technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Mkizidiwa hoja mnakimbiliaga vitisho. Ndo mana Marekani kaamua kuwashughulikia safari hii.Acha uchochezi ,usije kusema umetekwa .
View attachment 3514318
Nan akutishe wewe maskini?Mkizidiwa hoja mnakimbiliaga vitisho. Ndo mana Marekani kaamua kuwashughulikia safari hii.
Kwani MAREKANI Nani? Nani Kakwambia MAREKANI kupo sawa? Ttrump MAREKANI anafanya anavyojisikia, fatiliq khabari ا utajuaaaUkiona mpaka Marekani wamesema ujue kuna mengi yanaendelea nyuma ya pazia hatuyafahamu.
Kwani kufa lazima uumwe?Nimekuuliza masheikh hawakumsema Nchimbi wewe unauliza masheikh wamemuua nani? Una akili kweli wewe?
Ushabiki maandazi ni upi?
Jibu hapa masheikh hawakumsema Emmanuel Nchimbi na kumuhusisha na TEC? Nani aliwatuma? Kwa nini tangu waseme hawajachukuliwa hatua?
Jenista Muhagama alikuwa wapi? Kaumwa nini na lini?
Matako ww unamhusisha vp JPM na upuuzi anaoufanya kahaba wenu ?Wameshindwa kuingia mtaani tarehe 9 Desemba wanaamua kueneza chuki za kidini ili wakuze hasira ya watu, ujinga ule ule aliokuwa akiufanya Kigogo wakati wa awamu ya JPM.
Mkuu, bibi zetu watakuwepoHuko ccm lolote baya liwakute wauaane wote hadi zile ng’ombe zilikua zinabebwa kwenye malor.
Yupo naibu wakeMhagama kamalizwa Kuuficha ushahidi ICC kwa kuwa alikuwa Waziri wa Afya mpaka Ile siku ya MO29
Wamemshughulikia. Huyu alikuwa mtu wa karibu sana wa Nchimbimhagama kapata mstuko baada ya kusikia taarifa za nchimbi.....
Kufa sio lazima uumwe ila ukiuliwa lazima ufe.Kwani kufa lazima uumwe?
Kumbe wewe ni mjinga sana,
KIFO kina sababu na pia hakunasababu
Unaweza kufa tuuu
Wewe mtu wa ainagani
samia ni zaidi ya shetaniSamuya Ni takataka mdini namba moja nchi hii
Kasema tec wametoa matamko 8 toka aingie madarakani
Lakini ameshindwa kutuambia Shekh ponda katoa matamko mangapi kupitia taasisi yake kupinga uhuni wa Samia toka 2021?
Na matamko ya tec yote hoja za Bandari, Loliondo, ufisadi, utekaji, mauaji, utesaji wa watu na kuwafira je hizi hoja ndio kumchukia Samia?
Hayo hayo akiyasema Ponda sio udini Ila wakiyasema tec Ni udini?
Aliyetumwa kumsema makamo wa Rais Ni Nani na alitumwa na Nani mpaka sasa hajakamatwa?
Wale waliosema watachinja waandamanaji mbona hawajakamatwa mpaka sasa au waandamanaji sio Watanzania?
Kiongozi wa kitaifa hatakiwi hata kidogo kuzungumzia dini za watu kwa ubaya maana serikali ya TANZANIA haina dini!!
Mwisho wa samuya utakuwa mbaya Sana Sana nawaambia
Kikwete na Samia mnanuka damu za watu Mlianza kumuua Nyerere, Mkapa, Magufuli, Seif Sharif, Mfugale, kijazi, Mahinga, Ndungai, Mdude, Kibao, soka na Sasa Mhagama na bado mmeua maelfu ya Watanzania.
Mtalipa pakubwa Sana;! Kueneza udini hakutawaisaidia na kila mtu hawezi kuwa kibaraka wenu mbwa nyie.!
Mjinga wewe usiyeweza kuelewa sentensi nyepesi yenye hoja inayoeleweka.Matako ww unamhusisha vp JPM na upuuzi anaoufanya kahaba wenu ?
Mkuu unajua TANGANYIKA nitofauti na Zanzibar? Kule Zanzibar hakuna muingiliano wa jamii nyigine kwa miaka mingi waneishi wao kama wao yani hata polisi wakiajiliwa Kule Moshi baada ya kumaliza mafunzo Wazanzibar wanarudishwa kwao Kufanya kazi, wao walivyo na akili fixtures wanajua Watanganyika wote ni Wakristo na wanao Mke mmoja na mkristo ukienda Zanzibar na ukianza kusikiliza nyimbo za Dini za Rose muhando wana chukia lakini ukisikiliza Nyimbo za Daimond hawachukii, na Ukitaka kujenga kanisa wanapinga kwa Nguvu zote lakini ukijenga bar upinza unakua mdogo, kule Zanzibar mtoto anazaliwa mpaka anakua mkubwa hajawahi kuishi na rafiki Dini tofauti na yeye yani hata majirani ni Dini Moja, Muislam wa Tanganyika na Zanzibar ni tofuti, kipindi cha Ramadhani kama hujafunga jioni hawakupi chakula halafu wagumu kutoa chakula na hata kipindi cha sikukuu wakijua wewe mkristo haakupi chakula kwasababu hujafunga kipindi cha Ramadhani, Wazanzibar wachoyo wa chakula, kuna Rafiki yangu ni fundi alikua ana jenga Kizimkazi Nyumbani kwa Samuya ana sema hakuna chakula wakitaka kula wana jitegemea yani fundi unajenga Nyumbani kwa Raisi chakula hakuna, yani kule hata kwenye misiba hakuna chakula wala Daftari la michango.Hajazaliwa kwenye dini Sina uhakika kama anaijua dini sawa sawa na Sina hakika kama ana hofu ya mungu,Hilo shungi tu ameanza kuvaa baada ya kuwa kiongozi wa juu hata yeye amewahi kuthibitisha Hilo,kwa Hy kama ana madhaifu yake na dini nyingine huo ni utashi wake yeye sio uislam unavyoelekeza
MmhMpango, Majaliwa na Warioba wako kizuizini. Hii takataka toka Zanzibar itawamaliza watanganyika