Wakuu kati ya kampuni hizi za sola D.light, MySol, SunKing na nyingine unazozijua ipi imara na mzuri?

Ukiweza tafuta panel zako mwenyewe hapo kariakoo, na betri, halafu funga mwenyewe na inverter yako iwe pure sine wave technology, tangu nimefunga March 2020 haijawahi kusumbua, betri natumia RITAR, hakikisha unapata solar charger controller nzuri
 
Hatamimi nimemwambia Annie betri ya RITAH
 
Kuwa makini baadhi ya makampuni ni wakora tena majambazi. Hakuna uwazi wa malipo wanayopokea na deni unalidaiwa unakuta unalipa weeeee lakini Mkopo hauishi, unalipia blindly mpaka basi.,.....!
 
Kuwa makini baadhi ya makampuni ni wakora tena majambazi. Hakuna uwazi wa malipo wanayopokea na deni unalidaiwa unakuta unalipa weeeee lakini Mkopo hauishi, unalipia blindly mpaka basi.,.....!
Dawa ni kununua mtambo wako wa solar
 
Reactions: apk
Sawa mkuu. Lakini je Kuna option ya kuunga na device zingine kama nilivyosema hapo juu?
 
Kuwa makini baadhi ya makampuni ni wakora tena majambazi. Hakuna uwazi wa malipo wanayopokea na deni unalidaiwa unakuta unalipa weeeee lakini Mkopo hauishi, unalipia blindly mpaka basi.,.....!
Hao ni wabongo wenzetu wenye solar zao hawana uhuni huu.
 
Reactions: apk
Mkuu naitaka hii ila nipunguzie bei, Bettery hiyo ina ukubwa gani..?
 
Baaya ya mwaka hivi ubora UNAPOTEA, kuna battery jina lake kama SIO RITA ni ndio nzuri hata bei zake zipo juu Sana
Hiyo RITAR mkuu ninayo hapa home nilinunua April 2022 hadi leo naitumia, sijaibebesha mzigo mkubwa lakini nadhani ndiyo sababu inadumu, nawasha taa mbili tu na kuchaji kiswaswadu.
 
Reactions: apk
mtu una bajeti ya 3m unawaza sola za kampuni duh kwann usiende duka wana sell genuine solar panel chukua WATT kuanzia 200 bei haifiki lak7 then chukua VARTA betr N200 nazan haizid 700k chukua charge controller ya 50k inverta genuine ya 100k nyaya haizid 100k huo n umeme mkubwa vby sana unakwama wap fund kanjanja unampa hata 50k hapo upo huru hata ku connect kafriji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…