Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Rita napo mauzauza yapo mkuu mi nilinunua N 55 aloo ile ni zaidi ya buaBaaya ya mwaka hivi ubora UNAPOTEA, kuna battery jina lake kama SIO RITA ni ndio nzuri hata bei zake zipo juu Sana
HahahahaSolar ni Sundar, Sundar Solar panel, Sundar Solar subwoofer, Sundar Solar TV jipatie leo mtambo wako wa Sundar.
Inasikitisha sana!
Niliwanunulia maskani bush kwetu watt 70 Sundar, imekaa toka 2018 Hadi 2024 ndio ikaacha kucharge.Jana niliandika uzi huu kwenye jukwa la biashara na uchumi lakini nimekoswa wachangiaji
nipo serious mwakani kama Mungu ataruhusu basi nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo.
Awali nilinunua mtambo wa mysol ule wa kati kwa mkopo kama sijasahau ni m 3.8 hivi.Siwezi sema ni mbaya hapana kwa sababu kwa matumizi ya kijijni kwa wazee wangu hawajawahi sema shida yoyote zaidi ya kushukuru tu kila ninapo wauliza kama una changamoto au lah.
Shida ya Mysol ni pale huwezi kutumia mtambo wao nje na bidhaa zao tu. Yaani ile system yao inakulazimu kila kitu ununue kwao shida ni kwamba mimi nahitaji sola hiyo inisaidie kwenye mwanga,incubator,machine ya kunyolea,na friji kidogo, tv na bufa.
Bahati mbaya Mysol kama nilivyoeleza basi ukitaka bufa ununue kwao ugumu ni kwamba sio kila bidhaa wanazo wao lazima natakiwa niwe huru na solar yangu nikiwa nahitaji kufanya hiki nifanye kwa uhuru wote.
Basi kwa anayejua mtambo wowote mzuri naomba aniambie hapahapa sitaki mtu aje inbox bali anielekeze hapahapa.Bajeti yangu ni m3. ahsante sana
Wakuu kati ya kampuni hizi za sola D.light, MySol, SunKing na nyingine unazozijua ipi imara na mzuri?
Inshallah mwakani nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo. Naomba Kwa wanao jua nitahitaji mambo wa solar Kwa ajiri ya mwaga,kutotoreshea vifaranga na burudani kidogo si unajua porini Tena. Mimi binafisi nilinunua mtambo wa mySol Kwa mkopo kama m3 na ushee mtambo wa kati na ipo...www.jamiiforums.com
Hata Mimi ilikaa miezi 14 tu ikaanza mauzauza nikanunua nyingine tuRita napo mauzauza yapo mkuu mi nilinunua N 55 aloo ile ni zaidi ya bua
Bora ya kwako mkuu ilikaa kidogo mimi miezi mi4 kwishaaHata Mimi ilikaa miezi 14 tu ikaanza mauzauza nikanunua nyingine tu
Hii inaweza kugharimu bei gani na unaweza kuendesha vifaa vya aina gani?View attachment 3375836
Upate sasa na 250watts pannel kama hii yangu, Moto wake SIO mchezo, kama unajiweza unapata na battery N200 ndio utatumia vitu vingi zaidi
Battery ya N100 bei gani?Jibu la tatizo lako ni Battery za RITA, chukua N100 hutojuta, hizo battery zina balaa
Ukijibiwa niite plzNahitaji wa kuvuta maji kwa kisima kirefu cha kuchimbwa na mashine mita 80 toka chini
Natafuta sana kampuni inayoeleweka nifanye nayo kazi
Inategema na eneo mkuu, ila ni kati ya laki 5 hadi 7Battery ya N100 bei gani?
Mkuu ukihitaji kuchaji simu unavuta generator seriuos? unataka kulala tena unavuta kamba?Labda iwepo ya emergency tu sikataiMkuu tafuta Generator dogo,nenda nalo porini ,solar ni utapeli, utapeli, utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli
Ukweli sunda hapana kuna mjomba wangu karundika mabeteri ya sunda hadi huruma matatu yte N100Mimi upenda vitu vya sundar
Jibu la tatizo lako ni Battery za RITA, chukua N100 hutojuta, hizo battery zina balaa
Bora ya kwako mkuu ilikaa kidogo mimi miezi mi4 kwishaa
Hata Mimi ilikaa miezi 14 tu ikaanza mauzauza nikanunua nyingine tu
Kwahiyo changamoto iko palepale wakuu?Rita napo mauzauza yapo mkuu mi nilinunua N 55 aloo ile ni zaidi ya bua
Made in ....?Inategema na eneo mkuu, ila ni kati ya laki 5 hadi 7
Ensol,Jana niliandika uzi huu kwenye jukwa la biashara na uchumi lakini nimekoswa wachangiaji
nipo serious mwakani kama Mungu ataruhusu basi nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo.
Awali nilinunua mtambo wa mysol ule wa kati kwa mkopo kama sijasahau ni m 3.8 hivi.Siwezi sema ni mbaya hapana kwa sababu kwa matumizi ya kijijni kwa wazee wangu hawajawahi sema shida yoyote zaidi ya kushukuru tu kila ninapo wauliza kama una changamoto au lah.
Shida ya Mysol ni pale huwezi kutumia mtambo wao nje na bidhaa zao tu. Yaani ile system yao inakulazimu kila kitu ununue kwao shida ni kwamba mimi nahitaji sola hiyo inisaidie kwenye mwanga,incubator,machine ya kunyolea,na friji kidogo, tv na bufa.
Bahati mbaya Mysol kama nilivyoeleza basi ukitaka bufa ununue kwao ugumu ni kwamba sio kila bidhaa wanazo wao lazima natakiwa niwe huru na solar yangu nikiwa nahitaji kufanya hiki nifanye kwa uhuru wote.
Basi kwa anayejua mtambo wowote mzuri naomba aniambie hapahapa sitaki mtu aje inbox bali anielekeze hapahapa.Bajeti yangu ni m3. ahsante sana
Wakuu kati ya kampuni hizi za sola D.light, MySol, SunKing na nyingine unazozijua ipi imara na mzuri?
Inshallah mwakani nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo. Naomba Kwa wanao jua nitahitaji mambo wa solar Kwa ajiri ya mwaga,kutotoreshea vifaranga na burudani kidogo si unajua porini Tena. Mimi binafisi nilinunua mtambo wa mySol Kwa mkopo kama m3 na ushee mtambo wa kati na ipo...www.jamiiforums.com
Tatizo wanasemaga kwamba kuna hatari ya kuuziwa used ila inasafishwa na kuchajiwa inakua kama mpyaKwahiyo changamoto iko palepale wakuu?
VietnamMade in ....?