalivyosimamiwa. Anasisitiza umuhimu wa kuishirikisha jamii katika maamuzi muhimu yanayohusu maslahi ya taifa.
 
Katika mahojiano hayo, wakili Mwabukusi alisisisitiza yafuatayo:

1. Uwakilishi:
Alitaka wabunge Halima Mdee, Aida Kenani, na Luhaga Mpina ambaye hakupata nafasi ya kuwakilisha hoja bungeni kutambuliwa kwa maoni yao nje ya bunge.
2. Uzalendo: Alisisitiza umuhimu wa uzalendo na kuwataka viongozi kulinda maslahi ya taifa.
3. Uelewa wa wananchi: Alisema advocacy ni wajibu wa kuwaelimisha wananchi kuhusu masuala muhimu na kuwataka viongozi kuacha propaganda na kuwahusisha wananchi katika maamuzi.
4. Mkataba wa DP World: Alisisitiza kuwa mkataba huo unahitaji marekebisho, kuzingatia sheria za nchi, umilikaji wa ardhi, uvunjwaji wa mikataba, na uhuru wa kutwaa eneo kwa usalama wa taifa.
5. Utaratibu wa Bunge: Alitaka bunge kurejea kikao kingine kwa mujibu wa katiba ili kujadili upya mkataba huo.
6. Uwazi na Mamlaka: Alisisitiza kuwa bunge halina mamlaka ya kuwaita watu kuwahoji na kutoa vitisho ni kinyume cha katiba.
7. Ushauri kwa Rais: Alimshauri Rais Samia Hassan kuchukua hatua za kuondoa viongozi ambao wameshindwa kutimiza wajibu wao vizuri, na kurejesha mkataba huo bungeni kwa mchakato ulio wazi na uwazi mkubwa.

Haya ni muhtasari wa mawazo muhimu yaliyotolewa na wakili Mwabukusi katika mahojiano hayo.
 
Wakati mwingine wanawake wanapopata uongozi hufikiri hawaheshimiwi, wanakosolewa au kubagazwa kwa sababu ya jinsi zao.

Na wengi wanaokuwa na mawazo hayo huharibu au kuumiza wengi kwa fikra hizi.

Raisi Samia mwanzo wa uongozi wako ulianza vizuri watanzania wakakupenda na wakawa na matumaini makubwa, ukaponya nafsi zao na wakawa na amani mioyoni na Imani kwako.

Uliruhusu mikutano ya kisiasa, ukaruhusu uhuru wa kutoa maoni, kwenye ajira kwa vijana ukajitahidi kufanya vyema, ukaona maridhiano ni ngao Yako, maslahi ya watumishi wako ukayajali na utawala wa sheria haki na usawa.

Watanzania tukamshukuru Mungu kwamba tumepona.

Lakini ghafla ukabadilika, ukakasirika na ukawa na kinyongo cha chinichini cha kuturudisha Misri.

Swala la bandari na DP world watanzania hawautaki mkataba na sio uwekezaji.

Wachungaji na maaskofu wametoa maoni kutoridhishwa na masharti ya mkataba serikali Yako imeziba masikio.

Wanasheria watoa maoni kutoridhishwa na masharti ya mkataba serikali Yako imeziba masikio.

Viongozi wa upinzani wametoa maoni kutoridhishwa na masharti ya mkataba serikali Yako imeziba masikio.

Asasi za kiraia zimetoa maoni kutoridhishwa na masharti ya mkataba serikali Yako imeziba masikio.

Wazee wetu wametoa maoni kutoridhishwa na masharti ya mkataba serikali Yako imeziba masikio.

Wananchi tunatoa maoni kutoridhishwa na masharti ya mkataba serikali Yako imeziba masikio. N.k n.k.

Je? Raisi Samia ni watanzania wapi unao waongoza?
Au ni Wana ccm wenzako wachache kabisa,
Au mawaziri wako,?
au wabunge 300+ ?
Au maRC na MaDC wako?
Au wakurugenzi wako?

Kumbuka hao wote hata ukikosea watakusifu tu. Tunaomba tusikilize wananchi wako mama Samia au mda wa kuambatana na sisi wananchi wako umekwisha?

Hivi raisi wetu umekumbwa na nini?
Hivi raisi wetu umepofushwa na nini?
Hivi raisi wetu hautusikilizi wananchi wako Tena?
Hivi raisi wetu DP world wamekuroga?

Hivi raisi wetu unataka kuturudisha kile kipindi cha hofu, vitisho, mateso na mauaji ya wasiokubaliana na serikali kwenye baadhi ya mambo?

Mama Samia hawakukosoi kwa sababu ya jinsi Yako mama wewe ni kiongozi mzuri na imara lkn kwa hili la bandari zetu SI uwekezaji Bali ni makubaliano au mkataba huu utatuumiza watanzania kwani ubaya uko wapi kurekebisha na kuboresha Yale yanayopigiwa kelele kama uwekezaji huu ni kwa maslahi ya taifa?

Mwisho watanzania wenzangu ni kwamba uongozi una mengi hebu tutoe hoja zetu za kupinga huu mkataba wa bandari wa ajabu kabisa huku tukimwombea raisi wetu hii SI Hali ya kawaida.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu nibariki na mm POA 2
 
Umeandika vyema na Kuna maswali mengi sana lkn ukweli raisi wetu amebadilika ghafla hataki ushauri, hataki kukosolewa, hataki kuelezwa ukweli, hataki kuwasikiliza wananchi ambao walimpa ushirikiano mkubwa Bali anajisikiliza yeye tuu.
Watanzania tuliombee taifa letu kwani tunaelekea tulikotoka miaka mitatu nyuma
 
WAKILI MWABUKUSI: Rais Samia atusikie, Mkataba wa Bandari haulindi uhai wa Nchi yetu

Katika mahojiano leo na wakili Mwabukusi anaangazia mambo zaidi kamati ya bunge, uwakilishi wa muswada wa mkataba bungeni na jinsi muda finyu waliopewa wabunge kuujadili ...
.

Wabunge Halima Mdee, Aida Kenani pamoja na Luhaga Mpina ambaye hakupata nafasi bungeni kuwakilisha hoja hivyo kuwakilisha maoni nje ya bunge kwa maandishi watambuliwe kwa kupewa maua yao hayo bila kumsahau dada yetu mpendwa wa taifa Mange Kimambi amesema wakili msomi Boniface Mwabukusi

Aliyevujisha mkataba ni mzalendo halisi na hii inatia moyo kuwa bado kuna Wazalendo wachache ndani ya serikali... na huyu atambuliwe wajibu wake mkubwa kulinda maslahi ya taifa

Serikali inawajibika kwetu umma yaani wananchi hivyo viongozi wote serikalini watambue mamlaka zote tulizowapa ni zili zilizotamkwa katika katiba kama hawawezi waache nyadhifa zao waende nyumbani ...

Advocacy tunayofanya ni kazi ya kuelimisha wananchi na ndiyo wajibu wetu kwani waziri Mbawara katika hadhira tofauti tofauti anasema mkataba huu ni makubaliano na akifika mbele ya viongozi wa dini n.k wanasema mkataba ...

Viongozi waache propaganda kwa kwenda sehemu mbalimbali Tanzania kupotosha wananchi kuwa marekebisho yatafanywa... hata wakienda mpaka kilele cha mlima Kilimanjaro haitasaidia kuzimisha kelele za wananchi ...

Linalotakiwa ni bunge hili hili lirudi haraka ili kwa kikao cha kingine liupitie tena maana ni hitajito la kikatiba wakati kunapotokea hali kama hii tunayoiona badala ya kujaribu kuutetea mkataba huu mbovu ...

Bunge halina uwezo wa kuita watu kuwahoji hata pale walipowatisha kwa kuwaita kina Paschal Mayalla, Dr. Reginald Mengi na wengine ni batili. Kwa bunge haliwezi kuwa prosecutor na mahakama

Kumtishia balozi Dr. Wilbrod Peter Slaa ambaye ni Whistle blower bona-fide kuwa aitwe bungeni ahojiwe kuhusu press conference zake za kuhusu sakata la DP World, hili ni kinyume cha katiba na batili maana bunge halina mamlaka hayo....

Hata mimi Boniface Mwabukusi nikiitwa Dodoma siwezi kutishwa na sitakwenda maana ni wito batili na haramu wala kukidhi sheria na katiba yetu kwa kuwa bunge halina mamlaka hayo

Mikataba ya kunyonya Mali ya asili yetu haikubaliki ni mikataba pekee ambayo ina manufaa kwa taifa na muwekezaji ndiyo tunayoiafiki siyo mkataba mbovu kama huu ...

Tunawashukuru wananchi kwa kupaza sauti katika suala hili ..... maana sasa Bunge halitaweza tena kututia vitanzi kama hivi vya DP World, Loliondo, Madini n.k bila wananchi kuhusishwa kimamilifu na siyo kuburuzwa ....

Kuna masharti yasiyo general policy ndani ya mkataba .... reciprocacy hakuna, huu mkataba una mlinda mwekezaji badala ya kumpa haki ya kudai fidia pale anapodhulumiwa...

High level consultation kwa kutumia katiba yetu Ibara ya 27.1 ya raia kuwa na haki ya kulinda Mali inafanyika na si muda mrefu waTanzania watapewa mrejesho na watafahamishwa

Ibara ya 28 ya katiba hairuhusu mtu yeyote kumilikishwa eneo lolote bali inaruhusiwa kutumika kwa shughuli hivyo mwekezaji hatakiwi kumilikishwa bali kuendesha shughuli za kibiashara ...

Bungeni kulikuwa na tukio na siyo mjadala maana hakuna mwanasheria mkuu hakuoneshwa siku hiyo na mwanasheria mkuu ana kiti chake maalum bungeni lakini hakuwepo na badala yake spika wa bunge kuliteka bunge kinyume na uendeshaji wa bunge huku akiwadhalilisha, kuwa harass wabunge Halima Mdee, Aida Kenani na kulibadilisha bunge kuwa kama darasa la chekechea / kindergarten la a,e,i,o,u huku dhihaka za kutunzana noti, miluzi, kugonga meza kiasi cha bunge kuwa eneo mithili ya ngoma ya mchiriku wakati jambo muhimu la eneo la nchi linamilikishwa kwa taifa lingine geni milele

Ya fuatayo yarekebishwe katika mkataba huu wa DP World katika yafuatayo : Sheria za nchi zizingatiwe masuala ya umilikaji ardhi, umilikaji wa bandari, uvunjwaji wa mikataba, tusikatazwe kutwaa eneo pale usalama wa taifa unapotishiwa tofauti na mkataba huu unavyotukataza kitu ambacho ni kinyume na katiba, spika aache kuligeuza bunge kuwa kikaragosi cha serikali, maandamano yaratibiwe maana katiba inaruhusu

Ushauri kwa Mh. Samia Hassan, ni kuwa mimi nina mashaka rais amepotoshwa maana hata wataalamu kama mwanasheria mkuu hakuonekana ndani ya televisheni siku ya tarehe 10 June 2023 jumamosi mjini Dodoma. Pia namshauri mchakato wa haraka ufanyike Serikali iurudishe mkataba huu tena bungeni na utaratibu wote utumike kikamilifu na uwazi mkubwa kusuka upya mkataba huu tata.

Freeman A. Mbowe ameeleweka na watu wenye uwezo wa kufikiri ila kuna watu wanataka kupotosha ujumbe mzuri aliowakilisha

Ni nchi mbili tu yaani Palestina kule mashariki ya kati na Tanganyika hapa Afrika Mashariki nchi zao zimepotezwa .....

Rais amwelekeze waziri aliyemkasimisha madaraka (Delegata potestas non potest delegari) kujiuzulu maana alimuamini waziri hakutumia imani hiyo vizuri lakini sasa amemuingiza katika matatizi makubwa na pia mkataba huu urejeshwe bungeni tena maana paka akifungiwa chumbani katika kona paka huyu huweza kujigeuza Simba... pia Spika Tulia Ackson ajiuzuli nafasi yake mara moja ya uspika kwa kushindwa kulipa bunge na wabunge nafasi ya kuishauri serikali kwa uwazi hilo linawezekana maana Job Ndugai alijiuzulu kufuatia utata ... na kadhia hii ya bandari ni moto kuliko ya Job Ndugai spika aliyepita ..

Wazee wa taifa wajitokeze haraka kumshauri rais kwa heshima kuwa kuwa wajisahihishe kuurejesha mkataba huu tena bungeni ....
Sawa
 
Back
Top Bottom