Wakili Peter Madeleka akamatwa na polisi baada ya Mahakama Kuu kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP

wazanzibar wanashirkikiana kuuza mali za Tangayika, hili tumewagomea - yes wakauze za kwao. afu na nyie wapemba mmezagaa tanganyika raha mustarehe, sasa tunasemajeeee - mjiandae mkabananiane huko kwenu. πŸ˜€πŸ˜€
Mkuu unataka "kuwafukuza" watanzania wenzako kutoka Pemba na kuwaanzishia "ambush" kisa DP WORLD ?!!

Mh.Rais SSH ni mtanzania kutoka "kusini" kunaitwa Kizimkazi Makunduchi [emoji1787]

Unapotaka kujenga hoja uijue kwanza historia....vinginevyo inakuwa "sarcasm" [emoji1787]

Tanganyika dola halikufutwa na wapemba bali baba wa taifa hayati JKN kwa malengo mapana na makubwa mno juu ya ustawi wetu watanzania....

Resty easy El Commandante JKN ,amen[emoji120]
 
Enheee hizi ndizo akili za uchangiaji....si kujiropokea tu[emoji1787]

Kudos [emoji120]
 
Kuna watu hawajui historia ya hii nchi kabisaa

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Utadakwa tu, Samia alikuwa anawatendea wema mkamchukulia poa
Kwa kuwa nchi ni yake na anajitwika umungu kwenye hatma ya maisha yetu?

Mungu alitemuumba yeye hatomuacha atese wanadamu wenzake. Hakuna atakayeishi milele. Damu itamlilia hadi atakaposhuka kuzimu
 
ni sawa, tumeungana lakini kila nchi iheshimu mali za mwenzake, kwa mfano wapemba wao wananunua mashamba huku kwetu bila zuio lolote lakini sisi kule kwao kupata hati ya kumiliki kipande cha ardhi haipo, sasa huo ndo muungano gani bwa sheikh.

Basi sawa mengi tuyaache cha msingi huyo mwarabu DP World hatumtaki ndani ya Tanganyika yetu.
 
Hakuna mahakama Tz
Mahakama ni kichaka cha kutesa watu lakini ipo siku walio ndani watakuwa nje na walio nje watakuwa ndani.
 
Kwa kukufahamisha tu uboreshwaji wa bandari upo kwenye ilani ya chama tawala. Maswala ya uzanzibari na propaganda za mkabila Mbowe yamegonga mwamba πŸ™‚
 
Katika kuhakikisha bandari zetu zisiharibiwe Kwa vizazi vijavyo,

We have a price to pay.

Hatutakubali.
 
Ngoja watanzania wazalendo wataingia barabarani kuandamana kwa ajili yake ili aachiwe asijali.
 
Nyie ni wajinga sana hapa nchini.
 
Hili nalo ni neno
 
CCM ni hatari sn kwa uovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…