Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

Wananchi wapi hao
We ukiambiwa uandamane kuhusu bandari uko tayari au utakua nyuma ya keyboard
 
Huu ndio ukweli anaepinga ni mchawi.
Wananchi wanataka mabadiliko ila vyama vyote vimejaa matapeli ikiwamo CHADEMA.
Wananchi tumetelekezwa!
Ogopa wanasiasa na siasa zao
 
Kazi ya upinzani ni kuongoza wafuasi wake kupinga dhuruma yyt toka kwa watawala. Unataka kusema Mbowe hana wafuasi wa kuwaongoza kwenye maandamano ya kupinga ujinga wa mgao?
Wapi moshi na Arusha tu
 
Mimi ndio maana niliamua kubaki na CCM yangu
Ccm iliyoifikisha tanzania hapa alafu upinzani unawapa chadema nchi hii kuna vilaza wengi sana
Sasa ccm inaunafuu gani safari hii wapo bungeni wote wanamsaada gani kwa mwananchi wa kawaida
 
CHADEMA bora waliamua kukaa mbali na hawa vichaa... inawezekana wanatumwa.... wanahamasisha maandamano yenye sura ya uhaini ili msajili apate uhalali wa kuifuta CHADEMA!

Huyo kichaa Mwabukusi asijione ana akili kupita CHADEMA ataangamia ataiacha CHADEMA!
 
Huu ndio ukweli anaepinga ni mchawi.
Wananchi wanataka mabadiliko ila vyama vyote vimejaa matapeli ikiwamo CHADEMA.
Wananchi tumetelekezwa!
Ogopa wanasiasa na siasa zao
Kwa ccm walioko bungeni wote hawana kosa bali wapinzan ndo wanamakosa
Ila wewe ni mjinga kupita maelezo
 
Halafu kesho anakuja kwenye media kutoa wito kwa vyama vya siasa, vyama vya kiraia taasisi za dini na wananchi kujitokeza kwenye eti Maandamano..... thubutu......

Watajikuta ni Mwambukusi, dr slaa na mzee wa kukamatwa na taksi force nyagali na wake zao. ..
 
Alafu utaanzishaje maandamano huku wananchi wakiwa mafisi
 
Tatizo lipo kwa wananchi na sio vyama vya siasa
Watanzania ni makondoo sana
 
Wanasiasa wote iwe wa upinzani au mataga wote wanawaza matumbo yao kwanza wengine baadae.
 
Wafuasi wa Mbowe hawataki kukubali huu ukweli. Kwasasa Tanzania Hakuna upinzani, tuna magenge ya utapeli.
Nyie mnafanya nini zaidi ya uzinzi na ulevi tu? Meowed kakaa ndani miezi 8 huku wewe ukikesha na Malaya wa Buguruni na Kvant unataka wafanye nini zaidi? Shwaini!
 
Wafuasi wa Mbowe hawataki kukubali huu ukweli. Kwasasa Tanzania Hakuna upinzani, tuna magenge ya utapeli.
Una hoja....japo sio sahihi Sana.

Upinzani upo Ila umekandamizwa na dola.
 

Walipo wa namma hii, typo!
 
kwa bahati mbaya, huu ndio ukweli mchungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…