Mkuu mm in mkristo ila hata makanisa ya kilokole ni kero we fikiria wanavyopiga mziki usiku kucha huoni kwamba ni kero. Mfano hapa napokaa kuna kanisa LA kilokole wanapiga mziki na maombi mpaka wanakesha wamekuwa kero
Inferiority complexKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Lakini la ajabu hayo majini yana tolewa kanisani tena mbele ya madhabahu na sio msikitini, na hapo ndipo mnapo onesha rangi zenuwewe unawezaje kuutenganisha uislamu na majini? wakati mnahubiri kuwa kuna majini wema na wabaya, na kuna namna ya kuwaita hao majini mkaishi nao
Majority wa ukanda huo, na pia haipo limited kwa hizo Shule Tu hadi mwika nimeona mapepo na mabinti kulala na kuamka wakiwa uwanjani. Matroni anaombea mapepo kila siku.Machame na Weruweru ni shule za serikali zinapokea watu wote
Hiyo stori ya kutunga, hamna mtu mwenye akili timamu anaweza kumuombea bosi wake njaaKinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.
Kuna schoolmate wangu muislamu alimaliza form four ana elimu ya madrasa nzuri tu karibu juzu 10, kwenye kampuni yake kaajiti wakuristo 8, wenye degree mbalimbali moja ni muhasibu ana CPA na waislamu wa 3, ila wale wa kuristo wanamsema vibaya wanatamani afe, ila kila ukicha mali zake zinaongezeka. Wamefanya ushirikina mpaka basi tu.......hao watu hawapendi wsislamu hata ufanye wame kiasi gani.
Hakuna mkoa hata mmoja wa waisilamu majority unasumbuliwa na utapiamlo, ila nyie the so called matajiri na wenye elimu mpaka leo tatizo dogo kama utapiamlo mnashindwa pambana nalo?Waisalma gani wana maendelao,hivi jamii ambayo ina watu ambao hawajasoma watakuwa na maendeleo gani zaidi ya umbea.
Walijilipua huko kibiti, mkuranga, walilipua kanisa Arusha, walimwagia padri tindikali huko Zanzibar, yani hivi vijamaa vikorofi sanaLini kuna aliejilipua tanzania ?
Waisilam ni jamii ngumu kuishi nayo lakini cha kushangaza mmejazana kwenye mikoa yao.Hao wanawaoneshea kile wamekibeba wakristo mnaoish nao, waislam ni jamii ngumu kuish nayo waislam ni kama mtoto wa mwisho , anajiona anastahili Kila kitu ila wengine hawastahili hata kdg , na ndio maana UKITAKA ish kama waislam bas mtauana tu , mawaidha ya Kiislam yamekaa kichochez sana
Asilimia 75 ya watu waliko kusini mwa jangwa la Sahara ni wakirsito lakini ndo sehemu masikini kuliko sehemu yeyote ulimwenguni.ukweli mchungu kwa hapa Tanzania uislamu ndio umewafelisha makabila ya mjini
kama wazaramo, wandengereko wasingekuwa waislamu leo hii wangekuwa hawashikiki kwa maendeleo.
ardhi yote ya dar es salaam ni mali ya babu zao. uhuru umepiganiwa mitaani kwao.
ila sababu uislamu uluwafanya wakomae na madrassa kukariri quran na kuachana na shule za formal education. wakaishia kuwa wajinga na kukosa fursa nyingi sana huku quran haijawapa fursa nyingi
Hao waisilam walisha kuulia ndugu yako yeyote ili kutimiza hayo maandiko yako?Mafundisho ya kisenge yanayochochea chuki mf kuua makafiri eti utapewa mabikra 72 na mito ya pombe
Cha kushangaza ndo wamiliki wakubwa wa sekta zote za kiuchumi kuanzia viwanda , makampuni makubwa, michezo alafu nyinyi mlio soma ndo vibarua wao kwenye viwanda vyao.Waisalma gani wana maendelao,hivi jamii ambayo ina watu ambao hawajasoma watakuwa na maendeleo gani zaidi ya umbea.
Tatizo huwa kuna kuchanganya kati ya majini na malaika waovu, ni vitu viwili tofauti. Sasa mtu ambaye anaamini malaika muovu ndio jini ukija ukamwambia kuna jini mwema hawezi kukuelewa.wewe unawezaje kuutenganisha uislamu na majini? wakati mnahubiri kuwa kuna majini wema na wabaya, na kuna namna ya kuwaita hao majini mkaishi nao
Kwahiyo unataka kusema wazaramo wamesoma sana elimu ya dini?ukweli mchungu kwa hapa Tanzania uislamu ndio umewafelisha makabila ya mjini
kama wazaramo, wandengereko wasingekuwa waislamu leo hii wangekuwa hawashikiki kwa maendeleo.
ardhi yote ya dar es salaam ni mali ya babu zao. uhuru umepiganiwa mitaani kwao.
ila sababu uislamu uluwafanya wakomae na madrassa kukariri quran na kuachana na shule za formal education. wakaishia kuwa wajinga na kukosa fursa nyingi sana huku quran haijawapa fursa nyingi
Mkuu sasa jini ulifuge ili iweje? Labda useme unatumia majini ila kufuga majini ni msemo ambao tunatumia ila sioni kama upo sahihi.Mnabisha Kwani uongo hamfugi majini?
Mapepo yapo kwa walokoleJamii zenye Waislamu wengi, wanafunzi, hasa wa kike, wanapigwa sana na pepo. Sababu ni nini, mkuu?
Mbona kuna somo la tafsiri ya Qur'an hadi waarabu hufundishwa somo hilo.Waislamu wengi wamekariri quran yote.
ila hawaelewi maana ya kiarabu kilichoandikwa kwenye quran
Ukweli mchunguWaislamu wengi wamekariri quran yote.
ila hawaelewi maana ya kiarabu kilichoandikwa kwenye quran
Mimi naona kwamba wakristo hawana elimu kuhusu hao viumbe majini, mengi wanayoyajua kuhusu majini ni yale ambayo yanaelezwa na waislamu. Sasa mkristo anachukua maelezo yenye kueleza sifa za viumbe majini anaenda kumpa sifa hizo wale malaika waovu hapo ndio lilipo tatizo.Uko sahihi ila kuhusu majini pia wako sahihi