Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAKILI MWABUKUSI: Rais Samia atusikie, Mkataba wa Bandari haulindi uhai wa Nchi yetu
Katika mahojiano leo na wakili Mwabukusi anaangazia mambo zaidi kamati ya bunge, uwakilishi wa muswada wa mkataba bungeni na jinsi muda finyu waliopewa wabunge kuujadili ...
.
Wabunge Halima Mdee, Aida Kenani pamoja na Luhaga Mpina ambaye hakupata nafasi bungeni kuwakilisha hoja hivyo kuwakilisha maoni nje ya bunge kwa maandishi watambuliwe kwa kupewa maua yao hayo bila kumsahau dada yetu mpendwa wa taifa Mange Kimambi amesema wakili msomi Boniface Mwabukusi
Aliyevujisha mkataba ni mzalendo halisi na hii inatia moyo kuwa bado kuna Wazalendo wachache ndani ya serikali... na huyu atambuliwe wajibu wake mkubwa kulinda maslahi ya taifa
Serikali inawajibika kwetu umma yaani wananchi hivyo viongozi wote serikalini watambue mamlaka zote tulizowapa ni zili zilizotamkwa katika katiba kama hawawezi waache nyadhifa zao waende nyumbani ...
Advocacy tunayofanya ni kazi ya kuelimisha wananchi na ndiyo wajibu wetu kwani waziri Mbawara katika hadhira tofauti tofauti anasema mkataba huu ni makubaliano na akifika mbele ya viongozi wa dini n.k wanasema mkataba ...
Viongozi waache propaganda kwa kwenda sehemu mbalimbali Tanzania kupotosha wananchi kuwa marekebisho yatafanywa... hata wakienda mpaka kilele cha mlima Kilimanjaro haitasaidia kuzimisha kelele za wananchi ...
Linalotakiwa ni bunge hili hili lirudi haraka ili kwa kikao cha kingine liupitie tena maana ni hitajito la kikatiba wakati kunapotokea hali kama hii tunayoiona badala ya kujaribu kuutetea mkataba huu mbovu ...
Bunge halina uwezo wa kuita watu kuwahoji hata pale walipowatisha kwa kuwaita kina Paschal Mayalla, Dr. Reginald Mengi na wengine ni batili. Kwa bunge haliwezi kuwa prosecutor na mahakama
Kumtishia balozi Dr. Wilbrod Peter Slaa ambaye ni Whistle blower bona-fide kuwa aitwe bungeni ahojiwe kuhusu press conference zake za kuhusu sakata la DP World, hili ni kinyume cha katiba na batili maana bunge halina mamlaka hayo....
Hata mimi Boniface Mwabukusi nikiitwa Dodoma siwezi kutishwa na sitakwenda maana ni wito batili na haramu wala kukidhi sheria na katiba yetu kwa kuwa bunge halina mamlaka hayo
Mikataba ya kunyonya Mali ya asili yetu haikubaliki ni mikataba pekee ambayo ina manufaa kwa taifa na muwekezaji ndiyo tunayoiafiki siyo mkataba mbovu kama huu ...
Tunawashukuru wananchi kwa kupaza sauti katika suala hili ..... maana sasa Bunge halitaweza tena kututia vitanzi kama hivi vya DP World, Loliondo, Madini n.k bila wananchi kuhusishwa kimamilifu na siyo kuburuzwa ....
Kuna masharti yasiyo general policy ndani ya mkataba .... reciprocacy hakuna, huu mkataba una mlinda mwekezaji badala ya kumpa haki ya kudai fidia pale anapodhulumiwa...
High level consultation kwa kutumia katiba yetu Ibara ya 27.1 ya raia kuwa na haki ya kulinda Mali inafanyika na si muda mrefu waTanzania watapewa mrejesho na watafahamishwa
Ibara ya 28 ya katiba hairuhusu mtu yeyote kumilikishwa eneo lolote bali inaruhusiwa kutumika kwa shughuli hivyo mwekezaji hatakiwi kumilikishwa bali kuendesha shughuli za kibiashara ...
Bungeni kulikuwa na tukio na siyo mjadala maana hakuna mwanasheria mkuu hakuoneshwa siku hiyo na mwanasheria mkuu ana kiti chake maalum bungeni lakini hakuwepo na badala yake spika wa bunge kuliteka bunge kinyume na uendeshaji wa bunge huku akiwadhalilisha, kuwa harass wabunge Halima Mdee, Aida Kenani na kulibadilisha bunge kuwa kama darasa la chekechea / kindergarten la a,e,i,o,u huku dhihaka za kutunzana noti, miluzi, kugonga meza kiasi cha bunge kuwa eneo mithili ya ngoma ya mchiriku wakati jambo muhimu la eneo la nchi linamilikishwa kwa taifa lingine geni milele
Ya fuatayo yarekebishwe katika mkataba huu wa DP World katika yafuatayo : Sheria za nchi zizingatiwe masuala ya umilikaji ardhi, umilikaji wa bandari, uvunjwaji wa mikataba, tusikatazwe kutwaa eneo pale usalama wa taifa unapotishiwa tofauti na mkataba huu unavyotukataza kitu ambacho ni kinyume na katiba, spika aache kuligeuza bunge kuwa kikaragosi cha serikali, maandamano yaratibiwe maana katiba inaruhusu
Ushauri kwa Mh. Samia Hassan, ni kuwa mimi nina mashaka rais amepotoshwa maana hata wataalamu kama mwanasheria mkuu hakuonekana ndani ya televisheni siku ya tarehe 10 June 2023 jumamosi mjini Dodoma. Pia namshauri mchakato wa haraka ufanyike Serikali iurudishe mkataba huu tena bungeni na utaratibu wote utumike kikamilifu na uwazi mkubwa kusuka upya mkataba huu tata.
Freeman A. Mbowe ameeleweka na watu wenye uwezo wa kufikiri ila kuna watu wanataka kupotosha ujumbe mzuri aliowakilisha
Ni nchi mbili tu yaani Palestina kule mashariki ya kati na Tanganyika hapa Afrika Mashariki nchi zao zimepotezwa .....
Rais amwelekeze waziri aliyemkasimisha madaraka (Delegata potestas non potest delegari) kujiuzulu maana alimuamini waziri hakutumia imani hiyo vizuri lakini sasa amemuingiza katika matatizi makubwa na pia mkataba huu urejeshwe bungeni tena maana paka akifungiwa chumbani katika kona paka huyu huweza kujigeuza Simba... pia Spika Tulia Ackson ajiuzuli nafasi yake mara moja ya uspika kwa kushindwa kulipa bunge na wabunge nafasi ya kuishauri serikali kwa uwazi hilo linawezekana maana Job Ndugai alijiuzulu kufuatia utata ... na kadhia hii ya bandari ni moto kuliko ya Job Ndugai spika aliyepita ..
Wazee wa taifa wajitokeze haraka kumshauri rais kwa heshima kuwa kuwa wajisahihishe kuurejesha mkataba huu tena bungeni ....
Wanazuoni wasomi wahadhari wa Chuo Kikuu UDSM wajitosa

Muda wake unahesabika.Mama naona kama ana kiburi,mbona kanyamaza kimya kama hayamuhusu vile, kwanini Mkuu wa nchi unanyamaza kimya kwenye suala nyeti kama hili na wakati kwenye nyaraka saini yake ipo?hii inamaanisha nini jamani!
Mzee Mkapa aliposhutumiwa na sera yake ya ubinafsishaji mashirika ya Umma na migodi,alitokeza kufafanua na Mzee Kikwete vilevile kwenye sakata la Richmond na IPTL Escrow Account alitoa ufafanuzi.
Kulikoni Rais Samia?
Kimbukeni ata sakata la mgomo Kariakoo,napo alikaa kimya kama hayupo na alimuhusu!
Huyu mwanasheria nimetokea kumuelewa sana.30 June 2023
Mbeya, Tanzania
Mwabukusi - Tunaenda Mahakamani jumatatu tarehe 3 Julai 2023 Kujua Chuya Na Mchele Katika Mkataba wa DP World
Hili suala la bandari ni la Tanganyika, upande wa Zanzibar wana bandari zao wamezikodisha wenyewe lakini niweke msisitizo Tanzania haiwezi kugawa mali za Tanganyika wala Zanzibar. Bora Zanzibar mali zao ni ngumu Tanzania kuzimeza lakini za Tanganyika ni kama mali zake hazina mlinzi.
Mahakama zetu zitatuambia ukweli siyo hawa wanasiasa na viongozi wa kiserikali mara wanasema ni mkataba mara makubaliano mara ni IGA HGA
Mali na sovereignty ya Tanganyika inanunuliwa na ka kampuni ka Dubai cha DP World, hawa wageni watafanya maajabu gani ?
Tunakwenda mahakamani kudai hakuna exclusive rights, hakuna kupewa eneo la nchi, hakuna busara wala tuwe na imani na viongozi wasiokuwa na uchungu na identification ya nchi , watu waliohongwa tunakutakana nao Mahakamani hiyo ni njia ya kwanza lakini waelewe tuna njia ya pili ya Maandamano kulinda mali na nchi yetu
Siku ya jumatatu Tarehe 3 Julai 2023 kesi inaanza katika Mahakama Kuu kanda ya Mbeya ni kesi ya wazi hivyo wote mnakaribishwa na waTanzania waendelee kuunga mkono hii kesi ya watanganyika kwa kuendelea kutupa mawazo na kutuunga mkono kwa hali na mali.
Vyombo vya habari pia tunatarajiwa mtaweka kambi kusikiliza kesi hii ya wazi Mahakama Kuu mjini Mbeya ili muweze kuwafahamisha waTanganyika na waTanzania hoja zote wa sisi raia na zile za upande wa serikali ikijitetea ...
Umeandika vyema na Kuna maswali mengi sana lkn ukweli raisi wetu amebadilika ghafla hataki ushauri, hataki kukosolewa, hataki kuelezwa ukweli, hataki kuwasikiliza wananchi ambao walimpa ushirikiano mkubwa Bali anajisikiliza yeye tuu.Wakati mwingine wanawake wanapopata uongozi hufikiri hawaheshimiwi, wanakosolewa au kubagazwa kwa sababu ya jinsi zao.
Na wengi wanaokuwa na mawazo hayo huharibu au kuumiza wengi kwa fikra hizi.
Raisi Samia mwanzo wa uongozi wako ulianza vizuri watanzania wakakupenda na wakawa na matumaini makubwa, ukaponya nafsi zao na wakawa na amani mioyoni na Imani kwako.
Uliruhusu mikutano ya kisiasa, ukaruhusu uhuru wa kutoa maoni, kwenye ajira kwa vijana ukajitahidi kufanya vyema, ukaona maridhiano ni ngao Yako, maslahi ya watumishi wako ukayajali na utawala wa sheria haki na usawa.
Watanzania tukamshukuru Mungu kwamba tumepona.
Lakini ghafla ukabadilika, ukakasirika na ukawa na kinyongo cha chinichini cha kuturudisha Misri.
Swala la bandari na DP world watanzania hawautaki mkataba na sio uwekezaji.
Wachungaji na maaskofu wametoa maoni kutoridhishwa na masharti ya mkataba serikali Yako imeziba masikio.
Wanasheria watoa maoni kutoridhishwa na masharti ya mkataba serikali Yako imeziba masikio.
Viongozi wa upinzani wametoa maoni kutoridhishwa na masharti ya mkataba serikali Yako imeziba masikio.
Asasi za kiraia zimetoa maoni kutoridhishwa na masharti ya mkataba serikali Yako imeziba masikio.
Wazee wetu wametoa maoni kutoridhishwa na masharti ya mkataba serikali Yako imeziba masikio.
Wananchi tunatoa maoni kutoridhishwa na masharti ya mkataba serikali Yako imeziba masikio. N.k n.k.
Je? Raisi Samia ni watanzania wapi unao waongoza?
Au ni Wana ccm wenzako wachache kabisa,
Au mawaziri wako,?
au wabunge 300+ ?
Au maRC na MaDC wako?
Au wakurugenzi wako?
Kumbuka hao wote hata ukikosea watakusifu tu. Tunaomba tusikilize wananchi wako mama Samia au mda wa kuambatana na sisi wananchi wako umekwisha?
Hivi raisi wetu umekumbwa na nini?
Hivi raisi wetu umepofushwa na nini?
Hivi raisi wetu hautusikilizi wananchi wako Tena?
Hivi raisi wetu DP world wamekuroga?
Hivi raisi wetu unataka kuturudisha kile kipindi cha hofu, vitisho, mateso na mauaji ya wasiokubaliana na serikali kwenye baadhi ya mambo?
Mama Samia hawakukosoi kwa sababu ya jinsi Yako mama wewe ni kiongozi mzuri na imara lkn kwa hili la bandari zetu SI uwekezaji Bali ni makubaliano au mkataba huu utatuumiza watanzania kwani ubaya uko wapi kurekebisha na kuboresha Yale yanayopigiwa kelele kama uwekezaji huu ni kwa maslahi ya taifa?
Mwisho watanzania wenzangu ni kwamba uongozi una mengi hebu tutoe hoja zetu za kupinga huu mkataba wa bandari wa ajabu kabisa huku tukimwombea raisi wetu hii SI Hali ya kawaida.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu nibariki na mm POA 2
SawaWAKILI MWABUKUSI: Rais Samia atusikie, Mkataba wa Bandari haulindi uhai wa Nchi yetu