Nikiingiaga JF na kukutana na kauli kama "hakuna hela za bure mitandaoni fanyeni kazi"... mara sijui "Mali zinapatikana shambani"... na maneno mengine ya kishamba kama hayo, huwa naona wabongo bado wako zama za giza, yaani wameachwa na dunia na wamebaki na zile zile fikra zao za kwamba kilimo ndio uti wa mgongo.
Sasa hivi karibu matajiri wote wa kiwango cha dunia wame invest kwenye crypto currency maana huko ndio ulimwengu wa fedha unaelekea, Trump mwenyewe hivi karibuni ame launch coin yake maana mbali na stocks sehemu nyingine ya kutunza hela ni huku kwenye crypto.... lakini wabongo bado wanakwambia ni utapeli😮💨😮💨
Wabongo mtaendelea kubaki na njia zenu za kijima za kutafuta hela mpaka kihama.
Endeleeni kupondea kila fursa mnayoiskia mitandaoni.