Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Basi tafuta hiii, ukipata ya VIETNAM ndio nzuri zaidi kuliko ya CHINAMkuu bei sio shida kikubwa kitu imara heri ninunue beteri na sola na taa tu halafu mengine badae
Ahsante sana ni betery pekee au hata solar wanazo?Basi tafuta hiii, ukipata ya VIETNAM ndio nzuri zaidi kuliko ya CHINAView attachment 3375831
Sahihi mfano ni SUNDAABORDER betri zao ni nzuri, ukiona sola za kampuni fulani zinapatikana kwa wingi ujue huko zinakotoka zinauzwa kwa bei ya kutupa na hazina ubora. Wafanyabiashara wa Tanzania hununua vyakutupa na kuja kuviuza kwa bei ya iliyoboreshwa!
Pannel zipo pia, ila pannel SIO ishu Sana, kinachosumbua kwenye solar system NI BatteryAhsante sana ni betery pekee au hata solar wanazo?
Ni kweli mkuu next month nitaenda kuangalia mjiniPannel zipo pia, ila pannel SIO ishu Sana, kinachosumbua kwenye solar system NI Battery
Ni kweli mkuu next month nitaenda kuangalia mjini
Ni kweli mkuuPannel zipo pia, ila pannel SIO ishu Sana, kinachosumbua kwenye solar system NI Battery
Ilikutoka sh ngapi mkuu kwa panel hii?View attachment 3375836
Upate sasa na 250watts pannel kama hii yangu, Moto wake SIO mchezo, kama unajiweza unapata na battery N200 ndio utatuma vitu vingi zaidi
Hii nlinunua Kwa mtu ALIKUA na njaa Tu nikampa 100k, INA mwaka WA tatu natumia nguvu NI ileile, hata kuwe na mawingu inajaza batteryNi kweli mkuu
Ilikutoka sh ngapi mkuu kwa panel hii?
watafute PRO SOLARNahitaji wa kuvuta maji kwa kisima kirefu cha kuchimbwa na mashine mita 80 toka chini
Natafuta sana kampuni inayoeleweka nifanye nayo kazi
hii ni cmpany gani?Hii nlinunua Kwa mtu ALIKUA na njaa Tu nikampa 100k, INA mwaka WA tatu natumia nguvu NI ileile, hata kuwe na mawingu inajaza battery
Hata maandishi yalishafutika, alieniuzia nae alishatumia Sana, Lakini bado inanguvu Sana jua likiwa Kali Sana inaweza unguza Charger controller, ilishaniunguzia zile za digitalhii ni cmpany gani?
hii ni cmpany gani?
Ahsante sana mkuu kwa kuwa nami bega kwa begaView attachment 3375840Hio PRIME SOLAR , nmesogelea karibu nimeona
Nimechukua mtambo wa Zola mwaka jana,nilichukua flex marx Ac unalipia kianzio 185,000/= malipo ya mwezi ni 99,000/= kwa muda wa miaka minne na nilipewa Sola ya watts 240 na battery yao ni watts 640 na pia unapata Taa Tisa na inverter ya watts 300,Mimi nilichukua kwa mkopo that's why nimeeleza habari za malipo ya awali namalipi ya mwezi kwa cash sifahamu pia Wana mitambo ya Tv inch 24,32 na 43 kwa maelezo zaidi nipigie 0758916151 au text watsapmkuu nimezichek kwa mwonekano ni nzuri. je umewahi kuzitumia ? wanauzaje?
Mkuu solar pannel watts 240 bettery watts640, taa9 na inveta pekee kwa 99000 sawa na 4,752,000 kwa miaka 4?Nimechukua mtambo wa Zola mwaka jana,nilichukua flex marx Ac unalipia kianzio 185,000/= malipo ya mwezi ni 99,000/= kwa muda wa miaka minne na nilipewa Sola ya watts 240 na battery yao ni watts 640 na pia unapata Taa Tisa na inverter ya watts 300,Mimi nilichukua kwa mkopo that's why nimeeleza habari za malipo ya awali namalipi ya mwezi kwa cash sifahamu pia Wana mitambo ya Tv inch 24,32 na 43 kwa maelezo zaidi nipigie 0758916151 au text watsap
Bro naomba mawasiliano yao kibongo bongo hapawatafute PRO SOLAR
Hakuna Tv hapo Mimi nilikuwa na Tv yangu japo wanayo mitambo yenye Tv piaMkuu solar pannel watts 240 bettery watts640, taa9 na inveta pekee kwa 99000 sawa na 4,752,000 kwa miaka 4?
Je hawana TV kwenye huo mtambo?