Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Vipi mkuu,Heshima kwenu wakuu.
Naomba twende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Tuchukulie nina rafiki yangu amelala ndani kwangu then ikatokea bahati mbaya akafa akiwa usingizini, sheria inasemaje kuhusiana na hilo wakuu?
Naombeni muongozo tafadhali. Thanks.
Mmepanga na rafiki yako aje kufia ndani a ghetoni kwako?
Siku akifia kwako ndio utajua sheria inasemaje. Mwite tu aje afe.