Vipi mkuu,Heshima kwenu wakuu.
Naomba twende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Tuchukulie nina rafiki yangu amelala ndani kwangu then ikatokea bahati mbaya akafa akiwa usingizini, sheria inasemaje kuhusiana na hilo wakuu?
Naombeni muongozo tafadhali. Thanks.
Unakuwa mtuhumiwa, utakuwa na kazi sana ya kujieleza mpaka uelewekeHeshima kwenu wakuu.
Naomba twende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Tuchukulie nina rafiki yangu amelala ndani kwangu then ikatokea bahati mbaya akafa akiwa usingizini, sheria inasemaje kuhusiana na hilo wakuu?
Naombeni muongozo tafadhali. Thanks.
Kati ya ushauri mbaya ni huuChukua hiyo maiti ukaitupe mtoni kabla haijaanza kutoa harufu. Utakuja kunishukuru
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo rafiki wa ukweli huyo wa kufa na kuzikana, ...
Mbaya zaidi awe mume au mke wa mtu ambaye mnafahamiana sanaaaaaa aisee.
Hatarious...!
Unafungwa jela maisha hadi hapo itakapothibitika huna kosa.
Ndo rafiki wa ukweli huyo wa kufa na kuzikana, ...
Tunakuacha uteseke
Vyovyote itakavyokua, lazima uingie misukosuko. Vipimo vya kitaalam na ushahidi wa mazingira ya sababu za kifo ndio vitakunasua au kukupunguzia kadhia.
Utashikiliwa huku ukihojiwa kwa upelelezi ili ijulikane sababu ya kifo chake.
Kama unavyojua unaelewa polisi wetu wakati wa kumhoji mtuhumiwa 😄
Huyo rafiki yako tayari kafia ghetto kwako au umeamua tu kuulizia
Utatoa Ripoti kwa Viongozi wa Eneo Lako Then Wao Watakusaidia Kutoa Taarifa Polisi, watakuja kufanya upelelezi wao then Watampeleka Hospital Kufanyiwa Uchunguzi wa Kisayansi na Madaktari.
Ila Kumbuka Suspect wa Kwanza Ni Wewe
Hivyo Utasaidia Zoezi la Upelelezi Kukamilika.
Itakuwa Usumbufu Kidogo Itakubidi Kuvumilia.
Pia Tunakuaga na Tendency ya Kukaribisha Wageni Bila Kutoa Taarifa kwa Viongozi wa Mtaa, Au Kuhama Mtaa Flani Bila Kutoa Taarifa.
Umuhimu wa Kutoa Taarifa ndio Utauona Tukio Kama Hill Likitokea.
Wajuvi Zaidi Nawasubiri Nami Najifunza.
Mkuu wewe huwa unafanyaa hivo?? Kutoa taarifa kwa mjumbe kila upatapo mgeni??
[emoji1][emoji1]Tukio kama hilo likikutokea kimbiza maiti hospitali wao ndo wakueleze kuwa amekufa maana wewe huna vipimo vya kuhitimisha umauti. Mengine yatafuata baada ya kuambiwa kuwa amekwishakufa na wewe ukalia kwa kujitupa tupa ardhini. Unaweza kuepuka usumbufu mwingi sana kwa hako kaigizo.
Dadeki kafa nini jamaa ndani kwako! ... By the way uchunguzi wa dactari ndio utaonesha amekufa kwa sababu gani, Ikionesha kuna viashiria vya kuasababishiwa kifo au kuuawa lazima uwe na kesi ya kujibu kwa kosa la mauaji. Sasa hukumu itakuja kwamba ulimuuaje huyo mtu kwa kukusudia au bila kukusudia nyundo ya maisha au 30 jela inakuhusu.
Ila kama alikufa bahati mbaya huna kesi wala.
Hivi kwa mfano kama huyo mtu akawa njiani huko alikula kitu kisichofaa (poison) na safari yake ya mwisho ndio akaja "ghetto " na akarudisha namba. Uchunguzi ukionesha kuna viambata hatarishi mwilini mwake, je hali itakuwaje kwa mwenyeji?
NB: siku hizi watu wanabugia tu vitu hovyo hovyo barabarani, mara madawa ya asili, mara supu+juice na dawa nyinginezo na vinywaji nishati. Vitu hivi ni hatari sana kwa afya na vikimuondoa mtu lazima viache trace tatanishi.
Je ukikaa na kademu kakafia chumbani halafu nduguze hawakujui inakuwaje hapo?
usikute unataka kuua??Heshima kwenu wakuu.
Naomba twende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Tuchukulie nina rafiki yangu amelala ndani kwangu then ikatokea bahati mbaya akafa akiwa usingizini, sheria inasemaje kuhusiana na hilo wakuu?
Naombeni muongozo tafadhali. Thanks.