Mimi na ww mpaka ss thaman halisi hatuijui, tusubiri trh 28 mzigo ukiachiliwa sokoni. Tambua hii sarafu itakuwa na nguvu kuipiku bitconHizo calculation wanakujaza tu usiamini
Bei yake ya kufkirika ni View attachment 3227055
Na itakapoingia sokoni sidhani kama itafika $100 per coin
Mimi nikajua research umefanya ama umewahi kujoin huko utupe majibuHii iko siku nyingi na unaambiwa u-install app ambayo utakuwa unachimba pi kila siku. Ina wafuasi wengi na kila siku utasikia wanasema ''mwezi ujao wanazindua''. Nilii check kwa haraka sana na haya ndiyo mawazo yangu. Nadhani kuna mtu/ watu wenye hiyo app/site wanapata malipo ya matangazo kwa watu ku-click kila siku. Yaani pale unaambiwa kuwa unatakiwa uchimbe sarafu kila siku kwa ku-click, zile clicks zinahesabiwa na wenye matangazo ambao walipa wenye site. Nikipata muda nitafanya research zaidi.
kitu gani kinakufanya uamini itaipiku bitcoin?Mimi na ww mpaka ss thaman halisi hatuijui, tusubiri trh 28 mzigo ukiachiliwa sokoni. Tambua hii sarafu itakuwa na nguvu kuipiku bitcon
Umesoma nilichoandika? Nimekupa briefly kuhusu hiyo. Siwezi ku join vitu kama hivyo kwa sababu ni kupoteza muda.Mimi nikajua research umefanya ama umewahi kujoin huko utupe majibu
200 awamu ya kwanzaZimemigrate ngapi kwenda kwenye Wallet Mkuu??
Sidhani kama inaweza kuipita bitcoin na sidhani kama kuna alt coin itakuja kuipita.Nadhan kwa namna bitcon ilivyoibuka enzi hizo na hii Pai kuna utofauti mkubwa ktk maandalizi
Musk amewekeza zaidi ya $900m kwenye btcnNikiingiaga JF na kukutana na kauli kama "hakuna hela za bure mitandaoni fanyeni kazi"... mara sijui "Mali zinapatikana shambani"... na maneno mengine ya kishamba kama hayo, huwa naona wabongo bado wako zama za giza, yaani wameachwa na dunia na wamebaki na zile zile fikra zao za kwamba kilimo ndio uti wa mgongo.
Sasa hivi karibu matajiri wote wa kiwango cha dunia wame invest kwenye crypto currency maana huko ndio ulimwengu wa fedha unaelekea, Trump mwenyewe hivi karibuni ame launch coin yake maana mbali na stocks sehemu nyingine ya kutunza hela ni huku kwenye crypto.... lakini wabongo bado wanakwambia ni utapeli😮💨😮💨
Wabongo mtaendelea kubaki na njia zenu za kijima za kutafuta hela mpaka kihama.
Endeleeni kupondea kila fursa mnayoiskia mitandaoni.
Unahitaji kujielimisha kuhusu centralized na decentralized finance mkuu..Cryptocurrency sio scam na una mine bure ikiwa listed watu wanatoboa hapo jaman btc,Bnb na etcNilikuona mjanja kumbe unatapelika kirahisi.
Hii mbona calculatoion yake Pai Moja inasoma mzigo mrefu kuipiku btcn, halafu ukisachi data za AI wanakwambia Pai bado Hana bei halisi hajaingia sokoniSidhani kama inaweza kuipita bitcoin na sidhani kama kuna alt coin itakuja kuipita.
Asante kwa kumuelimisha huyo mrembo alikuwa ashanivua nyota tayrUnahitaji kujielimisha kuhusu centralized na decentralized finance mkuu..Cryptocurrency sio scam na una mine bure ikiwa listed watu wanatoboa hapo jaman btc,Bnb na etc
Uwekezaji wwt unahitaji umakini boss. Huyo jamaa yetu aliepoteza Kuna wezake pia wamenufaika mpaka leoKunajamaa yangu alianza mambo ya bitcoin since 2015, hadi saivi pesa aliyo ipoteza angekua ana nyumba , gari na biashara kubwa tu.. Lkn hana ishu saiv, analialia tu hela ngumu.
Ushauri: Wekeza kwenye kitu unacho kiona, otherwise utajikuta 2040 huna kitu
Jf ni miyeyusho sana ukileta mada tofauti na mbususu lzm ukutane na upinzani mkubwa snNikiingiaga JF na kukutana na kauli kama "hakuna hela za bure mitandaoni fanyeni kazi"... mara sijui "Mali zinapatikana shambani"... na maneno mengine ya kishamba kama hayo, huwa naona wabongo bado wako zama za giza, yaani wameachwa na dunia na wamebaki na zile zile fikra zao za kwamba kilimo ndio uti wa mgongo.
Sasa hivi karibu matajiri wote wa kiwango cha dunia wame invest kwenye crypto currency maana huko ndio ulimwengu wa fedha unaelekea, Trump mwenyewe hivi karibuni ame launch coin yake maana mbali na stocks sehemu nyingine ya kutunza hela ni huku kwenye crypto.... lakini wabongo bado wanakwambia ni utapeli😮💨😮💨
Wabongo mtaendelea kubaki na njia zenu za kijima za kutafuta hela mpaka kihama.
Endeleeni kupondea kila fursa mnayoiskia mitandaoni.
Pi hana bei halisi ni speculation lakini hakuna speculation yoyote inayosema pi itazidi $200 wakati bitcoin ishagonga $90000 + na march huenda ikaweka rekodi mpyaHii mbona calculatoion yake Pai Moja inasoma mzigo mrefu kuipiku btcn, halafu ukisachi data za AI wanakwambia Pai bado Hana bei halisi hajaingia sokoni
Kwann huamini kuwa ipo sarafu ambayo inaweza kuichalenji btcn kwa ssPi hana bei halisi ni speculation lakini hakuna speculation yoyote inayosema pi itazidi $200 wakati bitcoin ishagonga $90000 + na march huenda ikaweka rekodi mpya