Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #81
NCCR chini ya SelasiniNi NCCR Mkuu - Hana chama kivipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NCCR chini ya SelasiniNi NCCR Mkuu - Hana chama kivipi?
Mimi ndio maana niliamua kubaki na CCM yanguYaani kasema ukweli kabisa.
Ni mchagga nae huyu kule kwingine yupa mzee MboweNCCR chini ya Selasini
Wananchi wapi haoMkuu Chadema ni Genge la matapeli. Na uelewe mimi sio CCM.Saizi Chadema ni tawi kificho la CCM ndio maana huwezi kuta wako na wananchi kupambana juu ya udharimu wa CCM.Mbowe na genge lake wamefeli, bora kije chama kingine cha upinzani. Haiwezekani Nchi yenye upinzani imara tukawa tunalala giza huku utawala unakuja na hoja za kipuuz.
Wapi moshi na Arusha tuKazi ya upinzani ni kuongoza wafuasi wake kupinga dhuruma yyt toka kwa watawala. Unataka kusema Mbowe hana wafuasi wa kuwaongoza kwenye maandamano ya kupinga ujinga wa mgao?
Ccm iliyoifikisha tanzania hapa alafu upinzani unawapa chadema nchi hii kuna vilaza wengi sanaMimi ndio maana niliamua kubaki na CCM yangu
CHADEMA bora waliamua kukaa mbali na hawa vichaa... inawezekana wanatumwa.... wanahamasisha maandamano yenye sura ya uhaini ili msajili apate uhalali wa kuifuta CHADEMA!"Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani. Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.” – Wakili Boniphace Mwabukusi
Chanzo: Swahili Times
Kwa ccm walioko bungeni wote hawana kosa bali wapinzan ndo wanamakosaHuu ndio ukweli anaepinga ni mchawi.
Wananchi wanataka mabadiliko ila vyama vyote vimejaa matapeli ikiwamo CHADEMA.
Wananchi tumetelekezwa!
Ogopa wanasiasa na siasa zao
Alafu utaanzishaje maandamano huku wananchi wakiwa mafisiCHADEMA bora waliamua kukaa mbali na hawa vichaa... inawezekana wanatumwa.... wanahamasisha maandamano yenye sura ya uhaini ili nsajili apate uhalali wa kuifuta CHADEMA!
Huyo kichaa Mwabukusi asijione ana akili kupita CHADEMA ataangamia ataiacha CHADEMA!
Tatizo lipo kwa wananchi na sio vyama vya siasaHalafu kesho anakuja kwenye media kutoa wito kwa vyama vya siasa, vyama vya kiraia taasisi za dini na wananchi kujitokeza kwenye eti Maandamano..... thubutu......
Watajikuta ni Mwambukusi, dr slaa na mzee wa kukamatwa na taksi force nyagali na wake zao. ..
sasa subiri hayo makondoo kama yatamsikiliza huyo Mwambukusi.Tatizo lipo kwa wananchi na sio vyama vya siasa
Watanzania ni makondoo sana
Nyie mnafanya nini zaidi ya uzinzi na ulevi tu? Meowed kakaa ndani miezi 8 huku wewe ukikesha na Malaya wa Buguruni na Kvant unataka wafanye nini zaidi? Shwaini!Wafuasi wa Mbowe hawataki kukubali huu ukweli. Kwasasa Tanzania Hakuna upinzani, tuna magenge ya utapeli.
Una hoja....japo sio sahihi Sana.Wafuasi wa Mbowe hawataki kukubali huu ukweli. Kwasasa Tanzania Hakuna upinzani, tuna magenge ya utapeli.
"Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani. Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.” – Wakili Boniphace Mwabukusi
Chanzo: Swahili Times
kwa bahati mbaya, huu ndio ukweli mchungu."Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani. Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.” – Wakili Boniphace Mwabukusi
Chanzo: Swahili Times